Zanzibar Afya Week

Zanzibar Afya Week Advancing Health & Innovation | Medical Tourism | Public Health | Partnership | Zanzibar.

31/03/2026

Mwaka jana tulikusanya nguvu, mawazo na suluhisho.
2026 tunarudi kuandika historia mpya ya afya Zanzibar.
Uko Tayari?

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Profesa Mohamed Yakub Jan...
19/05/2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Profesa Mohamed Yakub Janabi kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika.

Uteuzi huu ni uthibitisho wa mchango mkubwa alioutoa Profesa Janabi katika sekta ya afya, pamoja na dhamira yake ya kuimarisha mifumo ya afya barani Afrika.

Zanzibar itaendelea kuunga mkono ajenda ya afya ya kikanda na kimataifa, pamoja na kushirikiana kwa karibu na Profesa Janabi katika juhudi za pamoja za kuboresha huduma za afya.

๐—ก๐—ฒ๐—ป๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐—ช๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟโ€œTunatoa shukrani za dhati kwa taasisi zote, washirika, w...
16/05/2025

๐—ก๐—ฒ๐—ป๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ฆ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐—ช๐—ถ๐˜‡๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ

โ€œTunatoa shukrani za dhati kwa taasisi zote, washirika, wadau wa afya, na wananchi walioungana nasi katika kufanikisha Zanzibar Afya Week 2025. Ushiriki wenu umeonesha dhamira ya kweli ya kuimarisha afya, uvumbuzi, na ustawi wa jamii yetu. Tutaendelea kushirikiana kwa ajili ya Zanzibar yenye afya njema kwa wote.โ€
Dkt. Mngereza Mzee Miraji, Katibu Mkuu, Wizara ya Afya Zanzibar

โ€œTunapofunga pazia la Zanzibar Afya Week 2025, natoa shukrani za dhati kwa washiriki wote, wadau, na wananchi wa Zanziba...
14/05/2025

โ€œTunapofunga pazia la Zanzibar Afya Week 2025, natoa shukrani za dhati kwa washiriki wote, wadau, na wananchi wa Zanzibar. Kwa pamoja tumeonesha kuwa afya bora, ubunifu na ustawi vinawezekana.โ€
Mh. Nassor Ahmed Mazrui, Waziri wa Afya Zanzibar

Asanteni kwa kuifanya wiki hii kuwa ya mafanikio makubwa.
Tukutane tena tarehe 10 Mei, 2026!

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam
11/05/2025

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, akikabidhiwa Kombe la Mapinduzi k**a sehemu ya ma...
10/05/2025

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, akikabidhiwa Kombe la Mapinduzi k**a sehemu ya maadhimisho ya Zanzibar Afya Week 2025 yanayofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.

Mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, akiingia rasmi kumuwakilisha Rais wa Zanzibar katika Zanzibar Afya Week...
10/05/2025

Mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, akiingia rasmi kumuwakilisha Rais wa Zanzibar katika Zanzibar Afya Week 2025.

Zanzibar Afya Week 2025 Official OpeningWe are honored to have H.E. Mrs. Mariam H. Mwinyi, First Lady of Zanzibar and Fo...
07/05/2025

Zanzibar Afya Week 2025 Official Opening

We are honored to have H.E. Mrs. Mariam H. Mwinyi, First Lady of Zanzibar and Founder & Chairperson of the Board of Trustees of Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), officially open Zanzibar Afya Week 2025.

Her presence and leadership reflect a deep commitment to advancing health, innovation, and wellness in Zanzibar.

Golden Tulip, Zanzibar
4th โ€“ 10th May 2025

Press Conference Hon. Minister of Health, ZanzibarJoin us tomorrow, 7th May at 01:00 PM, for an official press briefing ...
06/05/2025

Press Conference Hon. Minister of Health, Zanzibar

Join us tomorrow, 7th May at 01:00 PM, for an official press briefing led by Hon. Ahmed Mazrui, Minister of Health, Zanzibar sharing key updates and insights on Zanzibar Afya Week 2025.

Location: Golden Tulip, Zanzibar

CRJE Company ConfirmedWeโ€™re glad to welcome CRJE among the confirmed participants of Zanzibar Afya Week 2025 joining han...
06/05/2025

CRJE Company Confirmed
Weโ€™re glad to welcome CRJE among the confirmed participants of Zanzibar Afya Week 2025 joining hands to support health, innovation, and wellness in Zanzibar.

Golden Tulip, Zanzibar
4th โ€“ 10th May 2025

05/05/2025

Address

Zanzibar
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Afya Week posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram