Ismail Zanzibar Wellness

Ismail Zanzibar Wellness Afya ya Uzazi & Ustawi wa Mwili
💚 Ushauri + bidhaa za asili kwa wanawake na wanaume

⚠️ MAMA MJAWAZITO, USIPUUZE MTOTO KUPUNGUZA KUCHEZA TUMBONI 😭💔Moja ya mambo yanayoumiza sana hospitalini ni kusikia mama...
11/05/2026

⚠️ MAMA MJAWAZITO, USIPUUZE MTOTO KUPUNGUZA KUCHEZA TUMBONI 😭💔

Moja ya mambo yanayoumiza sana hospitalini ni kusikia mama akisema:

🗣️ “Mtoto wangu alikuwa anacheza sana… lakini leo amecheza kidogo sana.”

Halafu akabaki nyumbani akitumaini kila kitu kiko sawa. 😢

Mama mjamzito, tafadhali sikiliza hili kwa umakini ❤️

Kucheza kwa mtoto tumboni ni moja ya ishara muhimu kwamba mtoto wako yupo salama ndani ya tumbo.

Ikiwa mtoto ambaye kawaida hucheza sana ghafla: ⚠️ Ameanza kucheza kidogo sana
⚠️ Anaonekana mnyonge
⚠️ Au hujamsikia kabisa kwa muda mrefu

🚨 USISUBIRI MPAKA KESHO.

Usiseme: ❌ “Labda amelala tu.”

Usiruhusu: ❌ Hofu
❌ Kukosa nauli
❌ Maneno ya watu
❌ Aibu ya kwenda hospitali
vikuzuie kwenda kupimwa.

Wakati mwingine inaweza isiwe tatizo kubwa… Lakini wakati mwingine hiyo kwenda hospitali mapema inaweza kuokoa maisha ya mtoto wako. 💔😭

Mtoto ambaye alikuwa anacheza vizuri hapaswi ghafla kuwa kimya sana bila kufuatiliwa.

Na mama mjamzito 🤰❤️
Usione k**a unawasumbua manesi au madaktari.

Ni bora kwenda ukakaguliwe na kuambiwa kila kitu kiko sawa… Kuliko kukaa kimya halafu ukaja kujuta baadaye. 🥺

Tafadhali, zingatia sana movement za mtoto wako tumboni. ❤️

Endelea kufuatilia post zangu kwa elimu muhimu ya ujauzito na uzazi ambayo wakati mwingine haifundishwi vizuri kliniki 🤱💛🔥
Nurse Presh Cares 🥰
Preshcute Utonwa 💕

10/05/2026

💥 OFA MAALUM ZANZIBAR 💥
🩺 KIPIMO CHA MWILI MZIMA – TSH 30,000 TU
Unajua hali yako ya afya kwa sasa?
✔ Huonyesha hali ya afya yako kwa ujumla
✔ Husaidia kugundua mapema matatizo kabla hayajawa makubwa
✔ Inakupa picha halisi ya mwili wako ndani na nje
📍 Huduma inapatikana Zanzibar
⏳ Nafasi ni chache – ofa inaisha muda wowote
🔥 Usisubiri dalili zikukumbushe hospitali – chunguza afya yako mapema leo!
📩 Tuma ujumbe sasa uhakikishe nafasi yako

🔥 Wanaume wa Zanzibar, msikubali kupoteza confidence kwenye ndoa yenu 💪Kwa Tsh 35,000 tu unaweza kuongeza stamina na kuj...
09/05/2026

🔥 Wanaume wa Zanzibar, msikubali kupoteza confidence kwenye ndoa yenu 💪
Kwa Tsh 35,000 tu unaweza kuongeza stamina na kujiamini zaidi kwenye mahusiano yako ✅
Huduma inapatikana Zanzibar na Tanzania nzima 📍📦

Inbox sasa kwa maelezo zaidi 📩

🚨 OFFA YA KIMATAIFA IMEFIKA 🌍🔥USIKOSE FURSA HII YA KIPEKEE 👨🏽‍⚕️🩺Sasa unaweza kupata KIPIMO CHA MWILI MZIMA kwa TSH 30,0...
08/05/2026

🚨 OFFA YA KIMATAIFA IMEFIKA 🌍🔥
USIKOSE FURSA HII YA KIPEKEE 👨🏽‍⚕️🩺

Sasa unaweza kupata KIPIMO CHA MWILI MZIMA kwa TSH 30,000 tu! 😱
Afya yako ni mtaji wako — usisubiri mpaka hali iwe mbaya.

✅ Sukari
✅ Presha
✅ UTI
✅ Maambukizi mbalimbali
✅ Afya ya mwili kwa ujumla

📍Huduma zinapatikana Zanzibar & Tanzania Bara
📥 Wahi inbox sasa nafasi ni chache!

Unatumia dawa mara kwa mara lakini uchafu ukeni, fangasi na UTI bado vinarudi? 😳 Tatizo linaweza kuwa kwenye homoni zako...
28/04/2026

Unatumia dawa mara kwa mara lakini uchafu ukeni, fangasi na UTI bado vinarudi? 😳 Tatizo linaweza kuwa kwenye homoni zako!

Wanawake wengi hupambana na:
• Uchafu ukeni unaorudi
• Kuwashwa na harufu isiyo ya kawaida
• Fangasi sugu
• UTI ya mara kwa mara

Mara nyingi unatibu dalili tu… lakini chanzo halisi hakijatatuliwa.

Sasa kuna suluhisho linalolenga kurekebisha mwili kwa ndani ili kusaidia kupunguza tatizo kurudiarudia.

💊 Bei: Tsh 55,000 tu

📩 Tuma “NATAKA” inbox upate maelezo zaidi au kuagiza sasa

WHY SOME WOMEN BLEED TO DEATH AFTER DELIVERY 😭(NA JINSI YA KUJILINDA)Mtoto ameshazaliwa… furaha kila mahali ❤️Lakini gha...
27/04/2026

WHY SOME WOMEN BLEED TO DEATH AFTER DELIVERY 😭
(NA JINSI YA KUJILINDA)

Mtoto ameshazaliwa… furaha kila mahali ❤️
Lakini ghafla mama anaanza kutoka damu nyingi sana 💔

Hii inaitwa Postpartum Hemorrhage (PPH)
Na ni moja ya sababu kubwa ya vifo vya akina mama baada ya kujifungua 😳

👇 SOMA HII, INAWEZA KUOKOA MAISHA:

SABABU KUU:

❌ Mfuko wa uzazi kushindwa kujikaza (uterus kutokukaza)
Baada ya kujifungua, mfuko unatakiwa ujikaze ili kuzuia damu isitoke. Usipokaza → damu hutoka nyingi sana.

❌ Kondo la nyuma (placenta) kubaki ndani
Kipande kikibaki, damu haiwezi kusimama.

❌ Michubuko/majeraha (tears) yasiyoshonwa vizuri
Hii inaweza kusababisha damu kuendelea kutoka polepole bila kugundulika mapema.

❌ Matatizo ya damu kuganda (clotting problems)
Baadhi ya wanawake huwa hawajui kabisa hadi wakati wa kujifungua.

---

🚨 DALILI ZA HATARI BAADA YA KUJIFUNGUA:

🚨 Kujaza pedi zaidi ya moja kwa saa
🚨 Kizunguzungu au udhaifu ghafla
🚨 Moyo kwenda mbio
🚨 Baridi na jasho jingi
🚨 Kuona ukungu

UKIONA HIZI → MWITE MUUGUZI AU DAKTARI HARAKA
USISUBIRI.

---

✅ JINSI YA KUJILINDA:

✔️ Jifungue hospitali yenye wataalamu
✔️ Anza kunyonyesha mapema (inasaidia mfuko kujikaza)
✔️ Jua group lako la damu mapema
✔️ Hudhuria clinic zote za ujauzito
✔️ Sema mapema ukiona hali sio kawaida

---

Mama, siyo tu mtoto kuzaliwa salama…
Ni wewe pia kubaki hai ❤️

Maisha yako yana thamani.

Save. Share. Inaweza kuokoa maisha ya mama mwingine leo 🙏



















❗JE, KUTOKUFANYA TENDO LA NDOA KUNASABABISHA TEZI DUME…?Jibu ni: HAPANA ❌Kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu hakusa...
26/04/2026

❗JE, KUTOKUFANYA TENDO LA NDOA KUNASABABISHA TEZI DUME…?

Jibu ni: HAPANA ❌

Kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu hakusababishi moja kwa moja matatizo ya tezi dume.

👉 Tezi dume hufanya kazi zake kawaida bila kutegemea tendo la ndoa.

Sasa nini kinaathiri afya ya tezi dume? 🤔
✔️ Umri
✔️ Lishe mbaya
✔️ Kukosa mazoezi
✔️ Unene uliopitiliza
✔️ Msongo wa mawazo
✔️ Historia ya familia

📌 Ingawa kufanya tendo mara kwa mara kunaweza kusaidia mzunguko wa majimaji, sio kinga wala lazima kwa afya ya tezi dume.

🚨 DALILI ZA KUANGALIA:
• Kukojoa mara kwa mara (hasa usiku)
• Mkojo kutoka kwa shida
• Mtiririko dhaifu wa mkojo
• Kuhisi hujamaliza mkojo
• Maumivu wakati wa kukojoa
• Damu kwenye mkojo au shahawa

⚠️ Ukiona dalili hizi, nenda hospitali kwa uchunguzi mapema.

🩺 Vipimo muhimu:
• DRE
• PSA (kipimo cha damu)
• Ultrasound
• Uchunguzi wa mkojo

💡 Kumbuka:
Afya ya mwanaume si ya kubahatisha — uchunguzi wa mapema unaokoa maisha.

📢 Uliza swali au toa maoni yako hapa chini
📌 Follow kwa elimu sahihi ya afya ya uzazi

😳 KWA NINI MTOTO ANACHEZA SANA USIKU KULIKO MCHANA?Uko kimya mchana kutwa…Lakini saa 5 usiku ikifika 🤰💥 mtoto anaanza “p...
26/04/2026

😳 KWA NINI MTOTO ANACHEZA SANA USIKU KULIKO MCHANA?

Uko kimya mchana kutwa…
Lakini saa 5 usiku ikifika 🤰💥 mtoto anaanza “party” tumboni!

Usijali — hii ni kawaida kabisa, na kuna sababu 👇

🌙 Mchana unakuwa bize (kutembea, kupika, kukaa)
Hii humtuliza mtoto k**a vile unambembeleza… analala!

🌙 Usiku unapopumzika
Mtoto anaamka 😅 na anaanza kucheza

🌙 Sukari ya mwili hushuka usiku
Mtoto huhisi → anacheza zaidi kukuamsha
👉 Kula kitu kidogo kabla ya kulala husaidia

🌙 Usiku ni kimya na baridi
Mtoto anapata nafasi ya kujinyoosha na kucheza vizuri

🌙 Ukilala unahisi kila kitu zaidi
Mchana ulikuwa bize, hukuhisi sana

🚨 LAKINI HILI USILIPUUZE:

Mtoto alikuwa anacheza sana halafu ghafla kimya usiku?
Hii si kawaida!

✅ Hesabu mikiki (kicks) kila usiku
👉 Angalau mara 10 ndani ya saa 2

❌ Ukiona pungufu
NENDA HOSPITAL HARAKA

Kumbuka: Mikiki ya mtoto ni “lugha” yake pekee kwa sasa ❤️

📌 Save hii post
📤 Share kwa mjamzito mwingine leo

Follow kwa elimu zaidi ya afya ya uzazi 🤰✨

MADA: Kumwaga mapema kabla ya kuanza kabisa? 😳Wanaume wengi wanapitia hii… lakini wanaogopa kusema 😔Unamwandaa mwenza wa...
25/04/2026

MADA: Kumwaga mapema kabla ya kuanza kabisa? 😳

Wanaume wengi wanapitia hii… lakini wanaogopa kusema 😔

Unamwandaa mwenza wako vizuri, lakini ghafla tayari umemwaga kabla hata ya kuanza rasmi…

Hii hupunguza kujiamini na furaha kwenye mahusiano 💔

Sababu zake ni pamoja na:
🔹 Msisimko mkubwa kupita kiasi
🔹 Kukaa muda mrefu bila tendo
🔹 Msongo wa mawazo (stress)
🔹 Kukosa control ya mwili
🔹 Kutofanya mazoezi ya Kegel

Sasa ufanye nini? 👇
✅ Jifunze kudhibiti msisimko – pumua polepole
✅ Tumia mbinu ya “Pause & Start”
✅ Fanya mazoezi ya Kegel mara kwa mara
✅ Punguza stress – akili ikiwa sawa, mwili unafuata
✅ Epuka kukaa muda mrefu bila tendo

Hitimisho:
Hii hali ina suluhisho 👍
Ukijifunza kudhibiti mwili wako, utaongeza muda na kujiamini zaidi 💪

📩 Unahitaji ushauri zaidi kulingana na hali yako?
Wasiliana nami: +255 620 795 079

Address

Mlandege Zanzibar
Zanzibar
71101

Opening Hours

Monday 07:00 - 23:00
Tuesday 07:00 - 23:00
Wednesday 07:00 - 23:00
Thursday 07:00 - 23:00
Friday 07:00 - 23:00
Saturday 07:00 - 23:00
Sunday 07:00 - 23:00

Website

https://wa.me/255620795079, https://wa.me/message/3DVUMFJGLQ5YI1

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ismail Zanzibar Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share