Afya Ya Uzazi Na Dr Nasir Masappliment

Afya Ya Uzazi Na Dr Nasir Masappliment Tunasaidia kutatua changamoto za uzazi kwa wanawake na wanaume.

TEZI DUME NA MATIBABU YAKE                    (BILA YA UPASUAJI).     Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kium...
30/06/2023

TEZI DUME NA MATIBABU YAKE
(BILA YA UPASUAJI).

Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji ambayo husafirisha mbegu za kiume.

KUPANUKA KWA TEZI DUME

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

DALILI ZA TEZI DUME

1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara.
2.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu (pole pole)
3.Kupatwa na ugumu kutoa mkojo (kutumia nguvu kuanzisha mkojo)
4.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho
6.Mkojo kuendelea kutoka kidogo dogo baada ya kukojoa (Kujichafua)
7.kibofu hakikauki mkojo
8.Kushindwa kukojoa kabisa.
9.Kupata mkojo mchache sana
10)Wakat mwengne mtu huweza kutokwa na Damu kwenye mkojo inaashiria ana kensa ya tezi dume

MADHARA YA KUCHELEWA KUTIBU TEZI DUME

1) Kushindwa kabisa kukojoa
2) Kupatwa na maambukizi ya UTI
3) Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu
4) Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea
5) Figo inaweza kuharibika
6) Upungufu wa nguvu za kiume.

TIBA YA HARAKA INAPATIKANA BILA YA UPASUAJI WOWOTE.
Kwa sasa inapatikana kwa bei ya ofa.
Kwa mahitaji tupigie/whatsapp 0621672394

*MAUMIVU CHINI YA KITOVU.*MAUMIVU haya yamegawanyika;-Yapo Yale ya chini ya kitovu, katikati, kulia na kushotoWengine wa...
26/06/2023

*MAUMIVU CHINI YA KITOVU.*
MAUMIVU haya yamegawanyika;
-Yapo Yale ya chini ya kitovu, katikati, kulia na kushoto

Wengine wanayapata Maumivu haya wanaposhiriki TENDO la ndoa.

Mwingine akiinama, au anapocheka au kuimba

Mwingine akilala kifudifudi.

*_HIO INAWEZA KUWA ISHARA YA;*

✓ Mirija ya UZAZI *kujaa* *maji mazito* na *machafu* ambayo *huzuia yai* kutembeza kwenye *Mirija* ya *UZAZI*

✓ Kuto kukomaa kwa mayai ya UZAZI- Hii husababisha vifuko vya mayai kuvimba ( Ovaritis )na kukuletea Maumivu chini ya kitovu mithili ya kichomi.

✓ Kuvimba kwa kuta za mji wa mimba na kuta za Mirija ya UZAZI( P.I.D)

✓Afya mbovu ya kibofu Cha mkojo ikiambatana na U.T. I.

*KWAKIFUPI NIKUJIBU* *HIVYO LAKINI NITAANDAA* *SOMO AMBALO NITAELEZA* *KWA KINA* *KUHUSU TATIZO HILI.*
*NA NAMNA YA KUKABILIANA* *NALO*

*_kwa matibabu piga/ text 0621672394*

*ZIJUE KIUNDANI DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI NA KWANINI UTUMIE DETOX*06216723941. Matatizo ya ngozi kwa mfano c...
26/06/2023

*ZIJUE KIUNDANI DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI NA KWANINI UTUMIE DETOX*
0621672394

1. Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
2. Kuwa na uzito wa kupindukia
3. Kutopata choo au kupata choo kigumu
4. Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
5. Kichwa kuuma kila mara
6. Kupata miwasho
7. Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
8. Kuwa na hasira mara kwa mara.
9. Tumbo kujaa gesi nk

MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU
1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kupata maambukizi ya figo
3. Kupata maambukizi ya Ini
4. Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5. Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
6. Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
7. Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
8. Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.
Detox ndio suluhisho
Zipo kwenye ofa
0621672394 Mr Nasir M Juma

*KUTOKWA NA UCHAFU UKENI ...* Kutokwa Na uchafu ukeni ni sababu tosha itakayomfanya mwanamke asijisikie huru wakati wote...
25/06/2023

*KUTOKWA NA UCHAFU UKENI ...*

Kutokwa Na uchafu ukeni ni sababu tosha itakayomfanya mwanamke asijisikie huru wakati wote!
Kuna sababu nyingi zinazopelekea tatizo hili kutokea;

Maambukizi katika uke ni tatizo la kawaida kwa wanawake na wanawake wengi wameshapata tatizo la maambukizi angalau mara moja katika maisha yao.

Ukiona yafuatayo, ujue unaweza kuwa na tatizo la maambukizi ya vijijidudu vya maradhi katika uke wako:

✓Kutokwa a uchafu ukeni kunakoambatana na kuwashwa au vijipele,

✓kutokwa na uchafu ukeni ambako ni endelevu na kwa kiwango kinachozidi kila siku,

✓kusikia maumivu wakati wa kutoa haja ndogo,

✓kutokwa na uchafu mweupe, mzito k**a jibini, uchafu wa kijivu/mweupe au njano/kijani unaotoa harufu mbaya.

AINA YA UCHAFU USIO WA KAWAIDA

Kitu chochote kitakachoharibu uwiano wa bacteria wa kawaida waishio katika uke kinaweza kuleta mabadiliko katika rangi, harufu au muundo wa uchafu utakaotoka katika uke.

Hapa chini naonyesha aina ya uchafu unaotoka, maana yake au chanzo chake na dalili ambazo zitatokea kwenye mwili wa mwanamke husika:

•Uchafu wenye damu na rangi ya kahawia ni dalili ya mzungumko wa mwezi wa mwanamke uliovurugika na mara chache ni dalili ya kansa ya Cervix au aina nyingine ya kansa iitwayo Endometrial Cancer.Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi ukeni na kuumwa nyonga.

•Mwanamke akitokwa na uchafu wenye rangi ya mawingu au njano hiyo ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonorrhea). Mwanamke atatokwa na damu katikati ya siku zake, atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga.

•Mwanamke akitokwa na uchafu wa rangi ya kijani ikiambatana na harufu mbaya na ikiwa uchafu utatoka k**a mapovu, wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya, hii ni dalili ya Trichomoniasis, maambukizi (parasitic) yanayotokana na ngono zembe.

Dalili nyigine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.

•Ukitokwa na uchafu mweupe mzito k**a maziwa mtindi hiyo ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungus (Yeast Infection) na dalili nyingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (v***a) na kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa.

•Lakini uchafu ukiwa mweupe au kijivu wenye harufu k**a ya samaki hiyo ni dalili za maambukizi ya Bacterial Vaginosis.

•Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu, kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (v***a).

Maambukizi ya Bacterial Vaginosis, Trichomoniasis na Monilia (Yeast) Infection

Wanawake wenye wapenzi wengi ambao hujamiiana nao au wanaofanya mapenzi kupitia midomo (oral s*x) wanakuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata maambukizi ya Bacterial Vaginosis.

Dalili za Bacterial Vaginosis ni kuongezeka kwa uchafu unaotoka ukeni k**a tulivyosema, kutokwa na uchafu wa kijivu/mweupe, mwepesi au wa majimaji, harufu k**a ya samaki ikiambatana na uchafu na harufu inayozidi au uchafu unaozidi mara baada ya kufanya tendo la ndoa .....

Tatizo hili linatibika na dawa kwa gharama nafuu sana.

*Whatsap 0621672394*

*Piga 0621672394*

**Uume kulegea huashiria mzunguko wa damu ktk mishipa inayopatikana katika uume hauendi uzuri. Kuchelewa kulitatua tatiz...
22/06/2023

**Uume kulegea huashiria mzunguko wa damu ktk mishipa inayopatikana katika uume hauendi uzuri. Kuchelewa kulitatua tatizo ilo hupelekea ukhanithi yaani mtu kutoweza kusimamisha uume mazima. Hivo chukuwa hatuwa k**a una dalili zifuatazo:-*
*(1) Uume kulegea unaposimama au kutokuweza kuusimamisha kabisa.*
*(2) kuwahi kufika kilelen au kutumia mda mdogo sana wakat wa tendo la ndoa.**

*TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO, FAHAMU VYANZO, DALILI NA TIBA YA GANZI MIGUUNI, MIKONONI AU VIDOLENI.*Matatizo haya ya kia...
21/06/2023

*TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO, FAHAMU VYANZO, DALILI NA TIBA YA GANZI MIGUUNI, MIKONONI AU VIDOLENI.*

Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni
mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.

*CHANZO CHA TATIZO*
Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:-
1. Kupungua kwa virutubisho mwilini, hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
2. Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi.
3.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu MAUMIVU (pain killer)
4. Uzito mkubwa wa mwili.
5. Ugonjwa wa kisukari(diabetic neuropathy).
6. Shinikizo la damu.(blood Presure)
7. Unywaji wa pombe kupita kiasi.
8. Magonjwa ya figo.

*DALILI ZA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO*
Ugonjwa huu unadalili nyingi zikiwemo;-
1. Kuhisi ganzi.
2. Kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni.
3. kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani.
4. Joto Kali miguuni,kuhisi k**a unaungua miguuni.
5. kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.
6. Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi

*Tuwasiliane Leo tuone namna Gani unavyoweza kuondokana na changamoto hii:*

📞 +255 621672394

*Mwanaume kuwa na viashiria k**a:*1. Uume kushindwa kusimama unapoamka2. Kupoteza nywele3. Kukosa usingizi4. Kupungua kw...
21/06/2023

*Mwanaume kuwa na viashiria k**a:*
1. Uume kushindwa kusimama unapoamka
2. Kupoteza nywele
3. Kukosa usingizi
4. Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
5. Hasira za haraka.

Vinaweza kuwa ishara ya kushuka kwa kiwango cha hormone ya testosterone. Tengeneza utaratibu wa kupima.

*NB:Tumia BEDROOM PACK kuongeza kiwango cha homoni za kiume mwilini ili uweze kufanya tendo la ndoa kwa usahihi(Kupata BEDROOM PACK nitafute kupitia namba 0621672394)*👇👇👇

*FAHAMU_KUHUSU_VIDONDA_VYA_TUMBO. (ULCERS)* ~Ni ugonjwa ambao mtu hupata michubuko au vijitundu katika kuta za ndani za ...
18/06/2023

*FAHAMU_KUHUSU_VIDONDA_VYA_TUMBO. (ULCERS)*

~Ni ugonjwa ambao mtu hupata michubuko au vijitundu katika kuta za ndani za viungo vya umeng'enyaji au uyeyushaji chakula.

•AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO.
1/ Oesophagael Ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye koo.
2/Duodenum ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo Mdogo.
3/Gastric Ulcers - ni vidonda ambavyo hutokea kwenye mfuko wa chakula (TUMBO).

"CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO.
~Kushinda mda mrefu bila kula.
~Msongo wa mawazo (Stress).
~Matumizi ya dawa kwa mda mrefu,mfano aspirin
~H plyori hutengeneza enzymes (urease)ambayo hupunguza makali ya tindikali.
~Matumizi ya pombe na tumbaku kwa mda mrefu.
~Bacteria(helicobacteria).

•DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO.
~Maumivu ya tumbo
~Tumbo kujaa gesi/kunguruma
~Kichefuchefu na kutapika.
~Kupungua uzito
~Kupata choo cheusi
~Kupatwa na kiungulia
~Kushiba kwa mda mfupi
~Kutapika damu au k**a mabaki ya kahawa.

Matibabu yapo piga/sms/WhatsApp no:0621672394

*DALILI 10 ZA HATARI KATIKA UUME WAKO**  Kuna dalili 10 ambazo hutakiwi kuzipuuza kabisa iwapo ukiziona katika uume wako...
17/06/2023

*DALILI 10 ZA HATARI KATIKA UUME WAKO**

Kuna dalili 10 ambazo hutakiwi kuzipuuza kabisa iwapo ukiziona katika uume wako.

1. Uume kutodinda (kutosimama) wakati wa asubuhi, ukiona hali hii usipuuze kabisa ewe mwanaume.
Hii ni dalili mojawapo ya upungufu wa nguvu za kiume, damu kutozunguka vizuri katika uume wako.
Mwanaume rijali ni lazima alfajiri uume usimame, tena unakuwa mgumu haswa, usipuuze ukiona tofauti.

2. Ukifika mshindo (kileleni), mbegu za kiume hazitoki, humwagi mbegu za kiume, usiipuuze hali hii.
Kuna tatizo la kiafya ambapo unapofika mshindo, badala ya mbegu za kiume kutoka nje, zinaenda kwenye kibofu cha mkojo.
Kuna njia mbili za kuitambua hali hii, njia ya kwanza ni kutoona manii (mbegu za kiume) baada ya kufika kileleni.
Njia ya pili ni kukojoa mkojo mzito, mithili ya wingu zito, ni kwa sababu ya manii zilizoenda kwenye kibofu cha mkojo.

3. Maumivu makali uume unaposimama, ambapo hudumu zaidi ya masaa manne.
Hii inaweza kusababishwa na hali mbili, kwanza kabisa ni kujeruhika kwa mishipa ya damu.
Pili ni mishipa ya damu kuziba, na hivyo damu kujaa katika uume bila kutoka kwa urahisi na kupelekea maumivu.
Ukiona dalili hii ya maumivu uume unaposimama, wasiliana na mtaalamu wako wa afya mapema.

4. Usaha kutoka katika mrija wa mkojo ambapo hali hii inaweza kuambatana na maumivu.
Hii inaweza kuwa ni dalili ya kisonono, na hutokea muda mfupi baada ya kupata maambukizi.
Kisonono ni ugonjwa wa zinaa, hivyo k**a umefanya ngono isiyo salama basi unaweza kukumbana na hali hii.
Ukiona usaha unatoka katika uume wako, muone mtaalamu wako wa afya haraka sana akusaidie.

5. Muwasho mkali katika bomba au njia ya mkojo, utaona muwasho ndani ya uume katika njia ya mkojo.
Hii inaweza kuwa ni dalili ya fangasi katika mrija wa uume, ndio maana unapata muwasho mkali.
Unaweza kutamani kukuna, lakini haiwezekani kwa sababu muwasho unatokea kwa ndani.
Hapa unafuu ni kuminyaminya uume wako, ndio utaona muwasho

MAMBO 10 AMBAYO PRESSURE YA KUPANDA INAWEZA IKA ATHIRI KWENYE AFYA YAKOHigh Blood Pressure au Shinikizo la Damu inaweza ...
17/06/2023

MAMBO 10 AMBAYO PRESSURE YA KUPANDA INAWEZA IKA ATHIRI KWENYE AFYA YAKO

High Blood Pressure au Shinikizo la Damu inaweza ika kuletea madhara 10 kwenye mwili wako k**a ifuatavyo ;

*➡️Kuharibu mishipa ya Damu*

*➡️Kupanua Moyo*

*➡️Kuthiri Macho/uono hafifu*

*➡️Kichwa kuuma sana*

*➡️Upungufu wa Nguvu za Kiume*

*➡️Maumivu ya Kifua*

*➡️Athari katika Afya ya Mifupa*

*➡️Hatari ya Kupata Shambulio la Moyo & Stroke*

*➡️Athari katika kufikiri ,kumbu kumbu nk*

*Yawezekana ni wewe au rafiki na ndugu wa karibu ana teseka na Pressure kwa muda mrefu ,*

*Nime andaa Maelezo Mazuri ya Jinsi ya Kumaliza kabisa Tatizo Hili la Pressure...*

*Tuwasiliane Leo tuone namna Gani unavyoweza kuondokana na changamoto hii:*

*📞 +255 621672394*

*SULUISHO LA NGUVU ZA KIUME NA PUNYETO NI - BADROOM PACKAGR*Hivi ni virutubisho/dawa maalumu kwa waathirika wa Punyeto n...
17/06/2023

*SULUISHO LA NGUVU ZA KIUME NA PUNYETO NI - BADROOM PACKAGR*

Hivi ni virutubisho/dawa maalumu kwa waathirika wa Punyeto na wenye Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Kutokana na sababu mbali mbali k**a mtindo mbovu wa ulaji wa vyakula, magonjwa sugu k**a sukari, pressure, Ini na Figo, UNENE mkubwa pamoja na msongo wa mawazo.
Dawa hizi hufanya kazi zifuatazo:-

✅Huongeza Hamu Na Uwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa

✅Hufungua Mirija Midogomidogo Ya kibofu Kwenye Uume Ambayo Hufa Kwa Ajiri Ya Umri Na Kisukari/Presha

✅Huondoa Uchovu

✅Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume

✅Huondoa Tatizo La Maumivu Uume Ukiwa Umesimama

✅Humfanya Mwanaume Akae Muda Mrefu Kwenye Tendo

✅Huongeza Kinga Kwenye Via Vya Uzazi

✅Humfanya Mwanaume Arudie Tendo Bila Kuchoka Na Kwenye Ubora Wa Hali Ya Juu
✅Huondoa Tatizo La Uume Kusimama Ukiwa Legelege
✅Huondoa Tatizo La Uume Kurudi Ndani Na Kuwa K**a Wa Mtoto
✅Huondoa Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Na Ugumba Kwa Wanaume

Ni Asili yenye viambata zaidi ya Vinne.

Tuwasiliane Leo tuone namna Gani unavyoweza kuondokana na changamoto hii:

📞 +255 621672394

*TANGAWIZI NA FAIDA ZAKE* Tangawizi Ni Moja Ya kiungo Kinachoweza Kurejesha Nguvu Za Kiume, Unaweza Kuichemsha Tangawizi...
11/06/2023

*TANGAWIZI NA FAIDA ZAKE*
Tangawizi Ni Moja Ya kiungo Kinachoweza Kurejesha Nguvu Za Kiume, Unaweza Kuichemsha Tangawizi Na Ukatumia Kwa Kuinywa K**a Chai Asubuhi, Mchana Na Jioni ukichanganya na asali .

1.Tangawizi husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. Kwa hivyo, ni bayana kuwa kiungo cha mwanamume kinachoshiriki tendo la ndoa kitakuwa na damu ya kutosha na pia kustahimili tendo kwa muda mrefu bila kulegea wala kusinyaa

2.Pia, ulaji wa tangawizi husaidia kuongeza hamu (ashki) ya kufanya tendo la ndoa.

3.Tangawizi saidia kwenye mmeng'enyo wa chakula tumbo

-Pia Tangawizi Unaweza Ukaitumia Katika Mchanganyiko Wa Kiasili Kwa Kutumia Habat Soda, Asali, Kitunguu Swaumu Na Tangawizi Yenyewe

Kalibu kwenye group langu la afya upate elimu na ushauri juu ya mchanganyo huu na namna gani naweza utumia kuboresha afya ya uzazi Kwa mwanaume .
WASILIANA NAMI 0621672394

Address

Kwerekwe Zanzibar/ilala Dar Es Salaam
Zanzibar
00000

Telephone

+255621672394

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Uzazi Na Dr Nasir Masappliment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Ya Uzazi Na Dr Nasir Masappliment:

Share