23/07/2021
Ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya mechi ya Simba na Yanga itakayochezwa mjini Kigoma siku ya Jumapili, baadhi ya maafisa wa timu hizo wamefika kupata huduma mbali mbali katika Zahanati yetu za Mico Bangwe Road Dispensary. Katika picha hii aliye katikati ni Msemaji/Mhamasishaji wa timu ya Yanga bwana Antonio Nugaz. Karibuni sana wageni wetu wote Kigoma tupate huduma mbalimbali za kiafya.