Dr Abdillah Mtaalamu wa Afya ya Uzazi

Dr Abdillah Mtaalamu wa Afya ya Uzazi
Mtaalamu wa Afya ya Uzazi kwa Wanawake na Wanaume
Tumewasaidia wanandoa zaidi ya 100
Vipimo & Ushauri

02/05/2026

🌸 AFYA YA UZAZI NI MSINGI WA FURAHA YA MWANAMKE 🌸
Je, unateseka kimya kimya na changamoto za afya ya uzazi?
Je, unajaribu kupata mimba bila mafanikio?
Dalili k**a: ✔ Uchafu ukeni wenye harufu
✔ Kuwashwa sehemu za siri
✔ Maumivu ya tumbo la uzazi
✔ Hedhi isiyo sawa
✔ Kukosa mimba kwa muda mrefu
✔ Maumivu wakati wa tendo
👉 Zisikuache bila matumaini.
Habari njema ni kwamba changamoto nyingi za afya ya uzazi zinaweza kudhibitiwa ukipata ushauri na miongozo sahihi mapema.
Tunasaidia: ✅ Kurejesha afya ya mfumo wa uzazi
✅ Kupunguza maumivu na maambukizi
✅ Kuboresha mzunguko wa hedhi
✅ Kuongeza nafasi ya kupata ujauzito
📲 Wasiliana nasi sasa kwa ushauri wa awali
☎ 0794 600 603
💬 WhatsApp au piga simu moja kwa moja
👉 Afya yako ni thamani, usisubiri tatizo liongezeke.

MWANAMKE K**A HUPATI UJAUZITO JIULIZE MASWALI YAFUATAYO:👉Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?👉je, unapata maumivu makal...
02/05/2026

MWANAMKE K**A HUPATI UJAUZITO JIULIZE MASWALI YAFUATAYO:

👉Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?

👉je, unapata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa hedhi?

👉Je, una uvimbe kwenye kizazi?

👉Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia na kushoto?

👉Je, unatokwa na uchafu wa aina yeyote ile ukeni?

👉Je, unapata siku zako vile inavyotakiwa? Yaani mzunguko wa siku zako upo sawa?

👉Je, unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa?

👉Je, unapata ukavu wakati wa tendo la ndoa?

👉Je unakosa hisia za tendo la ndoa?

👉Je, huwa unapata ute wa uzazi siku za hatari (ovulation days)?

👉Je, ulishawahi kutoa ujauzito?

👉Je, umeshawahi kuugua P.I.D (mashambulizi ya bakteria kwenye kizazi)?

k**a jibu ni ndio kwa sababu mojawapo tajwa hapo juu basi hiyo ndiyo Sababu inayokuzuia kupata ujauzito.

Je wewe unatatizo gani linakusumbua? Niambie sasahivi!

Dr ABDILLAH Mtaalamu na mshauri wa afya ya uzazi
0714356923

WANAWAKE WENGI WANANYAMAZA… LAKINI MWILI UNATOA ISHARA MAPEMAUnahisi maumivu wakati wa tendo?Unakosa hamu ya tendo bila ...
06/04/2026

WANAWAKE WENGI WANANYAMAZA… LAKINI MWILI UNATOA ISHARA MAPEMA
Unahisi maumivu wakati wa tendo?
Unakosa hamu ya tendo bila sababu ya wazi?
Hedhi yako imevurugika au unatokwa uchafu usio wa kawaida?
Hizi si dalili za kupuuza. Mara nyingi ni ishara za changamoto za mfumo wa uzazi ambazo zikichelewa kushughulikiwa, zinaweza kuathiri uwezo wa kupata mtoto au afya yako kwa ujumla.
Kitaalamu, hali hizi zinaweza kuhusiana na:
Maambukizi ya mfumo wa uzazi
Mabadiliko ya homoni
Uvimbe kwenye kizazi au mirija
Msongo wa mawazo unaoathiri libido na mzunguko wa hedhi
Tatizo kubwa sio dalili…
Tatizo ni kuchelewa kupata uchunguzi sahihi.
Leo hii kuna njia salama za uchunguzi na matibabu kulingana na chanzo halisi cha tatizo lako. Hakuna sababu ya kuendelea kuvumilia hali inayoweza kutibika.
Nataka ujibu hili kwa uaminifu:
Umeshawahi kupata dalili mojawapo kati ya hizi lakini ukaamua kukaa kimya?
Andika “NDIO” au “HAPANA” hapa chini au njoo inbox nikusaidie kukupa mwongozo sahihi wa hatua za kuchukua kulingana na hali yako.
Afya yako ya uzazi ni uwekezaji, sio jambo la kubahatisha.

PID INAKUTESA KIMYA KIMYA… LAKINI MADHARA YAKE NI MAKUBWA KULIKO UNAVYODHANIUnatibiwa mara kwa mara lakini tatizo linaru...
06/04/2026

PID INAKUTESA KIMYA KIMYA… LAKINI MADHARA YAKE NI MAKUBWA KULIKO UNAVYODHANI
Unatibiwa mara kwa mara lakini tatizo linarudi?
Unapata maumivu ya tumbo la chini au uchafu usio wa kawaida?
Hedhi imevurugika au unahisi maumivu wakati wa tendo?
Hii inaweza isiwe “maambukizi ya kawaida”.
Kitaalamu, PID ni maambukizi ya ndani ya mfumo wa uzazi yanayoathiri kizazi, mirija na ovari.
Tatizo kubwa linakuja pale unapochelewa kupata tiba sahihi au kutumia dawa bila uchunguzi kamili.
Madhara yake yanaweza kujumuisha:
Kuziba mirija ya uzazi
Kushindwa kushika mimba
Maumivu ya muda mrefu ya nyonga
Kuongezeka kwa hatari ya mimba nje ya kizazi
Watu wengi wanarudia dawa bila kujua chanzo halisi… ndiyo maana tatizo haliondoki kabisa.
Swali la msingi:
Umejaribu kutibu PID zaidi ya mara moja lakini bado inarudi?
Andika “NDIO” au “NISAIDIE” hapa chini au njoo inbox nikuelekeze hatua sahihi za uchunguzi na matibabu kulingana na hali yako.
Usitibu dalili… tibu chanzo. Afya ya uzazi inahitaji umakini wa kitaalamu.

JINSI YA KUPONA MARADHI YA MFUMO WA UZAZI 💖Kwa WANAWAKE na WANAUME – KARIBU!Kwa WANAWAKE:Kutokwa na uchafu wa ukeni usio...
17/03/2026

JINSI YA KUPONA MARADHI YA MFUMO WA UZAZI 💖
Kwa WANAWAKE na WANAUME – KARIBU!
Kwa WANAWAKE:
Kutokwa na uchafu wa ukeni usio wa kawaida
Fangas zisizokoma
Uvimbe au matatizo mengine ya kizazi
Kwa WANAUME:
Tatizo la kufika kileleni
Uume kuwa mlegevu wakati wa tendo
Tezi dume kushindwa kufanya kazi ipasavyo
Manii kushindwa kufika yai
⚠️ Tatizo hili linaweza kuathiri ukuaji wa familia yako!
Ujumbe huu ni kwa AJILI YAKO!
Mimi ni Dr. ABDILLAH
Mtaalamu wa masuala ya uzazi kwa wanawake na wanaume. Nimeshasaidia zaidi ya watu 200 kupata mwongozo wa kutatua matatizo ya uzazi, na wengi wao sasa wanafamilia zao.
Ninakupa:
✅ Elimu kamili kuhusu mfumo wa uzazi
✅ Vipimo vya kugundua chanzo cha matatizo – shilingi 20,000 tu
✅ Njia salama na za asili za kutatua matatizo
🎁 Darasa la BURE – Lakini kwa watu 30 pekee. Kila mmoja atapata ushauri wa karibu na binafsi. Bonyeza link kujiunga kwenye group letu 👇
https://chat.whatsapp.com/EKkfZUGV0T8L188YBlQCmJ?mode=gi_t
📞 Wahi sasa: 0714 356 923
Kwa kuzingatia afya yako,
Dr. ABDILLAH

📢OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA 🧪✨Unajua afya yako ndio mtaji wako? 🫶Sasa ni wakati wa kujiwekea kipaumbele kwa elfu 30,0...
05/03/2026

📢OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA 🧪✨

Unajua afya yako ndio mtaji wako? 🫶
Sasa ni wakati wa kujiwekea kipaumbele kwa elfu 30,000 tu. Haijalishi umeteseka kwa muda gani.

👉 Tunakuletea ofa ya vipimo vya mwili mzima – bei nafuu, huduma ya kitaalamu na matokeo ya haraka kwa kushirikiana na Madaktari bingwa kutoka China.

Haijalishi umeteseka kwa muda gani kwa matatizo ya uzazi, ganzi mwilini, kisukari, presha, mifupa, mgongo, PID sugu, vidonda vya tumbo na mengine mengi magonjwa yasiyoambukiza, tutakupa suluhisho la kudumu kwa tiba rahisi na bei nafuu kutoka China.

Kwa nini upime kwetu na si kwingine?
✅ Tunatumia vifaa vya kisasa vinavyotoa majibu sahihi zaidi.
✅ Wataalamu wetu wanakushauri kwa upendo na uelewa baada ya vipimo.
✅ Huduma ya haraka, bila foleni ndefu wala usumbufu.
✅ Faragha na usiri wa hali ya juu kwa kila mteja.
✅ Utapata muongozo wa bure namna ya kuboresha afya yako baada ya majibu.
✅Ushirikiano na wataalamu wa Kimataifa waliobobea kwenye vipimo

🌟 Hii siyo vipimo tu – ni uwekezaji katika maisha yako!

📍 Karibu katika kituo chetu leo uchukue nafasi ya ofa hii kabambe. Niambie unapatikana mkoa gani nitakujulisha wapi ufike kupata huduma.
⏳ Ofa ni kwa muda maalum tu – usiicheleweshe!
Tupigie kwa simu namba
0714356923

PELVIC INFLAMATORY DISEASES (P.I.D)✍️ Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Dise...
05/03/2026

PELVIC INFLAMATORY DISEASES (P.I.D)

✍️ Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix), nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium), na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis.

PID husababishwa na nini?

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

Je mwanamke huambukizwaje PID?

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na

👉 Kufanya ngono isiyo salama
👉 Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)
👉 Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)
👉 Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango, na
👉 Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

Dalili za PID ni zipi?

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni

📌 Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
📌 Kupata maumivu ya mgongo
📌 Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.
📌 Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
📌 Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
📌 Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
📌 Kupata homa
📌 Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na pia kutapika

Jinsi ya kuzuia maambukizi katika mfumo wa uzazi

Kuna njia kadhaa za kuzuia maambukizi katika mfumo wa uzazi. Njia hizi ni pamoja na

👉 Kufanya ngono salama kwa kutumia kondomu au k**a ikiwezekana kujizuia kabisa kufanya ngono.
👉 Kuwahi kuwaona wataalamu wa afya mara dalili za ugonjwa huu zinapoanza kujitokeza au pindi tu unapogundua kuwa mwenzi wako ana dalili za magonjwa ya zinaa
👉 Kufanya vipimo mara kwa mara hasa vya mfumo wa uzazi, pamoja na vipimo vya maambukizi ya magonjwa yanayosambazwa kwa njia ya ngono (STI).
👉 Kutofanya ngono mara baada ya kujifungua, mimba kutoka au mara baada ya kutoa mimba ili kuhakikisha njia ya shingo ya uzazi imefunga vema.

K**a bado umekata tamaa kwa tatizo la uzazi ulilonalo unakosea sana! Wasiliana nami sasahivi

Dr. Abdillah
0714356923

MVURUGIKO WA HORMONE Ni kitendo cha kupungua au kuongezeka kwa  vichochea katika mwili wa mwanamke pale anapopata hedhi ...
05/03/2026

MVURUGIKO WA HORMONE
Ni kitendo cha kupungua au kuongezeka kwa vichochea katika mwili wa mwanamke pale anapopata hedhi na Hivyo kufanya mwili kubadilika

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HORMONE
📌Uwepo wa sumu mwilini
📌Mfumo mbovu wa maisha
📌Umri ukienda sana(kukoma kwa hedhi)
📌Uzito mkubwa
📌Msongo wa mawazo
📌Mabadiliko ya mazingira
📌Matumizi ya njia ya kisasa za uzazi wa mpango
📌Utoaji wa mimba
📌Infection za muda mrefu (P.I.D)

DALILI ZA MVURUGIKO WA HORMONI
📌Uke kuwa mkavu
📌Maumivu wakati wa tendo la ndoa
📌Maumivu makali ya kitovu kipindi cha hedhi
📌Mabadiliko ya siku za hedhi
📌Kukosa hamu ya tendo la ndoa
📌Uchovu wa mara kwa mara
📌Homa za usiku na kizunguzungu mara
kwa mara
📌Kupata hedhi wakati ni mjamzito
📌Kupata dalili za mama mjamzito angali sio mjamzito

MADHARA YA MVURUGIKO WA HORMONE
📌Uvimbe kwenye kizazi
📌Kupata saratani ya shingo ya kizazi
📌Ugumba
📌Mimba kuharibika
📌U.T.I na P.I.D ya mara kwa mara
📌Kupata maambukizi ya mara kwa mara
K**a unachangamoto ya hormone Imbalanc nitafute haraka mydr upo hatarn 📠📞0794 1433 40

Address

Tanzania, Zanzibar
Zanzibar
11122

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Abdillah Mtaalamu wa Afya ya Uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share