SEBA herbal clinic

SEBA herbal clinic Je umetafta mtoto kwa mda mrefu bila mafanikio njoo tukusaidie ubebe ujauzito ndani ya siku 90 TUU Bila kutumia dawa PIGA/WHATSAPP 0763199190

*Bofya link hapo chini ujue njia rahisi na ya  haraka ya kubeba ujauzito ndani ya siku 30 tuu utakuwa Mjamzito*๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿปhtt...
13/11/2024

*Bofya link hapo chini ujue njia rahisi na ya haraka ya kubeba ujauzito ndani ya siku 30 tuu utakuwa Mjamzito*๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป

https://sebaherbalclinic.lpages.co/dha-sp/

*JINSI YA KUTIBU KISUKARI NA PRESSURE NA UTAPONA KABISA NDANI YA MIEZI MITATU.*๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡*Njia ya kwanza:*  Kila siku hakikisha ...
12/11/2024

*JINSI YA KUTIBU KISUKARI NA PRESSURE NA UTAPONA KABISA NDANI YA MIEZI MITATU.*๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

*Njia ya kwanza:* Kila siku hakikisha unakunywa chai ya tangawizi na mchaichai usiweke sukari bali katakata limao moja weka kwenye kikombe chako. Chai hii itumike kila siku asubuhi kikombe kimoja na jioni kikombe kimoja kwa siku 90 mfululizo.
* HERBAL CLINIC .*

*JINSI YA KUTIBU KISUKARI NA PRESSURE NA UTAPONA KABISA NDANI YA MIEZI MITATU.*๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡*Njia ya pili:* Chukua limao 6 ๐Ÿˆ  katak...
12/11/2024

*JINSI YA KUTIBU KISUKARI NA PRESSURE NA UTAPONA KABISA NDANI YA MIEZI MITATU.*๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

*Njia ya pili:* Chukua limao 6 ๐Ÿˆ katakata vidogo vidogo na maganda yake weka kwenye maji nusu lita tengeneza juisi usiweke chochote kwenye hii juisi. Chuja juisi yako tumia kila siku asubuhi glass moja, mchana glass moja na jioni glass moja kwa siku 90 mfululizo utakuwa umepona kabisa kisukari na pressure.

Tumia limaoโœ… siyo ndimu.โŒโŒ
* HERBAL CLINIC .*

*JE, HUWA UNAUMWA CHOCHOTE KABLA HUJAINGIA SIKU ZAKO (HEDHI)?.*K**a jibu ni *NDIYO* basi kuna kitu hakiko sawa hata k**a...
08/11/2024

*JE, HUWA UNAUMWA CHOCHOTE KABLA HUJAINGIA SIKU ZAKO (HEDHI)?.*

K**a jibu ni *NDIYO* basi kuna kitu hakiko sawa hata k**a siyo kikubwa lakini kipo na wengi huwasumbua hivo kutokuamini k**a inawezekana kuingia period bila taarifa.

*JIFUNZE KITU HAPA*๐Ÿ‘‡

Period siyo ugonjwa kila mwanamke lazima aingie period awe amejiandaa au hajajiandaa.

Kwa kuwa siyo ugonjwa hautakiwi kupata dalili yoyote, kuumwa popote kuwa umekaribia au upo period. Kitu pekee cha kujua ni mzunguko wako tu kuwa tarehe fulani nitaingia hedhi lakini siyo viashiria vingine kwenye mwili.

Siyo kiuno, siyo tumbo, siyo kichwa, siyo chunusi, siyo maziwa kujaa au kuuma.

Haitakiwi.โŒ

Ni ugonjwa pekee ndiyo una dalili lakini period siyo ugonjwa.

Ukiona umepata dalili kuwa umekaribia period na ukaingia ujue kuna kitu hakipo sawa hata k**a siyo kikubwa lakini kipo.

Watu hawaamini k**a unaweza kuingia period bila kuumwa chochote lakini baada ya kutumia juisi wameamini.

*Mfano:*๐Ÿ‘‡

Ukiumwa tumbo, kiuno, nyonga, ukikaribia au ukiwa period *hilo ni chango la Uzazi.* juisi ya bamia na chai ya mchaichai inakuhusu.

Ukiona maziwa yamejaa, yanatoa maji maji, yanauma au yanatoa maziwa kabisa ukikaribia au ukiwa period hiyo ni mvurugiko wa homoni. Tena ni prolactin homoni ipo juu ndiyo maana inafanya maziwa yaume, wengine kujaa, wengine kutoa maji maji na baadhi kutoa maziwa maziwa kabisa ilihali siyo WAJAWAZITO wala hawanyonyeshi hasa wanapokaribia au wawapo period.

Kwa ufupi *period siyo ugonjwa hivyo hutakiwi kupata dalili yoyote au maumivu yoyote kuwa umekaribia kuingia period au upo period.*๐Ÿ™

NINI KIFANYIKE?.

1. Tibu chango la uzazi kwa kutumia juisi ya bamia na chai ya mchaichai. Vile vile juisi ya bamia husaidia homoni kuwa sawa ikiwemo kutokupata chunusi kabla au kipindi cha period.

2. K**a umeingia period maumivu ni makali tumia hii k**a huduma ya kwanza; (Tengeneza chai ya mchaichai mwingi, maji kikombe kimoja, ukichemka chuja weka kwenye kikombe kisha kamulia limao moja zima. Weka asali vijiko viwili unywe 1x3 kwa siku 3 mfululizo).

Kwa mwenye vidonda vya tumbo asiweke limao bali atumie mchaichai pekee na asali.

3. K**a maumivu ya hedhi yako yanasababishwa na uvimbe kwenye kizazi au kwenye mayai hakikisha unajitibu huo uvimbe kwani ndiyo chanzo cha tatizo.

4. UTI, FANGASI na P.I.D ni vyanzo vikubwa vya maumivu ya tumbo, nyonga na hata kiuno kipindi cha hedhi hivo jitibu chanzo.

Je, umejifunza kipi leo kwenye makala hii?.
* HERBAL CLINIC.*

04/11/2024

Ujumbe Muhimu Sana Kwa Wanawake Wote Wanaotaka Kupata Watoto...

HATIMAYE! China Yavujisha Tiba Asilia Ya Kunasa โ€œMIMBAโ€ Ndani Ya Siku 29 Tu...
..Tiba Iliyofichwa Kwa Zaidi ya Miaka 1,300 Kwa Wanawake Wenye Umri wa Miaka 35 - 46+โ€ฆ.

(Hata K**a mwanamke ameshajaribu Kila Njia na Amefeli au Mimba Zinaharibika)

Tiba asilia iliyowasaidia zaidi ya wanawake 300+...

Njia ambayo INA GUARANTEE Ndani ya siku 90 utapata matokeo.

Njia ambayo ni rahisi sana kuitumia.

Bofya button ya maneno "LEARN MORE" chini ya picha ya post hii kupata maelezo ya kina.

Au

Bofya hapa kufahamu zaidi sasa hivi
>>> https://sebaherbalclinic.lpages.co/dha-sp

NB: Tangazo hili halitokuwepo online muda wote.

Chukua hatua mara moja kabla haijaondolewa.

Bofya button ya maneno "LEARN MORE" kufahamu zaidi mara moja.

Au

Bofya hapa kufahamu zaidi chapchap
>>> https://sebaherbalclinic.lpages.co/dha-sp

Seba Herbal Clinic

*Amka unywe juisi amka umeze vidonge vyetu usikate Tamaa mpaka unyonyeshe*  HERBAL CLINIC
03/11/2024

*Amka unywe juisi amka umeze vidonge vyetu usikate Tamaa mpaka unyonyeshe*

HERBAL CLINIC

*CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE*Ni maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoin...
31/10/2024

*CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE*
Ni maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.

Zipo aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa Ovulation Disorder (O.D).

CHANZO CHA TATIZO

Matatizo ya chango la uzazi, inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka. Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na k**a zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka.

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI

๐Ÿ‘‰kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi,
๐Ÿ‘‰kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa,
๐Ÿ‘‰kujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi pamoja na kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi
๐Ÿ‘‰kurugika kwa mzunguko wa hedhi ni dalili nyingine ambapo mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi wa takriban siku 35,
๐Ÿ‘‰kubadilikabadilika kwa siku za hedhi au kuwa na mzunguko mfupi wa hedhi chini ya siku 21
๐Ÿ‘‰mwanamke kuwa na hasira kali anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi,
๐Ÿ‘‰kupata michubuko kwenye sehemu zake za uke,
๐Ÿ‘‰kuchukia kushiriki tendo la ndoa,
๐Ÿ‘‰kupata uvimbe kwenye kizazi na mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.

MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE

Yapo madhara mengi kwa mwanamke mwenye tatizo hili lakini kubwa, huwa ni vigumu kupata ujauzito na hata pale anaponasa ujauzito, huharibika na kutoka kwa rahisi na kushindwa kufurahia tendo la ndoa ambapo huwa vigumu sana kwa mwanamke mwenye tatizo hili kufika kileleni wakati wa tendo.
*Tiba sahihi ya chango la Uzazi ni juisi ya bamia, Juisi ya vitunguu swaumu na chai ya mchaichai na asali Tumia juisi zote mfululizo kwa siku 30 tu utakuwa umepona kabisa na utabeba ujauzito mwaka huu*

30/10/2024

*Tumebakisha miezi miwili tuu mwaka uishe Je lengo lako la kubeba ujauzito limetimia*????

*Je k**a halijatimia Unafanya jitihada gani kuhakikisha unabeba ujauzito mwaka huu*????

*Hebu Twambie ungependa tukusaidiaje uweze kubeba ujauzito mwaka huu*๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ
HERBAL CLINIC

*Tumpongeze madam Rachel kwa kutumia juisi zetu mfululizo kwa siku 90 tuu na vidonge vyetu kwa siku 30 tu na Hatimae Ame...
29/10/2024

*Tumpongeze madam Rachel kwa kutumia juisi zetu mfululizo kwa siku 90 tuu na vidonge vyetu kwa siku 30 tu na Hatimae Amejifungua mtoto wa k**e*

*Rachel amepitia magumu k**a yako lakini hakukata Tamaa*

*Tusaidiane kumpa mtoto Jina k**a ishara ya upendo*

*Unaruhusiwa kumpigia Simu kumpongeza na kumwambia mwanae ampe Jina gani 0673 108 296*
HERBAL CLINIC

Address

Dar Es Salaam

Website

https://sebaherbalclinic.lpages.co/dha-sp, https://sebaherbalclinic.lpages.co

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SEBA herbal clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to SEBA herbal clinic:

Share