Daktari Hasnuu

Daktari Hasnuu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Daktari Hasnuu, Doctor, Mbweni, Zanzibar.

 Chips ni aina ya chakula ambacho hupendwa na watu wengi na pia ni miongoni mwa vyakula vyenye mafuta mengi. chips pia i...
30/06/2021


Chips ni aina ya chakula ambacho hupendwa na watu wengi na pia ni miongoni mwa vyakula vyenye mafuta mengi. chips pia inasemekana ni miongoini mwa vyakula ambavyo hupikwa katika joto la juu zaidi ya 300 degree.
Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu ya mwili wa mwanadamu k**a ni mtu ambaye mazoezi pia hufanyi madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanaugua magonjwa mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao amabayo huchangiwa na kuto kufanya mazoezi madhara yake mafuta kuziba mirija.
Mafuta yakiliwa sana husababisha kuzidi mwilini. Pia inasadikika mafuta yaliyopo katika chipsi katika sahani moja ya chisi ya moto endapo utaamua kuchuja kuna uwezekano wa kupata nusu glasi ya mafuta ya kupikia. Kwa hali hii ujue ni hatari.
Na mwili huwa hatupi kinachofaa, na badala yake k**a hakitumiki wakati huo basi huhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye. Ndio maana tunapokula vyakula vyingi vyenye mafuta mengi hutupelekea kuongeza unene na uzito.
Unene huwa ni chanzo cha magonjwa mengi ,Kwani (High Blood pressure) hutokana na kuwa na mafuta mengi mwilini ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta. Hii husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba hivyo kusababisha nguvu ya ziada itumike kusukuma damu hiyo ili isambae mwilini k**a inavyotakiwa. Nguvu hii ya ziada huongeza au kupunguza mapigo ya moyo.
Mapigo ya moyo yanapoongezeka sana ni hatari na yanapo pungua sana pia ni hatari.
Hivyo basi ni vizuri kwa watumiaji wa chipsi kujitahidi kutumia kwa kiasi kidogo au kuacha kabisa vile vile mazoezi pia ni muhimu ili kupunguza mrundikano wa mafuta katika mwili.
Pia inasemekana kuwa wanasayansi wamegundua kuwa chipsi husababisha kukuza hips hivyo kwa wanaume wengi hawatapenda kuwa katika hali hiyo, hivyo ni muhimu kujiepusha na pia isije ikawa kichocheo kwa wanawake kutumia sana ili kukuza sehemu hizo za maumbile bali wapunguze kutumia chipsi pamoja na kufanya mazoezi ili kuweka mwili katika hali ya kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.pia ulaji wa chips kupita kiasi husababisha wanaume na wanawake kuzeeka mapema,na kusumbuka kwa kutokupata kizazi kwa sababu ya mafuta.
Na kwa upande wa wanaume hupungua au hukosa nguvu za kiume au kutokumridhisha mpendwa wake mpka Hali ya mwisho na mwilini kuwa na uzito mwingi.
Kwa ajili ya Ushauri wa kuhusu Afya na matibabu ya maradhi yote yanayokusibu, wasiliana na Daktari Sheriin.
WhatsApp +255627927027

 -PowerManExtraCapsuleNi kirutubisho maalumu kwa waathirika wa Punyeto na wenye Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.✅Huongeza Ham...
29/06/2021

-PowerManExtraCapsule
Ni kirutubisho maalumu kwa waathirika wa Punyeto na wenye Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.
✅Huongeza Hamu Na Uwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa

✅Hufungua Mirija Midogomidogo Ya kibofu Kwenye Uume Ambayo Hufa Kwa Ajiri Ya Umri Na Kisukari/Presha

✅Huondoa Uchovu

✅Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume

✅Huondoa Tatizo La Maumivu Uume Ukiwa Umesimama

✅Humfanya Mwanaume Akae Muda Mrefu Kwenye Tendo

✅Huongeza Kinga Kwenye Via Vya Uzazi

✅Humfanya Mwanaume Arudie Tendo Bila Kuchoka Na Kwenye Ubora Wa Hali Ya Juu

✅Huondoa Tatizo La Uume Kusimama Ukiwa Legelege

✅Huondoa Tatizo La Uume Kurudi Ndani Na Kuwa K**a Wa Mtoto

✅Huondoa Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Na Ugumba Kwa Wanaume

Tunayo dawa hii kwa bei nafuu kuliko duka lolote Tanzania
Wasiliana na Daktari Sheriin
WhatsApp +255627927027

27/06/2021


HUFANYA KAZI ZIFUATAZO:
Inatibu fangasi sugu na UTI sugu

Inatibu PID ikichanganywa na yunzhi

Huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa, na kurejesha ute ute unaotakiwa

Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote

Inazibua mirija ya uzazi iliyoziba

Inarekebisha hedhi iliyo vurugika

Inakaza misuli ya uke iliyegea na kufanya kuwa tight

Inaondoa michubuko ukeni

Inatibu chango

Huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

WAHI SASA UJIPATIE YA KWAKO

Wasiliana nasi
Daktari Sheriin WhatsApp +255627927027

 Inasaidia kuondoa Bawasiri Sugu, uvimbe na kutoka kwa damuHuondoa maumivu yanayosababishwa na uzito wa miguu.Hutuliza m...
26/06/2021



Inasaidia kuondoa Bawasiri Sugu, uvimbe na kutoka kwa damu

Huondoa maumivu yanayosababishwa na uzito wa miguu.

Hutuliza mvutano wa mishipa miguuni kunakoweza kusababisha damu kushindwa kurudi kwenye moyo

Husaidia Damu kuzunguka vizuri

Ni Nzuri sana kuondoa mlundikano wa uric acid kwenye maungio inayopelekea kuharibika kwa mifupa (Arthritis)

Ni tiba ya kuvimba kwa mishipa inayopitisha damu miguuni (Vericous Veins)

Kuboresha uzalishaji wa homoni zinazosaidia ubongo na mwili kufanya kazi

Zinapunguza uwondoshwaji wa seli za awali zinanopambana na wavamizi (leukocyte and endothelial cell)

Inapunguza mnato wa damu na kurahisisha mzunguko wa damu (blood viscosity and improve blood circulation)

Inaboresha mzunguko wa maji mwilini kwenda sehemu zinazotakiwa

Viungo
Citrus Extract & Citrus Extract’s Essense

Matumizi
Inatumiwa wakati wa chakula (Meza wakati wa kula

Kwa matatizo ya Mishipa: Vidonge 2 kila siku

Kwa basawiri: Vidonge 2 kila siku

Wasiliana nasi tukupatie kwa bei nafuu zaidi.

Daktari Sheriin
WhatsApp +255627927027

 Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na miili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukiza kadri umri un...
26/06/2021


Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na miili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukiza kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:
- Ukavu ukeni

- Maumivu wakati wa tendo la ndoa

- Kutoa jasho usiku

- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi

- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa

- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (Heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)

- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye madonge madonge wakati wa hedhi

- Uchovu wa mara kwa mara

- Hasira za mara kwa mara

- Kukosa usingizi

- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara

- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula

- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe

- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
- Maumivu ya viungo

- Upungufu wa nywele kichwani

- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)

- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

- Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi

- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

- Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango

- Maumivu ya kichwa mara kwa mara

- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)

- Kutokupata choo kwa wakati

Kwa maswali yote yanayohusu Afya na matibabu ya maradhi yote ya binaadamu. Tafadhali usikae kimya. Wasiliana nasi kwa WhatsApp ili tukuhudumie.

Daktari Sheriin
WhatsApp +255627927027

 Je Umekuwa ukifanya kosa moja kati ya makosa haya matano?1. Unahisi miwasho ukeni lakini unapuuzia?2. Ukivua nguo ya nd...
25/06/2021


Je Umekuwa ukifanya kosa moja kati ya makosa haya matano?

1. Unahisi miwasho ukeni lakini unapuuzia?

2. Ukivua nguo ya ndani jioni unakuta imechafuka lakini wewe unachukulia kawaida?

3. Unatokwa na uchafu ukeni ukiwa na rangi k**a ya maziwa na muda mwingine una rangi zingine lakini unaombatana na harufu mbaya lakini bado unachukulia poa?

4. U.T.I inakurudia mara kwa mara ila unaona sawa tu?

5. Ukijaamiana unapata maumivu na inafikia hatua unatoka mpaka damu, hauna hisia na wala huchukui hatua yeyote na baby wako humuachi?

Usiendelee kufanya makosa hayo !!

Kumbuka thamani ya Afya Yako Ni kubwa kuliko kitu chochote hapa duniani.

Kwa Ushauri wa Afya kuhusu maradhi yoyote ya kibinaadamu. Wasiliana nasi tutakupa ushauri na matibabu kwa bei nafuu.

Daktari Sheriin
WhatsApp +255627927027

Address

Mbweni
Zanzibar

Telephone

+255654585849

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daktari Hasnuu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Daktari Hasnuu:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category