14/03/2026
π
π MATATIZO YANAYO MFANYA MWANAMKE ASIBEBE MIMBA π€¦ββοΈπ€·ββοΈ KWA HARAKA ( Infertility ) πππ
βοΈ Elimu iliyo wasaidia Wengi.
π― Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza mahusiano na yule ambaye tayari ana mtoto.
π Kitendo cha kukaa muda mrefu bila ya kupata mtoto Hua linahitaji uchunguzi na tiba.
π
CHANZO CHA MATATIZO
π
Mwanamke kutopata ujauzito husababishwa na matatizo mengi kwa upande wake au mumewe.
π― Kwa upande wa mwanaume, vyanzo vinaweza kuwa kukosa nguvu kabisa au kupungukiwa nguvu za kiume tatizo liitwalo, βErectile Dysfunction,β
π― Mwanaume anaweza kutoa manii mepesi sana kiasi kwamba baada tu ya kumaliza tendo mwanamke akisimama zinamwagika au zinatoka.
π― Dalili nyingine ni pale manii zinapopimwa hospitali na kuonekana zipo chache sana au hazina nguvu.
π
Kwa upande wa mwanamke, vyanzo vinaweza kuwa matatizo katika mfumo wa homoni au vichocheo mbalimbali vya uzalishaji na upevushaji mayai na mzunguko..
π
Mwanamke mwenye tatizo hili hupoteza siku zake za hedhi, mzunguko wa hedhi huvurugika na asijue ratiba yake ya mzunguko.
π Pia hupoteza hamu na raha ya tendo, maumivu wakati wa tendo, hapati ute wa uzazi.
π―Matatizo mengine ni kuziba kwa mirija ya uzazi, uwepo wa uvimbe katika mfuko wa uzazi, kupata damu ya hedhi kwa muda mfupi sana yaani moja au mbili au zaidi ya siku saba.
π
Pia kuumwa tumbo chini ya kitovu mara kwa mara, kutokwa sana na uchafu ukeni ambao wakati mwingine huambatana na harufu mbaya na muwasho pamoja na maumivu wakati wa haja ndogo.
π
Matatizo ya kutokwa na uchafu ukeni na muwasho havihusiani na ugonjwa wa yutiai βUTIβ k**a wengi walivyozoea.
π Matatizo mengine yanayomfanya mwanamke asipate ujauzito anapohitaji ni kutokufahamu siku za kupata mimba. Ili kufahamu siku za kupata mimba lazima ufahamu kwanza mzunguko wako uko vipi,
πβ¦οΈ Vile vile mwanamke ajue siku zake za βOvulationβ au siku za ute wa uzazi. Ute wa uzazi upo wa aina tatu, kuna mwepesi, mwepesi wa kuvutika na mzito.
πΉInawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya Kwa Ujumla,
π² K**a Ndio Napenda Nikukaribishe Eternal International Clinic
π₯Tunatoa Huduma hata kwa waliowahi kupima wakaja na cheti cha daktari
π©Έ Dawa Zetu ni Tiba Lishe na
π©Έ Tuna zaidi ya Vituo Mia moja Duniani kote,
π₯ RATIBA YA KAZI NA ORODHA YA VITUO VYETU NCHINI TANZANIA π₯
ππ
πΉKARIBUNI SANA
Tupigie au sms Kwa Namba
βοΈπΉπΏ0744203343
π©ΈAu Wasiliana na Doctor kwa Njia ya Whatsapp β»οΈ0744203343 Dr Daud