Afya ni mtaji bora

Afya ni mtaji bora karibu Sana katika page langu LA afya bora ni mtaji kwa kujifunza magonjwa mbalimbali nyemelenzi na

*WANAWAKE WOTE FEMICARE NI MUHIMU SANA NA NILAZIMA UTUMIE.*☘Kwanza ijue femicare na faida zake.Femicare ni dawa asili ku...
28/09/2023

*WANAWAKE WOTE FEMICARE NI MUHIMU SANA NA NILAZIMA UTUMIE.*

☘Kwanza ijue femicare na faida zake.
Femicare ni dawa asili kutoka USA inatumiwa na WANAWAKE wote ili kuwaweka salama na maambukizi.
❎ *Haina chemical yeyote ile ni zuri na salama*

1⃣Huondoa harufu mbaya uken,uchafu na kuongeza bacteria walinzi,ni nzuri kwa wanaoshea vyoo.
2⃣Inatibu fangasi ukeni na U.T.I. Sugu.
3⃣Inatibu PID tena ile Sugu ukitumia na dawa ya kumeza inaitwa Refined Yunzhi essence.

4⃣Huondoa maumivu wakati wa tendo landoa na kurudisha ute ute unaohitajika.

5⃣Inafanya uke uwe msafi pasina harufu na salama muda wote.
6⃣Inazibua mirija ya uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovyrugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke iliyolegea nakufanya iwe tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tombu chini ya kitovu kipindi Cha hedhi au Chango.
9⃣Inaondoa michubuko wakati wa tendo landoa
0654705112

21/07/2022

FAIDA ZA UZILE

Uzile ni kiungo kinachotumika sana katika mapishi mbalimbali hasa pilau, wali mweupe,mboga pamoja nk. Licha ya kutumia jira k**a kiungo chenye ladha nzuri, zifuatazo ni faida za jeera mwilini:
1. Uzile inasaidia kuboresha mfumo wa mmen'genyo mwilini,kwa kuamsha vimen'genya pamoja na kuachia nyongo
2. Uzile ni chanzo kikubwa cha madini ya chuma, hata ikitumiwa kidogo tu katika chakula
3. Uzile inaondoa mafuta mabaya mwilini pamoja na kupunguza uzito uliozidi
4. Uzile inaondoa magonjwa yanayosambazwa na vyakula
5. Uzile pia husaidia kuzuia uvimbe (ant inflammatory) mwilini
Kwa mahitaji ya jeera nzuri, iliyokomaa na kukaushwa vizuri usisite kuwasiliana nasi

KWA MAHITAJI YA HUDUMA ZETU

KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU LA NGUVU ZA KIUME KUPITIA VIRUTUBISHO

wa.me//255654705112

Agent: tumainiel BF suma
Call/Sms/Whtspp
0654705112

FAIDA ZA UZILEUzile ni kiungo kinachotumika sana katika mapishi mbalimbali hasa pilau, wali mweupe,mboga pamoja nk. Lich...
21/07/2022

FAIDA ZA UZILE

Uzile ni kiungo kinachotumika sana katika mapishi mbalimbali hasa pilau, wali mweupe,mboga pamoja nk. Licha ya kutumia jira k**a kiungo chenye ladha nzuri, zifuatazo ni faida za jeera mwilini:
1. Uzile inasaidia kuboresha mfumo wa mmen'genyo mwilini,kwa kuamsha vimen'genya pamoja na kuachia nyongo
2. Uzile ni chanzo kikubwa cha madini ya chuma, hata ikitumiwa kidogo tu katika chakula
3. Uzile inaondoa mafuta mabaya mwilini pamoja na kupunguza uzito uliozidi
4. Uzile inaondoa magonjwa yanayosambazwa na vyakula
5. Uzile pia husaidia kuzuia uvimbe (ant inflammatory) mwilini
Kwa mahitaji ya jeera nzuri, iliyokomaa na kukaushwa vizuri usisite kuwasiliana nasi

KWA MAHITAJI YA HUDUMA ZETU
KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU LA NGUVU ZA KIUME,MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE,MFUMO WA CHAKULA,MFUMO WA MISHIPA NK KUPITIA VIRUTUBISHO

wa.me//255654705112
Agent: tumainiel BF suma
Call/Sms/Whtspp
0654705112

REISHI ESSENCEMchanganyiko wa uyoga wa Reishi (Ganoderma lucidum) ni dondoo kutoka uyoga. Reish imekuwa ikitumika kwa ma...
03/09/2021

REISHI ESSENCE
Mchanganyiko wa uyoga wa Reishi (Ganoderma lucidum) ni dondoo kutoka uyoga. Reish imekuwa ikitumika kwa maelfu ya miaka katika dawa za jadi za Wachina na inachukuliwa kuwa ya darasa la juu zaidi ya tonics.

Uyoga huu wa dawa hukusaidia kukabiliana na athari mbaya za mafadhaiko k**a vile kuongezeka kwa uchochezi, viwango vya nishati vilivyomo, mishipa ya damu iliyoharibika, na usawa wa homoni. Utafiti pia umeonyesha kuwa dondoo hii ina uwezo wa antioxidant kukuza ustawi wa jumla.



Manufaa ya kiafya ya Mishik**ano ya Reishi :

Inapochukuliwa mara kwa mara, Reishi Mushroom inaweza kusaidia kurejesha mwili wake katika hali yake ya asili na kusaidia kufanya kazi kawaida. Faida zake kuu ni pamoja na:

Kukuza nguvu na maisha marefu

Kusaidia kurejesha mizani ya homoni

Kuboresha afya ya moyo na kazi ya ini

Pia inajulikana kwa tabia yake ya kupambana na mzio

Piga 0654705112

*ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI*  (PIA NI SABABU ZINAZOPELEKEA KUTANUKA/KULEGEA  KWA UKE)*🍃🍇KULEGEA KWA MISULI...
05/08/2021

*ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI* (PIA NI SABABU ZINAZOPELEKEA KUTANUKA/KULEGEA KWA UKE)

*🍃🍇KULEGEA KWA MISULI YA UKE🍇🍃```*uke ukiwa umelegea inasababisha vijambo kwenye Uuke kutokana na uke kuwa wazi, yaani kwa kuwa uke umelegea na upo wazi Basi hewa upita na kusababisha uke kujamba, EPUKA AIBU NDOGO NDOGO KITANDANI KWA UKE KUPWAYA NA KUTEPETA AU KUJAMBA...

KWA MAFUNZO ZAIDI KARIBU KWENYE GRUP LANGU LA WASAP...WEKA NAMBA NIKUUNGE SAIV

*```🍃🍇KUTOJUA KUJISAFISHA UKE* 🍇🍃```

🌹❤️🌹kwa wale wanawake wote wasiojua kujisafisha vizuri uuke tatizo hili lazima likupate
kwahali hiyo basi UKE inatakiwa kuusafisha vizuri na kwa makini na inavyotakiwa pia hakikisha baada ya kuusafisha futa na kitaulo maalum kwaajili ya kufutia sio kanga ulioshindia kwenye mavumbi unaenda kujifutia baada ya kuoga.

KWA MAFUNZO ZAIDI WEKA NAMBA NIKUUNGE WASAP SASA HIV

🍃🍇UTUMIAJI MAJI MOTO🍇🍃 ```

Ukiwa unapenda kusafishaa Uuke wako kwa majimoto tatizo hili lazima likukumbe maana maji ya moto hulegeza uke na kuufanya uwe unatoa hewa chafu wakati wa kufanya tendo la ndoa hata baada ya kufanya Uke inatakiwa usafishekwa maji baridi ni mazuri na yanasaidia kubana misuli ya uuke pamoja na kuwalinda bacteria ambao ni walinzi wa uke kwa ujumla.

KWA MAFUNZO ZAIDI WEKA NAMBA NIKUUNGE WASAP SASA HIVI

*```🍃🍇ULALAJI NA SHAHAWA UKENI🍇🍃* ```

Kwa wale wanawake wasiojisafisha ukeni baada ya kufanya tendo la ndoa hali hii lazima itakukuta na pia wanawake hamtakiwi kulala na shahawa ndani ya uke unalegeza uuke na kupoteza joto la asili la uuke , vilevile kulala na shahawa bila kunawa unasababisha uuke kutoa harufu mbaya

KWA MAFUNZO ZAIDI WEKA NAMBA NIKUUNGE WASAP SASA HIVI

*🍃🍇USAFI PINDI TUMALIZAPO TENDO LA NDOA* 🍇🍃`

Unapomaliza kufanya jimai mfute mmeo na wewe ujifute, nendeni bafuni ikibidi muoge au mtawadhe (ni sunnah) sio ukimaliza unageukia upande wa pili unakoroma shawaha kibao ukeni uke unapoa na kutepeta.
ukifika bafuni chuchumaa kwa muda kuruhusu shahawa zitoke kwa urahisi jikamue kidogo ili shahawa zitoke vizuri
Kisha osha uke kwa maji mengi usitumie sabuni osha na maji baridi kwani maji moto yanarejesha uke nduguzangu ok kisha jifute vizuri kwa kitaulo safi uuke ubaki kikavu

KWA

KUTOFANYA MAZOEZI YA KUBANA UKE
K**a ni mvivu wa kufanya mazoezi ya kubana uke alafu umeshazaa au unabadilisha wanaume K**a mboga Basi Hali hii lazima ikukukute, kila mwanamke shurti afanye mazoez ya kubana uke kwa ajili ya afya ya uke wake,,,,ACHA KUWEKA VITU VYA AJABU AJABU UKENI KUNA KANSA...

STYLE MNAYOKAAA WAKATI WA S*X
Kuna style zingine huwa zinaruhusu hewa kuingia ukeni hatimae kujamba K**a doggy style au chuma mboga..K**a unatatizo la kujamba ukeni epuka style hizi mbaka pale itakapo pona

Na mtaalamu PETERO ✍️✍️

0654705112
*Mwisho

*UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE*  Siri ya mwanamke kuonekana mrembo na kijana kuondoa chunusi, mabaka, makunyanzi ya usoni...
02/08/2021

*UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE*

Siri ya mwanamke kuonekana mrembo na kijana kuondoa chunusi, mabaka, makunyanzi ya usoni na ung'arisha ngozi kwa njia ya Asili.

*FEMINERGY CAPSULES* Imetengenezwa kiasili na kwa kiwango cha hali juu cha mbegu za zabibu ambazo hujulikana kuwa na kiwango kikubwa kinachopambana ba uzee kinachoitwa PROANTHOCY ANIDISM(OPC)

*_Kazi ya feminergy_*
➡Huondoa makunyanzi.
➡Huondoa makovu yaliyo achwa na chunusi.
➡Hung'arisha ngozi na kuondoa mabakaa yasiotakiwa.
➡Huifadhi unyevu wa ngozi.
➡Huzuia magonjwa yaletwayo na umri k**a kansa, kisukari, Magonjwa ya moyo, Macho na Alzheimer's (Watu wazima kupoteza kumbukumbu) Huifanya Organi zako kufanya kazi bila kuzeeka mapema.

*_Faida za feminergy_*
°Husaidia mishipa ya damu itanuke na kusinya hivyo kuiwezesha presha ya damu.
°Husaidia madhara ya mionzi ya jua, simu, Tv na mionzi mingine mwilini mwako.
°Husaidia kupambana na Allegy, Athma na mwili kukosa Nguvu.

**Kwa nini uchague feminergy**
--->Ni ya Asili.
Imetengenezwa na mbegu za MIMEA mbali mbali pamoja na amatunda.

NOTE: Leo inapatikana Kwa KWA BEI YA PROMOTION

Mawasiliano: 0654705112

Huondosha bila Upasuliwaji 👇👇1) UVIMBE (Manyona)KWENYE MFUKO WA UZAZI /Kizazi2)UVIMBE KWENYE MIRIJA YA UZAZI(Fallopian t...
02/06/2021

Huondosha bila Upasuliwaji 👇👇

1) UVIMBE (Manyona)KWENYE MFUKO WA UZAZI /Kizazi

2)UVIMBE KWENYE MIRIJA YA UZAZI(Fallopian tubes)

3) UVIMBE KWENYE MAYAI(Ovaries)

4)UVIMBE KWENYE UBONGO (Tummer)

5) UVIMBE kwenye MATITI/maziwa

6)KUVIMBA KWA TEZI DUME

BIDHAA hizi za VIRUTUBISHO LISHE toka BFSUMA zinafaida zifuatazo:

••Huimarisha KINGA YA MWILI

••• HUYEYUSHA VIMBE SEHEMU MBALI MBALI ZA MWILI BILA UPASULIWAJI na kuzuia zisijirudie

***Husaidia wenye Matatizo ya HORMON IMBALANCES

***Nzuri kwa wenye CANCER/SARATANI AINA mbali mbali

***Nzuri Kwa waathirika wa VIRUSI 🦠 VYA UKIMWI

*** Nzuri Kwa waathiri wa HOMA YA INI /hepatitis B

•••Huimarisha utendaji kazi wa MOYO,INI ,Figo,Kongosho na Mapafu

•••Nzuri Kwa Waliofanyiwa VIPIMO/TIBA ZA MIONZI ,huwasaidia kupunguza madhara ya MIONZI na kuwafanya wapone haraka etc

SHARE kwa watu na Groups mbali mbali uweze KUWASAIDIA WENGI 🙏🙏

Piga/WhatsApp; 0654705112


NOTE: Ni bidhaa za Asili zinazotengenezwa kiasili Kwa mchanganyiko wa virutubisho toka kwenye mimea Mbali mbali ,hivyo ni Salama Kwa kila mtumiaji,HAZIMA MADHARA yoyote.

TIBA YA ASILI YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARakaVidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokan...
12/05/2021

TIBA YA ASILI YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARaka

Vidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na staili ya Maisha, Ulaji na Mazingira. Ugonjwa huu kitaalam unasababisha kuwa na michubuko katika kuta za tumbo au utumbo mdogo na hivyo kusababisha maumivu makubwa ya tumbo.

Wakati mwingine vidonda hivi huonekana kati ya tumbo na utumbo mdogo hivyo kitaalam tunaviita PEPTIC ULCERS, aina hii ya vidonda vya tumbo huwaathiri sana Wanaume kuliko wanawake.

DALILI ZA KUWA NA VIDONDA VYA TUMBO

Kuchoka bila sababu maalum
Kuumwa mgongo au kiuno
Kupungukiwa nguvu za kiume
Kizunguzungu
Kukosa Usingizi
Kichefuchefu
Kiungulia
Tumbo kujaa gesi
Tumbo kuwaka moto
Kukosa choo au kupata choo kwa shida
Kutapika nyongo
Kutapika damu au kuharisha
Sehemu za mwili kupata ganzi
Kukosa hamu ya kula
Kusahausahau na hasira bila sababu
Hizo ni baadhi tuu ya dalili za kuwa na vidonda vya tumbo lakini zipo nyingi, hivyo basi pindi uonapo moja kati ya hizo dalili ni vyema ukaenda kupima vidonda vya tumbo mapema.

SABABU KUU ZA KUPATA VIDONDA VYA TUMBO

(1). MSONGO WA MAWAZO(STRESS) : Hii imekuwa sababu kubwa kwa wenye vidonda vya tumbo pindi unapokuwa na msongo wa mawazo au mwili wako unapokosa uwezo mzuri wa kuratibu homoni na vimeng’enya chakula.

Hii itapelekea kuzalishwa kwa wingi Tindikali(Acid) ndani ya tumbo na hivyo kulipelekea kupata vidonda vya tumbo.

(2). Bakteria aina ya Helicobacteria Pylori (H. Pylori) : Bakteria hawa wamekua chanzo kikubwa cha mtu kupata vidonda vya tumbo. Pindi Bakteria hawa wanapoingia tumboni husababisha kuongezeka kwa kiwango cha tindikali(acid) mwilini na kupelekea michubuko kwenye kuta za tumbo.

Sababu nyingine ndogo ndogo ni k**a vile Kurithi, uvutaji wa sigara na Matumizi ya pombe kali.

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Watu wengine wanaamini vidonda vya tumbo havina dawa lakini kiukweli dawa za kutibu tatizo hili zipo na za uhakika, 0654705112 👇🏽👇🏽

Figo zikiacha kufanya kazi changamoto kubwa kwa mgonjwa na  familia ni gharama ya kusafisha damu ili mtu aendelee kuishi...
26/04/2021

Figo zikiacha kufanya kazi changamoto kubwa kwa mgonjwa na familia ni gharama ya kusafisha damu ili mtu aendelee kuishi.Gharama ya kusafisha (Dialysis) session moja inafikia tsh 240,000/= kwa mwaka gharama inaweza fika 56,000,000. Tujitahidi sana kutunza Afya.
-
Moja ya Maadui wakubwa wa Figo ni Kisukari na Shinikizo la damu.K**a una mzee wako jitahidi anazingatia masharti ya kudhibiti presha na Sukari ikiwemo matumizi sahihi ya Dawa. Mbadala wa dialysis kwa mgonjwa ambaye Figo yake imeshindwa kabisa kufanya kazi ni tiba ya kupandikiza Figo (Renal Transplant), ambapo mtu mwenye Figo iliyo nzima humpatia Figo moja ndugu mwenye shida.Tiba ya upandikizaji figo sasa inapatikana nchini.
-
LINDA FIGO zako kwa kuzingatia vitu hivi:
1.Kunywa maji ya kutosha
2.Usivute sigara
3.Fanya mazoezi
4.Dawa za mitishamba huweza kuumiza figo;kuwa mwangalifu
5.Kuwa mwangalifu na dawa za maumivu k**a aspirin;Usitumie hovyo
6.Dhibiti sukari na presha
7. Punguza unywaji wa pombe,ikiwezekana acha.

Ili kupata tiba ya kudumu ya tatizo lako piga/meseji/whatsup 0654705112

KWANINI KUNYWA MAJI KWA WINGIAsilimia 75 ya mwili wa binadamu ni maji. Kwa hivyo, ili mwili kufanya kazi vizuri ni lazim...
18/04/2021

KWANINI KUNYWA MAJI KWA WINGI

Asilimia 75 ya mwili wa binadamu ni maji. Kwa hivyo, ili mwili kufanya kazi vizuri ni lazima uwe na maji ya kutosha. Unywaji wa maji una faida nyingi na kwanza husaidia mwili katika kudumisha usawa wa umajimaji wa mwili.

Kazi ya maji ya mwilini ni, ufyonzaji, usambazaji, utengenezaji wa mate, usafirishaji wa virutubisho, na udumishaji wa joto la mwilini.

Hapa ni faida kuu za unywaji maji.

1. Matatizo ya choo
Maji ni dawa ya kutibu ukosefu wa choo, kunywa maji ya kutosha kila siku na utajiepusha na tatizo la ukosefu wa choo mara kwa mara.

2. Usafishaji wa mwili
Maji husaidia katika kuondoa sumu mwilini kwa kutoa uchafu wote kwa njia ya mkojo na haja kubwa.

3. Kupunguza uzito
Unywaji wa maji mengi unasaidia kupunguza uzito, kwani maji hayana mafuta, kalori wala sukari.

4. Tiba ya kichwa kuuma
Dalili ya mtu kupungukiwa maji mwilini ni kuumwa kichwa. Unashauriwa kunywa maji ya kutosha na hautasumbuliwa sana na kuumwa kichwa mara kwa mara.

5. Nishati ya mwili
Mwili unapopungukiwa maji, hukufanya ujihisi mchovu, hivyo kwa kunywa maji ya kutosha kila siku utakuwa mwenye nguvu. Pendelea kunywa maji badala ya vinywaji baridi mfano soda, juisi au bia.

6. Ngozi nyororo
Unywaji maji ya kutosha kila siku unaweza kuisafisha ngozi yako na kuifanya ionekane nyororo na ya kupendeza.

7. Afya ya moyo
Unywaji wa maji ya kutosha unaweza kupunguza hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo. Utafiti uliofanywa Marekani kwa muda wa miaka sita umeonesha kuwa watu wanaokunywa glasi za maji zisizopungua 5 kila siku, hujiepusha na uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa moyo kwa asilimia 41 zaidi ya wale wanaokunywa glasi 2 au chini ya hapo.

8. Usafishaji wa mwili
Maji husaidia kuondoa sumu mwilini kwa kutoa uchafu wote kwa njia ya mkojo na haja kubwa.

9. Mazoezi
Mwili unapokuwa na maji ya kutosha, yatakufanya uwe na nguvu ya kufanya mazoezi yako ya kutosha, hivyo kupata faida ya mazoezi ipasavyo.

10. Saratarani
Utajiepusha na saratani ya tumbo kwa kunywa maji, kwani maji husaidia suala la usagaji wa chakula tumboni na hivyo wakati wote tumbo lako litakuwa safi. Utajiondoa katika hatari ya kupata saratani ya tumbo kwa asilimia 45 na asilimia 50 kwa saratani ya kibofu cha mkojo.

Imeandaliwa na tumainiel

Mawasiliano piga au whatsup 0654705112

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni mtaji bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram