Bertha Afya Clinic

Bertha Afya Clinic Tunatoa ushauri,tiba asilia na virutubisho lishe kwa magonjwa ya mifupa na maungio yake, bawasiri na afya ya uzazi kwa ujumla

UFAHAHAMU UGONJWA WA MAOTEAMAOTEA ni ugonjwa unaotambulika kwa kitaalamu "Hipapilloma virus"(HPV)-: Ni kundi la virusi a...
31/03/2025

UFAHAHAMU UGONJWA WA MAOTEA
MAOTEA ni ugonjwa unaotambulika kwa kitaalamu "Hipapilloma virus"(HPV)-: Ni kundi la virusi ambavyo vinasababisha kutokwa na vipele au vinyama visivyo vya kawaida hasa ktk maeneo ya kinywa/mdomoni,sehemu za Siri K**a njia ya haja kubwa na haja ndogo
*Visababishi vya HPV
-kufanya mapenzi na mtu mwenye tatizo hili.
-kufanya mapenzi Kwa njia ya kunyonyana sehemu za Siri na mwenza wako
-kuchangia nguo au taulo pia kugusana sehemu zenye unyevunyevu hata jasho na mtu mwenye HPV
# # # K**a wewe ni muhanga wa changamoto hii wasiliana nami nkupatie suluhisho 👇
+25557151811 kawaida au Whatsapp

Matatizo mengi ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula yanawakumba wengi karibu upate suluhisho la kudumu usiteseke kwa kununu...
20/05/2022

Matatizo mengi ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula yanawakumba wengi karibu upate suluhisho la kudumu usiteseke kwa kununua dawa Kila siku ,mwili wako haujaumbwa kwa ajili ya dawa karibu wewe unaesumbuliwa na vidonda tumbo,kupata choo kigumu, kutokupata choo kabisa,kupata choo kigumu kinachoambatana na damu na changamoto ya bawasiri aina zote.

Kwa ushauri na tiba piga
0657151811

Matatizo ya mmeng'enyo wa  chakula umekuwa ni gumzo kwa watu wengi bila kupata Suluhisho ,,,karibu upate tiba madhubuti ...
18/05/2022

Matatizo ya mmeng'enyo wa chakula umekuwa ni gumzo kwa watu wengi bila kupata Suluhisho ,,,karibu upate tiba madhubuti kwa matatizo ya mmeng'enyo wa chakula K**a bawasiri,kupata choo kigumu,kutokupata choo, kupata choo kinachoambatana na damu pia na vidonda tumbo usiteseke
Nipigie upate suluhisho la kudumu
0657151811

  KATI YA VIDONDA VYA TUMBO NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UGUMBA✍ Helicobacter Pylori (H. Pylori) ni bakteria ambaye ...
26/04/2022

KATI YA VIDONDA VYA TUMBO NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UGUMBA

✍ Helicobacter Pylori (H. Pylori) ni bakteria ambaye hushambulia sehemu ya mwisho ya tumbo la chakula ( gastro ) na sehemu ya mwanzo ya utumbo mdogo ( duodenum ) ijulikanayo k**a ( grastoduodenal tract ) na kupelekea tatizo la vidonda vya tumbo ( peptic ulcers ) na huyo bakteria watu humpata kupitia matumizi ya maji, vyakula na vyombo vyenye huyo bakteria kutokana na kutokusafishwa ipasavyo.

Maambukizi ya H pylori hayaishiitu katika sehemu ya mwisho ya utumbo mkubwa na sehemu ya mwanzo ya utumbo mdogo ( gastroduodenal tract ) bali husababisha mpaka magonjwa mengine ndani na nje ya mfumo wa chakula.

Kutokana na utafiti uliofanywa ulionesha H pylori anauwezo wa kusababisha magonjwa nje ya mfumo wa chakula k**a magonjwa katika

ya damu


wa hewa
wa homoni
wa kinga ya mwili
wa utengenezaji wa damu
wa ubongo na utiwa wa mgongo.

Hivi karibuni ushahidi kutokana na utafiti umeonesha kuwepo ongezeko la tatizo la ugumba kwa wanaume na wanawake wenye H pylori zenye gene iitwayo CagA kulinganisha na wale ambao hawana H pylori

Kupitia njia mbali mbali H pylori mwenye gene CagA huweza kuchochea uzalishaji wa vichochezi vya inflammation na kinga za mwili ambazo huweza kuathiri moja kwa moja ama kwa njia nyingine mfumo wa uzazi.

Kwa wale watu wenye Vidonda vya tumbo vinavyosababishwa na
H Pylori zenye gene ya CagA huweza kupelekea uharibifu wa mbegu za uzazi kwa wanaume na wananawake kwa kupunguza uwezo wa hizo mbegu kusafiri ( low motility), kuwa na nguvu na ustahimilivu (low vitality) ama uharibifu wa muonekano wa hizo mbegu
( S***m cell morphology destruction )

Na huu uharibifu wa hizi H pylori haujajulikana unakuwaje bali inadhaniwa inaweza kuwa kwa njia mbili kwa upande wa wanaume;

A- kwa kuchochea kinga za mwili ambazo hushambulia kuta za seli ambazo huzalisha mbegu za kiume

B- kwa kuchochea mwili kuzalisha vichochezi ( inflammatory mediators ) k**a interleukin na necrosis factor ambazo huenda na kushambulia mbegu za kiume.

Na kwa upande wa wanawake mapendekezo ni mengi ila inadhaniwa H pylori mwenye gene CagA huweza kuchochea uzalishaji wa kinga za mwili ambazo hupelekea mabadiliko katika mji wa uzazi ( uterus ) ambayo huathiri taratibu zote za mbegu za kiume kuungana na yai la mwanamke.

Kutokana na tafiti hizo inaonesha vidonda vya tumbo husasababisha upungufu wa nguvu za kiume na uwezo wa mwanamke kupata mimba.

Ni dhahiri kwa wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo huweza kupungukiwa nguvu za kijinsia na kupelekea;

1. kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kushindwa kufanya tendo la ndoa
( kwa wanaume )
3. Uume kuwa legelege kutokana na athari za vidonda vyatumbo
( kwa wanaume )
4. kushindwa kushika au kutungisha mimba

Hivyo basi kwa wale wenye vidonda vya tumbo ni vyema kutibu chanzo hiki kabla ya matumizi ya dawa za uzazi.

NASI KWA DAWA NZURI YA VIDONDA VYA TUMBO NA NGUVU ZA KIUME.

0657151811

20/04/2022

Ndugu K**a unatatizo la tezi dume usiteseke wahi mapema kupata Suluhisho la Hilo tatizo kabla halijakuletea madhara makubwa K**a saratani ya tezi dume, tunakupenda na tunaijali afya yako ,,kwa mawasiliano piga 0657151811

SABABU YA KANSA YA SHINGO YA KIZAZINdugu msomaji wa makala zangu za afya leo tutaenda kuzungumzia tatizo la kansa ya shi...
18/04/2022

SABABU YA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI
Ndugu msomaji wa makala zangu za afya leo tutaenda kuzungumzia tatizo la kansa ya shingo ya kizazi kwa kina dada na kina mama,huenda huwa unasikia tu ila huelewi kupitia makala hii utaenda kufahamu vizuri tatizo hili
CERVIX/SHINGO YA KIZAZI
Shingo ya kizazi au cervix ni njia ya kizazi kati ya uke na mji wa mimba. Sehemu hii ina kazi
nyingi ikiwemo kupitisha mbegu za kiume kuelekea katika mirija ya uzazi ili kupevusha yai,
kupitisha damu ya hedhi na pia ndio mlango anaopitia mtoto wakati wa kuzaliwa.
K**a zilivyo sehemu zingine za mwili, sehemu hii nayo inaweza kupata maradhi ikiwemo kansa.
Ugonjwa huu huwaathiri wanawake wengi wa rika zote walio katika umri wa kuzaa. Miaka ya
nyuma kabla ya maambukizi ya Ukimwi kansa ya shingo ya kizazi ilikuwa ikiwapata zaidi
wanawake wenye umri wa miaka 45 na kuendelea.
Lakini miaka ya hivi karibuni mwanamke yeyote aliye katika umri wa kuzaa anaweza kupata tatizo hili.
SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI/CERVICAL CANCER
Saratani ya shingo ya kizazi ni mabadiliko ya chembe chembe hai zilizo juu au zinazofanana na shingo ya uzazi ambapo huchukua miaka mingi hadi kujitokeza kwake. Ugonjwa huu huchukua zaidi ya miaka 15 mpaka 20 kugundulika lakini kabla ya kujitokeza bayana hutokea mabadiliko kadhaa
yanayoweza kugundulika mapema na kufanikiwa kuzuilika katika hatua za mwanzoni. Utafiti uliofanywa na timu ya wataalamu wa ugonjwa huo umebainisha mabadiliko ambayo hujitokeza kabla ya maradhi haya katika sehemu ya kizazi kabla ya kujitokeza saratani yanayoitwa
kitaalamu Precancerous lesion.
Mabadiko hayoyanaweza kuendelea na kujirudia na mwishowe kuwa ugonjwa. Hata hivyo yapo mambo ambayo yameonekana kusababisha ugonjwa huo kwa wanawake ambapo baada ya kufanyika uchunguzi duniani kote imebainika kuwa ugonjwa huo husababishwa na sababu tofauti.
Uchunguzi huo uligundua kuwa saratani hiyo ya shingo ya kizazi husababishwa na
kuanza ngono mapema katika umri mdogo chini ya miaka 18,
kuwa na wapenzi wengi na kuvuta sigara.
Pia miongoni mwa mambo yanayochangia kupata saratani ya shingo ya kizazi ni pamoja na
historia ya kubeba mimba nyingi
unywaji pombe kupindukia huku watu walioathirika na virusi vya Ukimwi wakiwa katika hatari zaidi ya kupata maradhi hayo.

SABABU YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyoitwa Human papilloma, ambapo mtu anaweza kupatwa na virusi hawa wakati wa kujamiana na mtu mwenye maambukizi.
Watu walio katika hatari ya maambukizi ya ugonjwa huu ni kwa ujumla wanawake wote lakini zaidi wale wasiokwenda kufanyiwa uchunguzi wa kila mwaka kuhusiana na ugonjwa huu unaojulikana kitaalamu k**a pap smear, wanawake walioathirika na virusi vya
human papillomavirus HPV au ge***al warts,
wanaovuta sigara,
wenye ukimwi na wasiokula vyakula bora hasa wasiozingatia mboga na matunda katika lishe zao uchunguzi huo, timu ya wataalamu wa ugonjwahuo imeeleza sababu zinazochangia kupata
saratani ya shingo ya kizazi na kubainisha dalili ambazo huonekana kwa mtu ambaye anasumbuliwa na ugonjwa huo.
Kutokana na nuchunguzi huo, timu ya wataalamu wa ugonjwa huo imeeleza sababu zinazochangia kupata saratani ya shingo ya kizazi na kubainisha dalili ambazo huonekana kwa mtu ambaye anasumbuliwa na ugonjwa huo.
Kufanyiwa uchunguzi wa pap smear ili kubaini ugonjwa huu kuna nafasi kubwa katika kuzuia
watu kupatwa na saratani ya shingo ya kizazi.
Uchunguzi wa awali wa saratani ya shingo ya kizazi unatakiwa kufanyiwa wanawake walio
katika mahusiano ya ndoa na pia wanatakiwa kupima mara kwa mara hadi wanapofikia umri
wa miaka 69. Mwanzoni uchunguzi huu unatakiwa ufanyike mara kwa mara kwa muda
wa miaka mitatu mfululizo. Ikitokea katika miaka mitatu mfululizo uchunguzi huo haujatoa
dalili zozote za kuwepo saratani basi mwanamke anaweza kuendelea kufanyiwa
uchunguzi mara moja kila baada ya miaka miwili na mitatu hadi pale atakapofikisha umri wa
miaka 69.
VIPIMO VYA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI
Tunapaswa kujua kuwa, uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi ni
rahisi na hauna maumivu yoyote tofauti na dhana iliyojengeka miongoni mwa jamii kuwa
huambatana na maumivu yanayotokana na uchunguzi huo na unaweza hufanyika katika
chumba cha daktari au nesi mtaalamu kwa muda wa dakika chache tu.
PAP-SMEAR
Pap-Smear ni kipimo ambacho hutumika kuchunguza mabadiliko ya chembe zilizopo katika mlango wa kizazi (cervix) ili kugundua mabadiliko yanayotokea katika chembe hizo mapema na hivyo kuyakabili mapema, kwani saratani ya shingo ya kizazi inaweza kutibika iwapo itagundulika mapema. Kipimo hicho huangalia shingo ya mfuko wa kizazi kwa kutumia kemikali iitwayo acetic acid, ambayo huwekwa kwa kutumia pamba na mabadiliko ya rangi ya chembe chembe hai zilizopo ndizo zitakazobainisha kuwepo kwa dalili za ugonjwa huo. Endapo kipimo hicho kitaonesha dalili za
mwanzo za ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi, kitachukuliwa kipimo kutoka katika sehemu iliyoathirika kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Wataalamu wa masuala ya afya wanasema kuwa, asilimia 50 ya wagonjwa wana uwezo mkubwa wa kupona kabisa ugonjwa huu, lakini pengine ikiwa saratani ya shingo ya kizazi haitochukuliwa na
jamii za kimataifa kuwa tatizo kubwa huenda miaka ijayo ukawa ni ugonjwa mkubwa kuliko hata ukimwi na malaria.
JINSI YA KUJIKINGA /PROTECTION FROM CERVICAL CANCER
k**a wanavyosema wahenga kinga ni bora kuliko tiba, basi tufahamukuwa kwa kujikinga tunaweza kujiepusha na magonjwa mengi na hata ya saratani. Moja ya kinga hizo ni
mke au mume kutokuwa na wapenzi wengi
kulinda tabia zetu na kutofanya ngono zembe.
mke au mume kutokuwa na wapenzi wengi
kutozaa sana na kutovuta sigara
kutoanza tendo la ndoa katika umri mdogo,
kufanya uchunguzi mara kwa mara,
Tumia neplily pads kwa afya bora ya kizazi
Kufanya vipimo mara kwa mara
Pia ugonjwa huu huweza kuzuilikakwa chanjo inayojulikana kana HVP vaccine,ambayo hupunguza hatari ya kutokea mabadilikoya seli na kuwa saratani.
MATATIZO YA KANSA YANATIBIKA UKIWAHI MAPEMA
Kansa ya shingo ya kizazi inatibika iwapo itagundulika mapema ikiwa katika hatua za mwanzo. Hii ni katika hali ambayo ugonjwa huu unapogundulika katika hatua za mwisho, uwezekano wa kutibika huwa mdogo na gharama za matibabu kuwa kubwa. Kuna njia za kutibu saratani ya shingo ya kizazi ambayo haijaanza kuonesha dalili ikiwa ni pamoja na
kutumia barafu maalumu na pia njia ya upasuaji mdogo wa kuondoa uvimbe. Pamoja na njia hiyo ya kutibu saratani ya awali pia ipo tiba maalumu ya saratani ya shingo ya kizazi ambayo ni pamoja na upasuaji katika hatua ya mwanzo ya ugonjwa, mionzi pamoja na njia ya dawa inayohusisha matumizi ya kemikali maalumu za kutibu saratani au chemotherapy.
Matibabu ya mionzi na dawa hutegemea umri, afya na hatua ambayo ugonjwa umefikia. Baadhi ya wakati wagonjwa hutolewa kizazi wakati wa upasuaji ili
kutibu aina hii ya saratani hasa wakati ikiwa imesambaa kwenye kizazi chote.
MATIBABU KWA KUTUMIA DAWA ASILIA
Mmea wa ginseng na pia ganda la nyanya baada ya uchunguzi wa kisayansi yamebainika kuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na kansa aina zote kwa kutibu na kukinga seli,dawa zilizotengenezwa kwa mmea huu hazina kemikali kabisa hivyo ni salama kwa afya ya mtumiaji
Tukiangalia ganda la nyanya limefanyiwa uchunguzi kwa uwezo wake mkubwa wa kupambana na kansa shid ikawa ni kwamba mtu anapotumia nyanya halifyonzwi linatoka ndipo ikatumika teknolojia ya hali ya juu kulifanya katika mfumo ambao litaweza kufyonzwa na mwili
Mmea wa ginseng wenyewe una chembe ndogo sana za kitabibu ambazo zinapenya sehemu zote za mwili hivyo kutoa tiba kwa ugonjwa wa kansa na magonjwa mengine
Na dozi yake ni kwa muda wa miez mitatu mfululizo
MAWASILIANO
0657151811/+255657151811

Usiteseke nione nikuoatie suluhisho la tatizo lako piga 0657151811
05/04/2022

Usiteseke nione nikuoatie suluhisho la tatizo lako piga 0657151811

Karibuni wapendwa mpate matibabu ya uhakika kwa kutumia virutubisho lishe,,piga 0657151811
31/03/2022

Karibuni wapendwa mpate matibabu ya uhakika kwa kutumia virutubisho lishe,,piga 0657151811

*TIBA YA BAWASIRI YA NDANI NA NJE BILA UPASUAJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KIMAREKANI BILA MADHARA YOYOTE**IJUE BAWASIRI ...
26/03/2022

*TIBA YA BAWASIRI YA NDANI NA NJE BILA UPASUAJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KIMAREKANI BILA MADHARA YOYOTE*

*IJUE BAWASIRI NA TIBA YAKE*

_Bawasiri ni hali Kupasuka kwa mishipa sehemu ya haja kubwa, damu kuganda na kujitokeza vinyama katika Maeneo hayo.

*AINA ZA BAWASIRI*
1_Bawasiri ya ndani
2_Bawasiri ya nje.

_Bawasiri ya nje hutokea mwisho wa mfereji wa haja kubwa Mishipa ya damu (vena) hupasuka na damu kuganda, ikiambatana na maumivu makali
_Bawasiri ya ndan hutokea ndan ya mfereji wa haja kubwa, hii haiambatan na maumivu. hapa wengi huwa hawajijui

DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI

_Kuota vinyama sehemu ya haja kubwa
_miwasho na maumivu sehemu ya haja kubwa
_kinyesi kuvuja
_kinyesi kutoka kuchanganyika na damu chenye harufu mbaya.

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI

_kukaa kitako au kusimama kwa muda mrefu
_kufanya mazoez magumu yanayokaza misuli ya haja kubwa
_Uzito kupitiliza
_Mapenz kinyume na maumbile
_tatizo la kutokupata choo

TIBA YAKE_Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake ni kufanyiwa upasuaji, hata hivyo wengi ilirudi baada ya kufanyiwa upasuaji.
_Sasa unaweza kutibu tatizo hili kwa kutumia virutubisho kutoka USA vilivyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu ambavyo havina kemikali 100% PIGA

KAZI YAKE.

_Huondoa miwasho na maumivu
_huweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuanzia mdomon hadi sehemu ya haja kubwa
_huondoa Bawasiri bila upasuaji.
_kulainisha choo.
NI VYEMA KUWAHI KUPATA TIBA MAPEMA KABLA YA KUBADILIKA NA KUWA CANCER.. TUWASILIANE 0657151811 whatsapp na kawaida

Karafuu ni tiba nzuri ya kuondoa gesi tumboni, kikohozi, harufu mbaya ya kinywa pamoja na kupunguza maumivu ya meno. Hii...
25/03/2022

Karafuu ni tiba nzuri ya kuondoa gesi tumboni, kikohozi, harufu mbaya ya kinywa pamoja na kupunguza maumivu ya meno. Hii inatokana na uwepo mwingi wa kemikali za Eugenol ambazo huchukua hadi zaidi ya 90% ya kemikali zote.

Utafiti wa James Solomon Jesudasan et al. (2005) unathibitisha uwezo wa mafuta ya karafuu katika kuondoa changamoto za maumivu ya meno. Mgonjwa anashauriwa kuloweka pamba ndogo kisha aiweke kwa dakika 3 kwenye jino llilo toboka walau mara 2 kwa siku.

Namna nzuri ya kundoa gesi tumboni ni kutumia karafuu k**a kiungo cha chakula, au kwa kutafuna. Ni salama kwa makundi yote.

24/03/2022

Karibuni wapendwa mpate suluhisho hakuna tatizo linalo dumu, wasiliana usiteseke piga 0657151811

TATIZO LA KUKOSA USINGIZI(INSONOMIA)Mtu mwenye afya bora hupaswa kupata usingizi wa kutosha ili kuweza kukua katika afya...
22/03/2022

TATIZO LA KUKOSA USINGIZI(INSONOMIA)

Mtu mwenye afya bora hupaswa kupata usingizi wa kutosha ili kuweza kukua katika afya bora na yenye kuijenga afya yako.
Lakini kwa baadhi ya watu suala la kupata usingizi limekuwa ni tatizo la mda mrefu na lenye kuwatesa sana.
Wengi wamekuwa wakikosa usingizi hali inayowafanya kuchelewa sana kuupata lakini baadhi yao huupata usingizi lakini katikati ya usiku au wakati wakiwa wamelala hushtuka na mala washtukapo hukosa usingizi mpaka kuna kucha.
Matatizo haya hutokana na sababu mbalimbali za kiafya..kiakili..kimwili na hata kwa baadhi ya tabia za mhusika mwenyewe.

Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mtu kukosa usingizi k**a vile;
-MSONGO WA MAWAZO/HOFU YA JAMBO FULANI
-MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA,KAHAWA,NIKOTINI,n.k
-MAZINGIRA MABOVU YA KULALA N.K
Kwa kawaida mtu mwenye afya bora na asiye na matatizo yoyote hupaswa kupata usingizi kwa mda wa masaa 7.5-8.5
kwa kila siku na nj usiku tuu lakini kuna baadhi ya watu hulala mchana na usiku kutolala
hali hii kiafya haishauriwi sana kwani hudumaza ubongo na kusababisha msongo wa mawazo

MADHARA YA KUTOPATA USINGIZI
> Kupata msongo wa mawazo na kuwa na hali ya uchovu kila wakati
> Akili kuchoka na kutoweza kufanya kazi kwa ubongo kwa ufanisi mzuri zaidi
>Kupata maumivu ya mwili na pia mwili kuwa na homa za mara kwa mara
>Mwili kupata stress

TIBA
Mara nyingi tiba ya tatizo hili imekuwa ni utumizi wa madawa mbali mbali ya kuleta usingizi ambazo zimetengenezwa kwa kemikali mbalimbali ambazo zimekuwa ni chanzo cha kusababisha magonjwa ya akili na pia matatizo ya ubongo

TIBA LISHE

Kutokana na matatizo ya haya kutopata usingizi wataalamu mbalimbali wamefanya tafiti na
kutuletea kirutubisho bora cha asili kilicho katika mfumo wa kidonge na juice ambacho kimekuwa msaada tosha kwa watu wenye matatizo ya
MSONGO WA MAWAZO,AKILI KUCHOKA NA KUKOSA KUMBU KUMBU,KUWA NA HOMA ZISIZO NA CHANZO MAALUMU NA MWILI KUPATA STRESS
VIRUTUBISHO HIVI VIPO KATIKA MFUMO WA VIDONGE NA MAJI

MAWASILIANo
0657151811

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bertha Afya Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Bertha Afya Clinic:

Share