![๐๐๐๐๐ ๐จ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ก๐ ๐ ๐จ๐๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐ ๐๐๐๐ญ๐ ๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ [ ๐๐๐ฃ๐๐ง๐๐ง๐๐ฆ ] ๐ก๐ ๐๐ช๐๐ก๐๐ก๐ ๐ช๐๐ก๐๐๐ก๐ ๐๐จ๐๐๐ญ๐๐ ๐๐๐ ๐๐จ๐๐จ๐๐๐จ๐ฅ๐๐ ๐๐ข๐ญ๐ ๐๐...](https://img3.findhealthclinics.com/601/804/122199610076018043.jpg)
30/09/2024
๐๐๐๐๐ ๐จ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ก๐ ๐ ๐จ๐๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐ ๐๐๐๐ญ๐ ๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ [ ๐๐๐ฃ๐๐ง๐๐ง๐๐ฆ ] ๐ก๐ ๐๐ช๐๐ก๐๐ก๐ ๐ช๐๐ก๐๐๐ก๐ ๐๐จ๐๐๐ญ๐๐ ๐๐๐ ๐๐จ๐๐จ๐๐๐จ๐ฅ๐๐ ๐๐ข๐ญ๐ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐ฌ๐๐ข ๐ฌ๐ข๐ง๐:
Muda wa kumaliza tatizo au changamoto, inategemea hatua ya tatizo lilipo fikia, na tunapo zungumzia hatua ya tatizo tuna tazama au kuzungumzia mambo matatu.
โ Wingi wa maambukizi yani vimelea Virusi hapa tunamaanisha (Viral load).
โ Afya ya ini (Liver health)
โ Afya ya mgonjwa kwa ujumla yani changamoto anazo zipitia kwa wakati huo (Currently General Health for Patient ).
Kwaiyo kuna wagonjwa wanao maliza tatizo hili kwa kuda wa miezi miwili, wengine miezi mitatu, miezi mienne na wengine mwaka mnzima na wapo wachache inawalazimu kuhudhulia dozi maisha yote kutokana na hatua aliyo ifikia.
Wagonjwa ambao inawalazimu kushiliki dozi katika kipindi chote ni wagonjwa ambao wapo kuanzia Stage ya tatu ya uharibifu wa ini unao endelea pole pole kutokana na maambukizi ya muda mlefu (Third Stage of liver Demage).
Hatua hii ya tatu maranyingi sana ini likuwa tayari limeshafikia hatua ya kuwa na kovu baada ya multiple cells yani seli nyingi au tishu nyingi za ini kupasuliwa kwa wingi na zile scar tissues yani tishu au seli za ini zilizo pasuliwa kuwa placed yani kukusanyika au kukaa pamoja na health tissues hizi ni tishu za ini zenye afya, zinapo kuja kuingiliana na tishu au seli za ini zilizo haribika, huwa zinakuja kutengeneza kovu la ini, kovu hili hulifanya ini kuwa katika hatua ya tatu ya uharibifu wa ini ulio endelea pole pole kutokana na uwepo wa maambukizi ya virus vya Hepatitis kwa muda mlefu hatua hii ya tatu tunaita "๐๐ถ๐๐ฒ๐ฟ ๐๐ถ๐ฟ๐ฟ๐ต๐ผ๐๐ถ๐ ๐ฆ๐๐ฎ๐ด๐ฒ ".
Kovu hili la ini huingilia utendaji kazi wa ini kwakiwango kikubwa sana, na kulifanya ini lianze kuacha au kushindwa kufanya kazi zake au metabolism mbali mbali mwilini k**a vile uchujwaji wa Sumu, Asidi, Protini ya ziada, Mafuta na kuweka sawa viwango sahihi vya maji mwilini ili maisha yaweze kuendelea.
Na ukitazama kovu la ini ndio mwanzo wa ini kuingia katika hatua ya nne ya uharibifu wa ini ambayo ni Liver cancer au saratani ya ini.
Kwaiyo kwa wagonjwa waliopo hatua ya tatu, hatua ya nne na hatua ya tano maranyingi sana inakuwa ni ngumu kupona moja kwa moja kwasababu kovu la ini huwa ๐ต๐ฎ๐น๐ถ๐๐ถ๐ฏ๐ถ๐ธ๐ถ anaweza kumaliza maambukizi na kupata utaratibu wa chanjo, lakini bado ini lake likaendelea kuzalishwa seli za kansa.
Kwaiyo kupitia hatua hizi hatarishi, ngonjwa hushauliwa kuendelea kuhudhulia Dozi, Vyakula salama kwa afya ya ini pamoja na vipimo vya mara kwa mara ili kuzuiya kovu la ini lisiendelee kuharibu Tishu za ini zilizo Salia ili kuliwezesha ini kuendelea kufanya kazi kazi zake za kilasiku.
Matibabu ya dozi za kuondoa maambukizi ya virus vya homa ya ini dozi hizi zipo katika mfumo wa vidonge na ni za asili (Ant-hepatitis B Virus Medicine).
Ufanis wa dawa hizi katika kumaliza tatizo, dawa hizi ๐ต๐ฎ๐๐ถ๐ป๐ฎ viambata vya DNA ya kirus wa Hepatitis ambayo inamfanya awe sugu katika mwitikio wa dozi na kumtengeneza kirusi katika hali ya kufubazwa.
๐๐ข๐ญ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฃ๐๐ง๐๐ง๐๐ฆ ๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐จ๐๐๐ก๐ฌ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐๐จ๐ง๐ข๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ข:
โ Kuimarisha afya ya ini katika utendaji kazi wake.
โ Kurejesha seli za ini zilizo chakaa kwakuweka sawa chembe hai ya seli yani DNA.
โ Kuzilinda seli za ini au tishu zilizo hai zisiweze kushambuliwa na maambukizi.
โ Kuimarisha afya ya ini kwakufanya liver Recovering.
โ Kuimarisha afya ya figo na utumbo kwakuzuiya na kutibu vidonda vya tumbo, tumbo kujaa gesi, ganzi, bawasiri pamoja na kansa ya utumbo.
โ Kuzuiya Assicites yani tumbo kujaa maji pamoja na mwili k**a vile miguu.
โ Kuondoa na kuzuiya Jaunces yani manjano ya ngozi na macho.
โ Kuondoa na kuzuiya maumivu ya misuri, mifupa na kifua.
โ Kuongeza hamu ya kula na kuimarisha mfumo wa Digestion System yani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (๐๐๐ง ๐ป๐ฎ ๐๐ฆ๐ง ) Enzymes.
โ Blood Detoxification na Cleaning (Kusafisha damu kwakuondoa sumu, mabaki ya protini, Urea, asid, na kuondoa maambukizi yaliyo nje ya mfumo wa seli).
โ Kuongeza au kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake kuimarisha mfumo wao wa homon.
โ Kulinda na Kuimarisha afya ya figo na kibofu pamoja na uvunjwaji wa seli zilizo kufa kazi ambayo ufanywa na ini kwakuweka sawa rangi ya mkojo pamoja na nyongo.
Malengo yetu katika kutibu changamoto hii ni kutoa suluhisho bora na la kudumu katika kumaliza maambukizi na kuimarisha afya ini kwa ujumla, na mgonjwa aweze kuifikia huduma ya chanjo.
๐๐ช๐๐๐จ๐ญ๐๐ก๐๐๐ง๐๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ก๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐๐ข๐ฅ๐ ๐ก๐ ๐๐๐ง๐จ๐ ๐ญ๐ ๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ - ๐๐๐ง๐๐๐ ๐๐จ๐ฅ๐๐๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐๐จ๐ง๐ข๐๐ข๐ ๐๐ญ๐ ๐ ๐๐๐ ๐๐จ๐๐๐ญ๐ ๐๐๐ ๐๐จ๐๐ฃ๐จ๐ฆ๐๐ ๐๐๐ง๐๐ฅ๐ ๐ญ๐ ๐ฆ๐๐๐จ ๐ญ๐๐๐๐ญ๐ข:
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข, ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐, ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ก๐ ๐๐๐๐ก๐๐ข.
Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp. 0628 361 104 +255746484873