Zanzibar International Marathon

Zanzibar International Marathon Official page of Zanzibar International Marathon where culture, history, and passion for running meet. Join the journey.

Eid MubarakTunawatakia Waislamu wote Eid Mubarak yenye furaha, amani na baraka.      RunZanzibarZanzibar
21/03/2026

Eid Mubarak
Tunawatakia Waislamu wote Eid Mubarak yenye furaha, amani na baraka.




RunZanzibar
Zanzibar

Tulipata heshima ya kuhudhuria futari iliyoandaliwa na Yas, iliyofanyika tarehe 12 Machi katika Hoteli ya Golden Tulip, ...
12/03/2026

Tulipata heshima ya kuhudhuria futari iliyoandaliwa na Yas, iliyofanyika tarehe 12 Machi katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.

Tukio hili liliwakutanisha wadau na washirika mbalimbali katika mazingira ya ukarimu, mshik**ano na kuthaminiana katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Tunatoa shukrani zetu kwa Yas kwa mwaliko na ukarimu wao.

We extend our sincere appreciation to every stakeholder, participant, sponsor, and the entire team that ensured the Yas ...
08/12/2025

We extend our sincere appreciation to every stakeholder, participant, sponsor, and the entire team that ensured the Yas Zanzibar International Marathon became a unique event, marked by excellent organization and outstanding success.
Each one of you contributed in a special way—from the preparation stages, your participation on the course, to the energy you brought on race day.

Your strength, collaboration, and enthusiasm are what shaped this year’s history and continue to elevate this marathon into one of the most significant and inspiring events in the East African region.

Thank you for being part of this journey. The journey continues.

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma umekabidhi hundi ya pesa taslim ya shilingi Milioni Kumi k**a sehemu ya ...
08/12/2025

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma umekabidhi hundi ya pesa taslim ya shilingi Milioni Kumi k**a sehemu ya utaratibu wa kurudisha kwa jamii.

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya hundi hiyo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation Sabra Ali Mohamed amesema fedha hizo zinakwenda kusaidia jamii hasa katika kuunga mkono matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Amesema fedha hizo zinakwenda moja kwa moja katika kuunga mkono jitihada za viongozi wa nchi katika kuhakikisha jamii inabadilika kutoka katika matumizi ya nishati chafu na kuingia katika nishati safi ya kupikia.

27/11/2025

Yas Zanzibar International Marathon 2025.


Marathon
RunParadise
RunZanzibar
Zanzibar

Hongera kwa washindi wa mbio za 10km wanawake, waliokimbia kwa kasi na umakini mkubwa, wakionesha uwezo na ushindani wa ...
25/11/2025

Hongera kwa washindi wa mbio za 10km wanawake, waliokimbia kwa kasi na umakini mkubwa, wakionesha uwezo na ushindani wa hali ya juu.
Ushindi wao umeleta msisimko na nguvu mpya kwenye mashindano ya mwaka huu.



Marathon
RunParadise
RunZanzibar
Zanzibar

Hongera kwa washindi wa mbio za 10km wanaume, waliotumia kasi, nguvu na uthabiti kuonesha ubora wao katika mashindano.Us...
25/11/2025

Hongera kwa washindi wa mbio za 10km wanaume, waliotumia kasi, nguvu na uthabiti kuonesha ubora wao katika mashindano.
Ushindi wao umeendelea kuongeza hamasa na kuthibitisha kiwango cha juu cha ushindani kwenye marathon ya mwaka huu..



Marathon
RunParadise
RunZanzibar
Zanzibar

Washindi wa Wanawake  21kmHongera kwa washindi wa mbio za 21km wanawake, waliokimbia kwa nguvu, ustahimilivu na kiwango ...
25/11/2025

Washindi wa Wanawake 21km
Hongera kwa washindi wa mbio za 21km wanawake, waliokimbia kwa nguvu, ustahimilivu na kiwango kikubwa cha ushindani.
Ushindi wao umeleta hamasa na kuonesha uwezo mkubwa wa wanariadha wa Zanzibar na nje ya Zanzibar..


Marathon
RunParadise
RunZanzibar
Zanzibar

Address

Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar International Marathon posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram