AFYA kipaumbele CHETU

  • Home
  • AFYA kipaumbele CHETU

AFYA kipaumbele CHETU "Afya ni Uwezo, Afya ni Uhuru"
� Tunasaidia watu kushinda magonjwa kwa njia salama na nafuu

09/03/2026
23/02/2026

K**a una changamoto tajwa hapo juu na nyingine nyingi, wasiliana nasi sasahivi kwa suluhisho la kudumu kwani;

✅️ Utafanya vipimo vya mfumo mzima wa uzazi ili kufahamu changamoto yako vizuri kwa thamani ndogo ya tsh 30,000 tu! Ndio ni tsh elfu thelathini tu (pasipo vipimo sahihi ni sawa na kuotea ugonjwa tu).

✅️ Utapata matibabu sahihi kutokana na majibu ya vipimo utakavyofanya.

Sisi ni daraja la afya yako njema ya uzazi, Mungu unayemuamini azidi kukupa afya njema wewe na uzao wako.

SASA KUPATA SULUHISHO JUU YA CHANGAMOTO .

Wasiliana nasi kupitia Namba hii 0756652508

04/10/2025

🌿 Je, Unateseka na Maumivu yasiyoisha? 🌿

Maumivu ya Mifupa, Mishipa, Misuli, Nyonga, Mgongo, Mikono, Mabega, Maungio au Ganzi kali mwilini ni ishara kwamba kuna tatizo kubwa linalohitaji kuchunguzwa mapema. Usipuuzie!

👉 Karibu kwenye kituo chetu cha afya kwa Vipimo Maalum vya kina ili kubaini:
✅ Chanzo cha tatizo lako
✅ Ukubwa wa tatizo
✅ Njia sahihi ya matibabu

Baada ya vipimo, utapatiwa mwongozo wa matibabu ya tiba asili bora kabisa ambayo yamewasaidia wagonjwa wengi kupona na kurejesha afya zao.

💰 Gharama ya Vipimo ni Tsh 30,000 tu – nafuu na sahihi kwa kila mtu.
📍 Tunapatikana Dar es Salaam na Mikoani.

📲 Piga simu au WhatsApp sasa: 0756 652 508 kuhifadhi nafasi yako au kupata maelezo zaidi.

🌟 Afya yako ni kipaumbele chetu – chukua hatua leo, usiishi na maumivu tena!

Address

Majumbasita, Ukonga-Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA kipaumbele CHETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram