Afya Yako Mtaji Wakoheal

Afya Yako Mtaji Wakoheal TUNATOA HUDUMA ZA AFYA

JE, UNASUMBULIWA NA BAWASIRI?Umechoka na maumivu wakati wa kwenda chooni? Unatokwa na damu, au unahisi uvimbe sehemu ya ...
22/04/2025

JE, UNASUMBULIWA NA BAWASIRI?
Umechoka na maumivu wakati wa kwenda chooni? Unatokwa na damu, au unahisi uvimbe sehemu ya haja kubwa?

Bawasiri (Hemorrhoids) ni tatizo linalowapata watu wengi bila wao kujua tiba sahihi!

Dalili za bawasiri ni pamoja na:

Maumivu au muwasho mkali sehemu ya haja kubwa

Kutokwa na damu wakati wa haja

Kuvimba au kutoka kwa nyama ndogo sehemu ya haja

Kutojisikia vizuri au kukaa kwa maumivu

Usikubali kuishi kwa maumivu!
Tunatoa tiba ya asili/salama kwa bawasiri ya ndani na ya nje, bila upasuaji.

Tiba zetu zimethibitishwa na wataalamu na hazina madhara!

Wasiliana nasi Leo kwa WhatsApp no. 0787976396

JE, UNASUMBULIWA NA BAWASIRI?Umechoka na maumivu wakati wa kwenda chooni? Unatokwa na damu, au unahisi uvimbe sehemu ya ...
22/04/2025

JE, UNASUMBULIWA NA BAWASIRI?
Umechoka na maumivu wakati wa kwenda chooni? Unatokwa na damu, au unahisi uvimbe sehemu ya haja kubwa?

Bawasiri (Hemorrhoids) ni tatizo linalowapata watu wengi bila wao kujua tiba sahihi!

Dalili za bawasiri ni pamoja na:

Maumivu au muwasho mkali sehemu ya haja kubwa

Kutokwa na damu wakati wa haja

Kuvimba au kutoka kwa nyama ndogo sehemu ya haja

Kutojisikia vizuri au kukaa kwa maumivu

Usikubali kuishi kwa maumivu!
Tunatoa tiba ya asili/salama kwa bawasiri ya ndani na ya nje, bila upasuaji.

Tiba zetu zimethibitishwa na wataalamu na hazina madhara!

Wasiliana nasi leo:0787976396

NGUVU ZA KIUMETUELEWESHANE KWANZA MAANA HALISI YA NENO UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEUpungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya k...
03/02/2025

NGUVU ZA KIUME
TUELEWESHANE KWANZA MAANA HALISI YA NENO UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu.

CHANZO CHA TATIZO
✍️Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
✍️Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
✍️Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
✍️Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
✍️Kisukari
✍️Kuwa na mawazo na wasiwasi
✍️Matumizi ya madawa mbalimbali ya kutuliza maumiv
✍️Umri hasa wazee
✍️Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
✍️Kuwa na tatizo la kibofu
✍️Tabia za kujichua kwa mda mrefu
✍️Kutopata usingizi kamili
✍️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
✍️Kuwahi kufika kileleni
✍️Kukosa hamu ya mapenzi
✍️Kushindwa kurudia tendo la ndoa
✍️Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
✍️Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
✍️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
✍️Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
✍️Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

DOZI ZETU ZITAKUSAIDIA;
👉Kuondoa tatizo la Kuwahi kufika kileleni
👉Kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume
👉Kuondoa tatizo la Homon Imbalance
👉Kuzuia maumivu ya korodani na Korodani kupanda juu
👉Kuimarisha na Kuongeza nguvu katika mirija ya uume
👉Kuupa Msuli wa Pelvic nguvu
👉Kuepusha uume Kusinyaa katikati ya mchezo
👉Kuzalisha mbegu Zenye ubora na kuzuia Ugumba/Utasa
👉Kusafisha kibofu Cha Mojo
👉Kuzuia na kutibu maambukizi kwenye Uzazi, maumivu ya mgongo na tumbo kwa mwanaume
👉Kuzuia Korodani kuvimba au kusinyaa

NDIO MAANA TUMEWEKA BIDHAA ZINAZOGUSA KILA ENEO, KWANI LENGO LETU NI KUMALIZA CHIMBUKO AU MZIZI WA TATIZO.KWA MSAADA NA USHAURI WATSAPP 0754309681 WAWEZA KUTUPIGIA PIA KWA NAMBA HYO HYO

𝐅𝐀𝐇𝐀𝐌𝐔 𝐃𝐀𝐋𝐈𝐋𝐈 𝐍𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 𝐙𝐀 𝐔𝐆𝐎𝐍𝐉𝐖𝐀 𝐖𝐀 𝐁𝐀𝐖𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈Bawasili au hemorrhoids ni ugonjwa ambao unatokea pale ambapo mishipa ya d...
27/01/2025

𝐅𝐀𝐇𝐀𝐌𝐔 𝐃𝐀𝐋𝐈𝐋𝐈 𝐍𝐀 𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 𝐙𝐀 𝐔𝐆𝐎𝐍𝐉𝐖𝐀 𝐖𝐀 𝐁𝐀𝐖𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈
Bawasili au hemorrhoids ni ugonjwa ambao unatokea pale ambapo mishipa ya damu( veins) inapotanuka na kujaa damu na kufanya mtu kuota vinyama kwenye sehemu ya haja kubwa.
Bawasili ipo ya aina mbili: kuna bawasili ya ndani na bawasili ya nje. Bawasili ya ndani vinyama huota kwa sehemu ya ndani ya haja kubwa na kwa bawasili ya nje vinyama huwa vinaota kwenye sehemu ya nje ya njia ya haja kubwa.
SABABU ZA BAWASILI :
1. Kukosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumu
2. Kunyanyua vitu vizito
3. Kukaa kwa muda mrefu
4. Kuharisha sana
5. Uzito mkubwa kupita kiasi
6. Umri mkubwa
7. Ujauzito
DALILI ZA BAWASILI:
1. Kutoka damu sehemu ya haja kubwa
2. Kupata maumivu sehemu ya haja kubwa
3. Kuota vinyama sehemu ya haja kubwa
4. Kupata muwasho sehemu ya haja kubwa.
Usihofu nimekuandalia suluhisho la uhakika na unapona kabisa huu ugonjwa.
Kwa mawasiliano na huduma zaidi piga:0754309681

DALILI ZA UGONJWA WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZIDalili za ugonjwa huu huanza kujitokeza baada ya tatizo kuanza kukomaa,...
24/09/2024

DALILI ZA UGONJWA WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Dalili za ugonjwa huu huanza kujitokeza baada ya tatizo kuanza kukomaa,

zifuatazo ni baadhi ya dalili

•Kutojiskia vizuri(Maumivu)unapo shiriki tendo na unaweza kuona damu kipindi unapo toka kushiriki tendo ama mwanaume kuona chembechembe za damu kwenye uume baada ya tendo kwenye uume ama mwanamke anapo kwenda jisafisha kuona chembechembe za damu au kutokwa damu.

•Kutokwa na maji maji yenye harufu ukeni

•Kutokwa damu baada ya kujamiiana

•Kutokwa damu kusiko kwa kawaida (siyo damu ya hedhi)

•Kuumwa mgongo na kiuno

•Kuumwa miguu au kuvimba hasa k**a ugonjwa umegusa figo na organ zingine

•Kizunguzungu na kuishiwa nguvu

Uonapo Dalili hizi ni vizuri kuwasilina na mtaaalamu wa afya kwa ushauri Zaidi

Piga

0754 30 96 81

UGONJWA WA KUKOJOA DAMU (HAEMATURIA)Ugonjwa wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwa na chembechembe za damu nyekund...
24/09/2024

UGONJWA WA KUKOJOA DAMU (HAEMATURIA)

Ugonjwa wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwa na chembechembe za damu nyekundu (red blood cells), kitaalam huitwa haematuria.

✍🏻Kukojoa damu ni dalili ya kuonesha kuwa mtu huyo anayekojoa damu ana magonjwa katika mfumo wake wa mkojo k**a vile magonjwa ya kichocho au magonjwa mengine yanayoshambulia kibofu cha mkojo au kwenye figo, jambo ambalo ni hatari kwa anayeugua.

SABABU ZA UGONJWA HUU

▶U.T.I
▶Magonjwa ya zinaa hasa kwa wanawake
▶Vijidudu k**a staphylococcus saprophyticus
▶Mawe kwenye figo (kidney stone)
▶Kuvimba kwa tezi zinazozalisha manii kwa wanaume.
▶Kupata ajali na kuumia sehemu za mfumo wa mkojo (trauma)
▶Kupata magonjwa ya kansa ya kibofu cha mkojo.
▶Mtu kuugua magonjwa ya upungufu wa damu mwilini maarufu k**a sickle cell, anemia na magonjwa ya figo k**a vile nephotic syndrome

kwa kufuatilia ukurasa wetu wa Afya, share ujumbe huu uwafikie watu wengi.

Page yetu ya Facebook
"Afya yako mtaji wakoheal"

Wasiliana nasi Sasa
0754309681

Piga Simu au tuma sms

“JIFUNZE na Chukua Hatua Juu Ya Afya Yako”.

Address

Zanzibar
Zanzibar
212

Telephone

+255754309681

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Yako Mtaji Wakoheal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Yako Mtaji Wakoheal:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram