Tiba na Dawa Za Dokta Madawa

Tiba na Dawa Za Dokta Madawa Tiba Na Dawa Za Dokta Madawa

12/07/2025

Kazi na Utu
Ukweli katika imani unafanikisha majambo ya wahitaji

10/07/2025

☯️☯️ ZUNGUMZA NA DOKTA MADAWA KIJANA KUTOKA VIUNGA VYA TANZANIA
ALIEJALIWA UWEZO MKUBWA KATIKA KUTATUA MATATIZO NA SHIDA TOFAUTI TOFAUTI ZA WANADAMU ☯️☯️

ANATIBIA KUPITIA MITISHAMBA 🍀🌵 NA KITABU 📚📚

☯️MAWASILIANO ☎️☎️ +255 656 282 855 AU ☎️☎️ +255 744 141 608

☯️☯️☯️ ANATATUA MATATIZO YAFUATAYO KWA USTADI NA UTAALAMU MAALUM KWA UHAKIKA ZAIDI☯️☯️☯️

0️⃣1️⃣ KUREJESHA MAHUSIANO
IWE NDOA AU MPENZI AMEKUACHA AU KUMFUNGA MTU UMPENDAE ASIENDE KWA MWINGINE

0️⃣2️⃣MARADHI YA UZAZI KWA WANAUME NA WANAWAKE
HAPA UTAPATA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME
KUNENEPESHA NA KUKUZA MAUMBILE
DAWA ZA P I D KWA KINA MAMA NA ZAKUFUNGIA KIZAZI

0️⃣3️⃣KINGA NA MVUTO KATIKA MAPENZI AU BIASHARA NA HATA KWENYE MASOMO

0️⃣4️⃣MARADHI YA MOYO PRESHA NA KISUKARI PIA BAWASIRI

0️⃣5️⃣KUSAFISHA NYOTA NA KUWA NA NGUVU YA USHAWISHI KAZINI SHULENI NA HATA KATIKA JAMII ZA WATU TOFAUTI TOFAUTI

0️⃣6️⃣KUSHINDA NA KUFUTA KESI ZA AINA ZOTE

0️⃣7️⃣KUPATA KAZI AU KUREJESHWA KAZINI

0️⃣8️⃣KUFUKUZA ADUI AU KUMVUTA MTU ALIEMBALI

🌵🍀TIBA HIZI NI UHAKIKA KABISA POPOYE ULIPO DUNIANI 🌍

KARIBUNI WOTE 🤝🤝🤝
☎️☎️ +255656282855 ☎️☎️ +255767461608

Njoo upate muhimu kwa Kuondoa mashetwani na uchawi mwilini K**a vile1)Kuondoa shetwani lililojifocha tumboni2)Kuondoa uc...
24/06/2025

Njoo upate muhimu kwa Kuondoa mashetwani na uchawi mwilini K**a vile
1)Kuondoa shetwani lililojifocha tumboni
2)Kuondoa uchawi huliokula pasipo kujua
3)Kuota unaingiliwa kimwili pasipo ridhaa yako
4)Kuota njozi hunakabwa na jitu lisiloonekana
5)Kujikinga na wachawi na majini
6)Kuumwaumwa kusikoonekana ukipimwa maradhi hayaonekani
7)Kuondoa sumu mwilini zitokanazo na uchawi
8)Kuondoa uchawi ndani ya mwili
9)Kutokushika mimba au kupotea kwa mimba kutokana na sababu za kichawi
10)Degedege kwa watoto na jinamizi
+255767461608
+255656282855
+255744141608

Kamwene
24/06/2025

Kamwene

Imani inavingi vya kukupa Ila maisha na changamoto zake ndio zinakukatisha tamaa
24/06/2025

Imani inavingi vya kukupa
Ila maisha na changamoto zake ndio zinakukatisha tamaa

20/06/2025

☯️☯️ ZUNGUMZA NA DOKTA MADAWA KIJANA KUTOKA VIUNGA VYA TANZANIA
ALIEJALIWA UWEZO MKUBWA KATIKA KUTATUA MATATIZO NA SHIDA TOFAUTI TOFAUTI ZA WANADAMU ☯️☯️

ANATIBIA KUPITIA MITISHAMBA 🍀🌵 NA KITABU 📚📚

☯️MAWASILIANO ☎️☎️ +255 656 282 855 AU ☎️☎️ +255 744 141 608

☯️☯️☯️ ANATATUA MATATIZO YAFUATAYO KWA USTADI NA UTAALAMU MAALUM KWA UHAKIKA ZAIDI☯️☯️☯️

0️⃣1️⃣ KUREJESHA MAHUSIANO
IWE NDOA AU MPENZI AMEKUACHA AU KUMFUNGA MTU UMPENDAE ASIENDE KWA MWINGINE

0️⃣2️⃣MARADHI YA UZAZI KWA WANAUME NA WANAWAKE
HAPA UTAPATA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME
KUNENEPESHA NA KUKUZA MAUMBILE
DAWA ZA P I D KWA KINA MAMA NA ZAKUFUNGIA KIZAZI

0️⃣3️⃣KINGA NA MVUTO KATIKA MAPENZI AU BIASHARA NA HATA KWENYE MASOMO

0️⃣4️⃣MARADHI YA MOYO PRESHA NA KISUKARI PIA BAWASIRI

0️⃣5️⃣KUSAFISHA NYOTA NA KUWA NA NGUVU YA USHAWISHI KAZINI SHULENI NA HATA KATIKA JAMII ZA WATU TOFAUTI TOFAUTI

0️⃣6️⃣KUSHINDA NA KUFUTA KESI ZA AINA ZOTE

0️⃣7️⃣KUPATA KAZI AU KUREJESHWA KAZINI

0️⃣8️⃣KUFUKUZA ADUI AU KUMVUTA MTU ALIEMBALI

🌵🍀TIBA HIZI NI UHAKIKA KABISA POPOYE ULIPO DUNIANI 🌍

KARIBUNI WOTE 🤝🤝🤝
☎️☎️ +255656282855 ☎️☎️ +255744141608

Dokta madawa Tiba kwangu ni uhakika+255656282855+255744141608
20/06/2025

Dokta madawa
Tiba kwangu ni uhakika

+255656282855
+255744141608

19/06/2025

☯️☯️ ZUNGUMZA NA DOKTA MADAWA KIJANA KUTOKA VIUNGA VYA TANZANIA
ALIEJALIWA UWEZO MKUBWA KATIKA KUTATUA MATATIZO NA SHIDA TOFAUTI TOFAUTI ZA WANADAMU ☯️☯️

ANATIBIA KUPITIA MITISHAMBA 🍀🌵 NA KITABU 📚📚

☯️MAWASILIANO ☎️☎️ +255 656 282 855 AU ☎️☎️ +255 744 141 608

☯️☯️☯️ ANATATUA MATATIZO YAFUATAYO KWA USTADI NA UTAALAMU MAALUM KWA UHAKIKA ZAIDI☯️☯️☯️

0️⃣1️⃣ KUREJESHA MAHUSIANO
IWE NDOA AU MPENZI AMEKUACHA AU KUMFUNGA MTU UMPENDAE ASIENDE KWA MWINGINE

0️⃣2️⃣MARADHI YA UZAZI KWA WANAUME NA WANAWAKE
HAPA UTAPATA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME
KUNENEPESHA NA KUKUZA MAUMBILE
DAWA ZA P I D KWA KINA MAMA NA ZAKUFUNGIA KIZAZI

0️⃣3️⃣KINGA NA MVUTO KATIKA MAPENZI AU BIASHARA NA HATA KWENYE MASOMO

0️⃣4️⃣MARADHI YA MOYO PRESHA NA KISUKARI PIA BAWASIRI

0️⃣5️⃣KUSAFISHA NYOTA NA KUWA NA NGUVU YA USHAWISHI KAZINI SHULENI NA HATA KATIKA JAMII ZA WATU TOFAUTI TOFAUTI

0️⃣6️⃣KUSHINDA NA KUFUTA KESI ZA AINA ZOTE

0️⃣7️⃣KUPATA KAZI AU KUREJESHWA KAZINI

0️⃣8️⃣KUFUKUZA ADUI AU KUMVUTA MTU ALIEMBALI

🌵🍀TIBA HIZI NI UHAKIKA KABISA POPOYE ULIPO DUNIANI 🌍

KARIBUNI WOTE 🤝🤝🤝
☎️☎️ +255656282855 ☎️☎️ +255744141608

MAPACHAHii ni nyota ya nne katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Juni hadi 22...
15/04/2025

MAPACHA
Hii ni nyota ya nne katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Juni hadi 22 Julai au wenye majina yalio anza na herufi D au H au P.Asili yao ni Maji,

Sayari yao ni Mwezi (Moon)
Siku yake nzuri katika wiki ni siku ya Jumatatu.
Namba yao ya bahati ni 2 na 7.
Malaika wake anaitwa Gabriel au Jibril,
Jini anayetawala Jumatatu anaitwa Murratul Abyadh au jina la utani anaitwa Abú nuuril abyadh au Phul
Madini yao ni Fedha (Silver)
Kito (Jiwe) ni Moonstone, Lulu (Pearl). Quartz, Diamond, Moonstone, Peacock Ore Manukato yao ni Yasimini (Jasmine) na Msandali (Sandalwood).
Rangi zao ni Nyeupe, Bluu, Hudhurungi (Puce) na rangi ya Fedha (Silver), Wanashauriwa kinyota wapake au watumie rangi zozote ambazo siyo nzito au zenye uwiano na rangi nyeupe.

Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi, mahaba na furaha ya kujumuika na watu ni rangi za Nyeusi(Black) na Bluu iliyoiva (Indigo).

Rangi inayowapa uwezo wa Kipato ni rangi ya Machungwa na rangi ya Dhahabu.

MAMBO MUHIMU:-

Ubora unaohitajika kusawazisha mambo yao ni kujirekebisha na tabia yao ya kusikitika sikitika na kunung’unika.

Ubora wa Nyota hii ni Uongozi.

Maadili yao ni Kung’ang’ania, kuwa na uwezo mkubwa wa kihisia na kupenda malezi.

Matakwa yao ni Maisha ya Kifamilia pamoja na Nyumba yenye amani na maelewano.

USHIRIKIANE NA NANI?
Tabia za kujiepusha nazo ni kupunguza kuwa na hisia kali na kunung’unika nung’unika na kusikitika pasipokuwa na haja ya kunung’unika.

Nyota za watu ambao anaelewana nao ni nyota za Nge na Samaki

Nyota za watu ambao haelewani nao ni nyota za Punda, Mizani na Mbuzi.

Nyota inayomsaidia kikazi ni nyota ya Punda.

Nyota inayomsaidia kihisia ni nyota ya Mizani.

Nyota inayomsaidia kipesa ni nyota ya Simba

Nyota inayomsaidia katika ubunifu ni nyota ya Nge.

Nyota bora ya Mapenzi, Ndoa na Ushirikiano ni nyota ya Mbuzi

Nyota bora ya kujifurahisha ni nyota ya Nge

Nyota ambazo zinamsaidia katika mambo ya kidini na kiroho ni nyota za Mapacha na Samaki.

KIPAJI CHA KAA:
Kaa wana kipaji cha hisia ya kugundua mambo yanayotendeka ikiwa ni pamoja na kubashiri mambo, kumwelewa mtu kwa undani na kujua jambo ambalo mtu anataka kulifanya au jambo litakalotendeka hasa kwenye watu wengi. (Sensitive):

TABIA ZAO KIMAUMBILE NA KIMAPENZI:
Kaa ni watu wenye tabia ya hisia nzito, wapole na wenye huruma. Ni wenye dhamira ya ulezi na kuwaangalia au kuwahurumia watu wengine, hiyo inaonekana waziwazi katika nyumba zao na familia zao.

Upande mwingine ni watu ambao wana “Gubu,” wakali, wenye kupenda kujishughulisha na wanajiamini sana. Ni watu ambao wanaweza kubadilika lakini wenye msimamo na itikadi, wanaweza kuwa ni wenye wivu mkali na wenye kupenda kudhibiti wapenzi wao.

Hisia ni kitu muhimu sana katika mapenzi kwa Kaa, pamoja na kwamba kimaumbile ni watu wanaopenda kujilinda na wanaogopa sana kuumizwa kimapenzi na wapenzi wao.
Wanapenda sana kuwa karibu na wanayempenda na kuwaonyesha huba na upendo mkubwa. Kwao hakuna mapenzi ya nusu nusu, wanapenda sana kuwa na mtu ambaye atadumu nae milele.

Kaa bila ya kuwa na mpenzi hujihisi hawajatimiza lengo lao katika maisha, hivyo basi huwa hawana raha. Ni wapenzi waaminifu na wanategemea wapenzi nao wawe waaminifu k**a wao.Ni wagumu sana kuachana na wapenzi na inapotokea huwa hawaagi, wako radhi wao waumie kuliko kuachana na anayempenda.

KAZI NA BIASHARA ZA KAA:
Kaa,Wanatakiwa wafanye kazi za Utabibu k**a vile Madaktari au Wauguzi, kazi za baharini k**a vile mabaharia, kazi za huduma ya chakula k**a hoteli, migahawa, kazi za kuhudumia watoto k**a katika shule za chekechea, kazi za benki au kazi za maneja utumishi au kazi za kuandika.

MAVAZI NA MITINDO:
Mavazi yao yawe ya kupwaya pwaya k**a ni Magauni yawe ya kuninginia, nguo ziwe zinazo badilika badilika. Mavazi yawe ya rangi ya Fedha na rangi ya Bahari. Vitambaa vyao viwe laini na vyenye kutiririka. Nguo za k**e ziwe zenye marinda na Blauzi ziwe laini

MAGONJWA YA KAA:
Nyota hii inatawala njia kuu ya chakula kuelekea tumboni, mbavu, mfupa wa kidari, tumbo la uzazi, utumbo mdogo na utumbo au sehemu zote za kusagia chakula.Vile vile inatawala bandana na matiti.
Maradhi yao makubwa yanakuwa maradhi yanayosababishwa na gesi, vidonda vya tumbo au kiungulia au maradhi yanayotokana na mwili kuwa mnene au umbo kubwa.

VYAKULA, NCHI, NA MIJI YA KAA:
Wenye nyota hii wanashauriwa wapende kula vyakula na matunda yafuatayo ambavyo ndivyo vinavyotawaliwa na nyota yao, Mapeas, Kaa au vyakula vya baharini, na mboga k**a kabichi na saladi (lettuce).
Ili kupata mafanikio ya kinyota wenye nyota hii wanashauriwa watembelee au waishi katika miji au nchi zifuatazo ambazo zinatawaliwa na nyota yao.Miji hiyo ni New York (Marekani) na Venice (Ugiriki) au nchi za New Zealand na Scotland.

MADINI, VITO NA MAFUSHO:
Madini ya Kaa ni Fedha. Vito vyao vya kuvaa katika pete ni k**a vilivyoonyeshwa katika picha hapa chini.
Mafusho ya Kaa ni Ubani wa aina yeyote wa kawaida au ubani maka unachoma siku ya Jumatatu kati ya saa 12-1 asubuhi na saa 7-8 mchana.

FUNGUO:

Funguo ya kaa ni hisia "nahisi" basi wao wakihisi uwepo wa kitu hukipata

NYOTA YA PUNDANyota ya kwanza katika mlolongo wa Nyota 12.Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Machi na 2...
15/04/2025

NYOTA YA PUNDA
Nyota ya kwanza katika mlolongo wa Nyota 12.
Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Machi na 20 Aprili au wenye majina yalioanza na herufi A au M au Y au L au E.

Namba yao ya bahati ni 1,8 na 17
Asili yao ni Moto, nayo ni nyota dume.
(dume ikiwa na maana ya chanya/sio jinsia za wenye nyota)

Usawa wake ni Imara
Ni nyota ya utendaji,yenye nguvu,inafaa na yenye msukumo na nyota yenye matumaini,iliyowazi katika mabadiriko na hali mpya.

Sayari yao ni Mars (Mariikh).
Marikh kwa historia za kale ni kuwa ni sayari ya Kiumbe wa vita,vurugu,uovu na ubaya.
katika elimu ya nyota hii husimama k**a sayari ya hamu/shauku na upinzani huleta hisia za ajali na humiliki moto na Hatari

Siku nzuri katika wiki ni Jumanne
Malaika anayetawala nyota hii anaitwa Samael au Izrael,
ambaye ni malaika mtoa roho za watu,

Jini wa nyota na sayari hii anaitwa Abuu Muhriz al Hammar au Phaleg

Alama ya nyota hii ni Punda ambapo maana yake ni msisitizo, kingono na kupanda chat zaidi

Maarifa makuu kabisa ya punda ni ujasiri

Nyota inayoipa nguvu zaidi ni Mizani:
Punda ni nyota ya ubinafsi yaani umimi kwanza, ni nyota yenye uelekeo wa ubinafsi zaidi mizani ambayo ndio nyota yenye nguvu hasi kuweza kuing'arisha Punda kwa sababu yenyewe ni chanya na basi mizani huwa ni nyota pweke na yenye kuzoea upweke hivyo ikiungana na Punda basi huwa na nguvu maradufu, na hasa wakiungana kimapenzi basi hung'ara zaidi.

Rangi yao ya Bahati ni Nyekundu kwa maana huwakilisha moto ambao ni asili ya Punda, Rangi zinazowafaa kwenye Nyumba au Vyumba vyao ni rangi nyekundu (Scarlet).

Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi, mahaba na furaha ya kujumuika na watu ni rangi za kijani na kijani kibichi. Rangi inayowapa uwezo wa kifedha ni rangi ya Kijani

Manukato yao ni Marashi ya Asali (Honeysuckle)

MAMBO MUHIMU:-
punda ni watu ambao k**a ilivyokuwa ni nyota ya kwanza basi wao huwa mstari wa mbele sana katika kufanikisha mambo kwa haraka lakini pia ni watu ambao hawaoni shida kuanza moja kwa jambo lolote lile wao huonekana k**a watu wa maajabu sana katika maisha

Ubora unaohitajika kwa watu wa Nyota hii ili kusawazisha mambo yao ni “kuwa waangalifu”

Maadili yao ni “Utumiaji wa nguvu, Ujasiri, Uaminifu, kuwa huru na kujitegemea

Matakwa yao ni Vitendo

Tabia za kujiepusha nazo: Kutokuwa na subira, kufanya mambo haraka haraka bila kufikiri, kutumia nguvu bila akili na kuharakisha mambo.

USHIRIKIANE NA NANI?

Nyota za watu ambao “Wanaelewana” nao ni nyota za Simba na Mshale

Nyota za watu ambao “Hawaelewani” nao ni nyota za Kaa, Mizani na Mbuzi.

Nyota inayomsaidia “Kikazi” ni nyota ya Mbuzi

Nyota inayomsaidia “Kipesa” ni nyota ya Ng’ombe

Nyota inayomsaidia katika “Ubunifu” ni nyota ya Simba.

Nyota bora ya “Kujifurahisha” ni nyota ya Simba

Nyota ambazo zinamsaidia katika mambo ya “Kidini na kiroho” ni Nyota za Mshale na Samaki.

Siku yake nzuri katika wiki ni siku ya Jumanne

KIPAJI CHA PUNDA
Wenye nyota hii wana kipaji cha Hisia, ni rahisi kwao kutafsiri jambo lolote, wanaweza kwa urahisi kutafsiri ndoto, vilevile wana kipaji cha kusikia sauti ndani ya kichwa kuhisi jambo litakalotokea na ikawa kweli.

Ikiwa watafanya Taamuli (Meditation) kwa dakika ishirini wakati wa usiku au kitu cha kwanza wanapoamka asubuhi, akili na miili yao itatulia na watapata ufunuo wa mambo mengi sana.

TABIA ZAO KIMAUMBILE NA KIMAPENZI:

Punda ni wakali na wachangamfu, wenye hisia na wanaoweza kujieleza wakiwa na hali ya kufanya chochote. “SASA HIVI” hayo ndio mambo wanayotaka kusikia.

Ni watu wasiokuwa na subira, kila kitu kinafanyika kwa msukumo na haraka haraka. Ni viongozi majasiri ambao hawaoni karaha kuchukua majukumu, wakati wote wanajiona kwamba “Wanajua sana”.

Kimapenzi Punda ni watu wenye mapenzi motomoto, tatizo lao kubwa hawapendi kusikiliza ushauri wa kimapenzi, na hawakubaliani na mambo nusu nusu. Ni watu wenye kutegemea mazuri wakati wote na hawakubali kushindwa. Hupenda kukimbilia katika mapenzi bila kufikiri, wanapohisi wamepata mpenzi wa kweli. Ni wepesi kuvutwa katika mapenzi na wenye miamko ya ghafla au misukumo ya kiwazimu ambayo wakati mwingine inawafanya waonekane wapumbavu.

KAZI NA BIASHARA ZA PUNDA :
Wote wake kwa waume waliozaliwa katika nyota hii wana kipaji cha asili cha uongozi na wasiwasi wa kushindwa katika utekelezaji. Kazi zinazowafaa ni Jeshi, Kazi za Uokoaji, Michezo, Uuzaji, Upasuaji, Kufundisha (Ualimu), Masuala ya Fedha. Biashara za kubadili fedha,Biasharaza kuuza vifaa vya michezo, biashara za vifaa vya shule au maduka ya madawa.

MAVAZI NA MITINDO:
Mavazi yao yanatakiwa yawe ya mitindo mikali na tofauti, yenye kuchangamsha na Kusisimua ya rangi nyekundu.Vitambaa vyao viwe vya sufu (wool), Fulana, na vitambaa vilivyo na kishiwa kwa nyuzi za rangi ya chuma. Wasikose kuvaa kofia, wanawake wapendelee sana kuvaa na Suruali

MAGONJWA YA PUNDA:
Nyota hii inatawala kichwa, Ubongo, Macho, Mifupa ya uso na fuvu la kichwa.
Magonjwa yanayohusiana na nyota hii ni kuumwa na Kichwa, Kuzimia, Homa ya ubongo, maradhi ya kupata ajali ndogo ndogo za uso na kichwa Maradhi ya chunusi na magonjwa ya mishipa ya kichwa.

VYAKULA, NCHI, NA MIJI YA PUNDA:
Punda vyakula vyao vikuu ambavyo vitawaletea bahati ni Mananasi,Viungo vya pilipili, Vitunguu na nyama ya mbuzi.
Nchi ambazo wanaweza kupata mafanikio ni England, Germany, Poland na Switzerland na miji yao ni Florence, Marseilles,Verona Liverpool na New Orleans

MAUA:
Maua ya nyota hii ni Geranium,honeysuckle na sweet pie

MADINI:
Madini yao ni Chuma

VITO:
Vito au Mawe ya bahati na miujiza ni Almasi Hii kwa sababu huvuta mapenzi mafanikio ya kimaisha,bahati za kupitiliza hili jiwe huwapa bahati sana wenye nyota ya punda linapovaliwa upande wa kushoto, mawe mengineyo ni Ruby, Hematite, Aventurine, Bloodstone, Carnelian, Citrine, Diamond, Lapis Lazuli, Mexican Lace Agate na Quartz

MNYAMA:
mnyama wa nyota hii ni kondoo hasa dume

MAFUSHO:
Mafusho yao yanaitwa Qist ,isome zaidi kwenye post iliyopita yako k**a vipande vya mizizi na yana rangi ya kahawia. Ili kupata bahati wanatakiwa wachome mafusho haya kila Jumanne asubuhi saa 12 mpaka saa 1 na saa 7 mpaka saa 8 mchana..

FUNGUO:
Funguo yao ya mafanikio ni "UMIMI"

HATARI:
Hatari ya punda ni kujiweka mbali na vitu vikali pamoja na moto pia hutakiwa kujiweka mbali na kukimbiza hovyo magari maana wao hupoteza muelekeo kwenye spidi vichwa vyao huvijua wao wenyewe na hupenda kujiweka karibu na vurugu na sehemu za hatari hivyo k**a wewe ni Nyota yako hii epuka mambo hayo

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba na Dawa Za Dokta Madawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share