Mwanaume Imara-Tiba Asili

Mwanaume Imara-Tiba Asili Tunarejesha heshima ya mwanaume kwa tiba 100% asilia. Nguvu, hamu ya tendo, Afya ya uzazi- vyote bila ya kemikali. KARIBU MWANAUME IMARA.

Mr. Zuhaal anakutakiaRamadhan Mubarak
25/02/2026

Mr. Zuhaal anakutakia
Ramadhan Mubarak

Unadhani ni jambo gumu kwetu??Ni rahisi mno follow ili kupata code
09/12/2025

Unadhani ni jambo gumu kwetu??

Ni rahisi mno follow ili kupata code

09/12/2025
09/12/2025

Rudi kwa Mungu akutatulie

MWANAUME HASIFIWI KULA!
25/11/2025

MWANAUME HASIFIWI KULA!

Tunapowaambia hili jambo ni jepesi sana kwetu tuamini hivyo.Ndani ya siku 21 utakuwa sawa kwa mafunzo ya bure.
09/11/2025

Tunapowaambia hili jambo ni jepesi sana kwetu tuamini hivyo.

Ndani ya siku 21 utakuwa sawa kwa mafunzo ya bure.

Miti hii ina maajabu makubwa sana. Wewe k**a mwanaume unatakiwa kuyafahamuJe unahitaji kufahamu maajabu yake!?Weka Alama...
08/11/2025

Miti hii ina maajabu makubwa sana. Wewe k**a mwanaume unatakiwa kuyafahamu

Je unahitaji kufahamu maajabu yake!?

Weka Alama ya 🔥🔥🔥 kwenue comment section ili nikujuze

🔥 “Mwanaume, Usikubali Kunyamaza Kimya!” 🔥Kila siku mamia ya wanaume wanapoteza nguvu zao za kiume kimya kimya… wanahisi...
19/09/2025

🔥 “Mwanaume, Usikubali Kunyamaza Kimya!” 🔥

Kila siku mamia ya wanaume wanapoteza nguvu zao za kiume kimya kimya… wanahisi aibu kuuliza, wanakosa raha na kujiamini nyumbani.
Sababu kubwa:

Msongo wa mawazo

Lishe duni

Kukosa mazoezi

Shinikizo la damu au kisukari

Lakini habari njema ni kwamba bado unaweza kurudisha nguvu zako asili bila dawa za kemikali.
✅ Mazoezi maalum
✅ Mchanganyiko wa vyakula na mimea
✅ Mpango sahihi wa siku 21

Nimesaidia wanaume wengi kurudisha nguvu zao asili ndani ya wiki chache tu. Sasa ni zamu yako!

💥 Usisubiri tatizo liwe kubwa – chukua hatua sasa!
📲 Andika kwenye comment section NIFUNZE upate bure “Mwongozo wa Mpango wa Siku 21 wa Kuimarisha Nguvu za Kiume”

USISAHAU KUFOLLOW ILI UPATE MUENDELEZO WA MASOMO

🔴 UNAJIONA HASWA HUNA HAMASA WALA NGUVU?Kuna wakati ulikuwa unaamka ukiwa na nguvu. Ulikuwa unaamka ukiwa na msisimko, m...
25/06/2025

🔴 UNAJIONA HASWA HUNA HAMASA WALA NGUVU?

Kuna wakati ulikuwa unaamka ukiwa na nguvu. Ulikuwa unaamka ukiwa na msisimko, mwili ukiwa tayari hata kabla hujajiandaa.

Lakini siku hizi… kimya.
Unaamka mzito.
Huna nguvu.
Na ukifika faragha, mambo yanakata hata hujaanza vizuri.

Unajiambia ni uchovu, unajipa matumaini kesho itakuwa tofauti — lakini haibadiliki.

Ukweli ni kwamba mwili wako unaomba msaada.

📌 Habari njema: kuna njia za asili za kurejesha nguvu zako, bila dawa kali, bila kuharibu mwili.

🟢 Andika “NISAIDIE” kwenye comment au inbox — utapokea somo la kwanza na mpango wa kurejesha nguvu zako ndani ya siku 21.

🔴 JE, UNAJICHUA? ANGALIA MADHARA HAYA 5!Wengi hudhani kujichua ni jambo la kawaida au la kupita, lakini ukweli ni kwamba...
23/06/2025

🔴 JE, UNAJICHUA? ANGALIA MADHARA HAYA 5!

Wengi hudhani kujichua ni jambo la kawaida au la kupita, lakini ukweli ni kwamba linaathiri sana afya ya mwanaume, hasa ukizoea kwa muda mrefu.

👇 Haya ni baadhi ya madhara yake:

1. 😓 Kuchoka haraka unapokuwa na mwenza

2. 🔻 Kupungua nguvu za kiume na kulegea kwa uume

3. 🧠 Kusumbuliwa na hofu, msongo na hatia

4. 😴 Kupoteza usingizi na nguvu ya asubuhi

5. 💔 Kupoteza hamu ya kweli kwa mwanamke wa kweli

👉 HABARI NJEMA: Unaweza kupona kabisa ukifuata mazoezi sahihi, muda wa kujizuia, na kutumia mchanganyiko wa vyakula na virutubisho asilia vinavyojenga mfumo wa fahamu upya.

📲 Nahitaji kukusaidia kwa hatua moja hadi nyingine kwa mpango wa siku 21.

🟢 Andika neno “NATAKA KUACHA” kwenye comment au inbox sasa — utapokea somo la kwanza na mpangilio wa kuanza kupona.

💥 Tengeza juisi hii  (Matokeo Ndani ya Siku 3)🧾 Viambato: 1.Tende: 5 hadi 72. Asali mbichi:  vijiko 2 vya chakula3. Tang...
18/05/2025

💥 Tengeza juisi hii (Matokeo Ndani ya Siku 3)
🧾 Viambato:

1.Tende: 5 hadi 7

2. Asali mbichi: vijiko 2 vya chakula

3. Tangawizi mbichi kipande kidogo (k**a kidole gumba)

3. Ndizi mbivu moja 🍌

4. Karoti kubwa moja( 1)

5. Maziwa freshi🥛 kikombe 1

6. Ufuta wa kusaga kijiko 1 cha chakula

7. Mdalasini wa unga: nusu kijiko ½ cha chai

🎀 NAMNA YA KUANDAA

🔪Menya na kata viambato vyote (karoti, ndizi, tangawizi)

Visage vyote kwenye blender

Saga hadi vilainike vizuri

Hifadhi kwenye friji

🕒 Namna ya kutumia:

Kunywa glasi 1 asubuhi kabla ya kula kitu chochote

Kunywa glasi 1 usiku kabla ya kulala

Tumia kwa siku 3 mfululizo

🔊 Tahadhari kwa wenye matatizo ya kiafya:

⚠️Mwenye presha: Punguza au acha kabisa tangawizi na mdalasini

⚠️Mwenye kisukari: Punguza tende, ndizi, na asali

⚠️Tumbo nyeti: Anza na nusu glasi siku ya kwanza uone mwitikio

⚠️Kwa muda wote wa tiba epuka kufanya tendo

💫Juisi hii husaidia kuongeza:

✅Msisimko wa tendo
✅Nguvu ya mwili
✅Kujiamini
✅Uwezo wa kurudia tena

Usikose kufuatilia page hii...

💪 VYAKULA 7 VYA ASILI VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME💥  (Soma hadi mwisho upate na juisi spesho ya asili!)Wanaume wengi huk...
15/05/2025

💪 VYAKULA 7 VYA ASILI VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME💥
(Soma hadi mwisho upate na juisi spesho ya asili!)

Wanaume wengi hukumbwa na tatizo la kushuka kwa nguvu za kiume kutokana na sababu k**a:

❌ Msongo wa mawazo
❌ Lishe duni isiyo na virutubisho muhimu
❌ Uchovu wa mara kwa mara
❌ Matumizi ya dawa zenye kemikali kwa muda mrefu

Je, umewahi kujikuta unaogopa ukaribu wa ndoa kwa sababu huwezi kutimiza wajibu wako?
Hujiamini tena?
Umetumia dawa nyingi bila mafanikio ya kudumu?

🛑 USIHANGAIKE TENA!
Badala ya kutumia dawa hatarishi, tumia vyakula asilia vilivyothibitishwa kitaalamu kuwa salama na vyenye matokeo ya kweli.

✅ Vyakula 7 vya Asili vinavyoongeza nguvu za kiume:

1. 🍯 Asali mbichi – Hutoa nishati ya haraka na kuamsha uwezo wa tendo.
2. 🍌 Ndizi mbivu – Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume (testosterone).
3. 🥕 Karoti mbichi – Huboresha mzunguko wa damu kuelekea sehemu za siri.
4. 🌶️ Pilipili hoho nyekundu – Huchochea mzunguko mzuri wa damu.
5. Tangawizi mbichi – Huchochea mishipa ya fahamu na kuongeza hisia.
6. 🌴 Maji ya n**i – Husaidia kusawazisha homoni na kuondoa uchovu.
7. 🌴 Tende – Huongeza stamina na hamu ya tendo la ndoa.

🧃 Juisi Maalum ya Kuongeza Nguvu za Kiume (Natural Power Boost)

🥬 Mahitaji:
- Karoti 🥕 (2 kubwa)
- Tufaha 🍎 (1)
- Tangawizi (kipande kidogo)
- Maji ya n**i 🥥 (kikombe 1)
- Asali mbichi 🍯 (kijiko 1)

🔧 Namna ya kutengeneza:
1. Menya na kata viambato vyote vipande vidogo
2. Weka kwenye blender, ongeza maji ya n**i
3. Saga mpaka mchanganyiko uwe laini
4. Chuja (k**a unapenda), kisha ongeza asali na koroga vizuri

🕒 Matumizi:
Kunywa glasi 1 asubuhi na nyingine jioni kabla ya mlo.
Tumia kwa siku 14–21 mfululizo kwa matokeo bora.

🟢 KUMBUKA:
Mwili wako ni wa thamani.
Usiuangamize kwa kemikali!
Rudia asili, utaona mabadiliko!

💬 Je, umewahi kutumia mojawapo ya vyakula hivi?
Au unahitaji ushauri wa tiba asili ya nguvu za kiume?
📝 Niandikie kwenye comment nitakujibu moja kwa moja.

Nikitakie nguvu imara na afya bora ya mwanaume wa kweli! 💪

Address

AMANI
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanaume Imara-Tiba Asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share