Afya yako

Afya yako Nasaidia wanaume wenye matatizo ya afya ya uzazi kwa kuwapatia ushauri na lishe sahihi

Nitakupa Muongozo sahihi wa chakula sahihi + mazoezi pamoja na ushauri kutokana na changamoto yako = vitakusaidia kuwa n...
12/06/2022

Nitakupa Muongozo sahihi wa chakula sahihi + mazoezi pamoja na ushauri kutokana na changamoto yako = vitakusaidia kuwa na afya na nguvu mara dufu na ya kudumu muda mrefu kwa sababu tunaimarisha kuanzia mzizi wa tatizo lilipo anzia

Ninawasaidia wengi sana kurejesha heshima ya ndoa

Tuma neno AFYA JAMII whatsApp kwenda +255 753 222 239 sasa hivi usaidiwe mapema....

Nitakupa Muongozo sahihi wa chakula sahihi + mazoezi pamoja na ushauri kutokana na changamoto yako = vitakusaidia kuwa n...
31/05/2022

Nitakupa Muongozo sahihi wa chakula sahihi + mazoezi pamoja na ushauri kutokana na changamoto yako = vitakusaidia kuwa na afya na nguvu mara dufu na ya kudumu muda mrefu kwa sababu tunaimarisha kuanzia mzizi wa tatizo lilipoanzia

Ninawasaidia wengi sana kurejesha heshima ya ndoa

Tuma neno FIT whatsApp kwenda +255 753 222 239 sasa hivi usaidiwe mapema....

TENDO LA NDOA LINAPASWA KUDUMU KWA MUDA GANI?(Sasa hapa nitaongea vitu vya kiume. Emotional stuff. Deep things. Lengo ni...
30/05/2022

TENDO LA NDOA LINAPASWA KUDUMU KWA MUDA GANI?
(Sasa hapa nitaongea vitu vya kiume. Emotional stuff. Deep things. Lengo ni kukuamsha)
Kumfikisha mwanamke kileleni ,lazima mwanaume awe na uume wenye nguvu na uliosimama imara.Tatizo kwa wanaume wengi hasa wale ambao wameshawahi kujichua huwa wanashindwa kusimamisha uume mda wote wa tendo la ndoa.wengi uume unalegea au kusinyaa ndani au kabla ya kuingiza uume ukeni.

Maana alizoea dakika 5 umechoka ukijitutumua sana robo saa au nusu sasa. But now anashangaa k**a muda upo mfano weekend upo nyumbani ni mwendo wa dakika 45 na kuendelea uume haujalaa. Unajua uume kushiriki tendo la ndoa kwa dakika 45 tu kwa wengi ni IMPOSSIBLE.
Why?
Sababu ili uume uwe imara lazima misuli iwe na nguvu na mishipa minene ambayo huingiza damu kwa wingi ndani ya uume ili usisinyae wakati ukiwa unashiriki tendo la ndoa. Sasa mishipa kuendelea kuihold damu kwa 45 minutes hadi lisaa na zaidi inabidi uume wako uwe na misuli imara kweli kweli. Wengi misuli ya uume ishachoka.
Hayo ni matokeo ya mishipa na misuli ya uume kulegea ,hivyo huwa na uwezo wa kusimama mda mfupi tu kisha unasinyaa au kulala.Pia misukosuko ndani ya uke k**a mwanaume hana uume imara misuli huchoropoka haraka mara baada tu ya kuingiza uke au kabla.Hivyo bao la mapema na uume kulala! Ndo unakuta mtu dakika 5 tu tayari. Mwingine 15 tu.

Solution unayo wewe. Take responsibility like a man! Fanyia kazi tatizo lako ukampe mchezo wa uhakika hadi asiwaze chochote tena bali wewe K**a huwezi kufanya tendo kwa dakika hata 30 tu mfululizo bila uume kulala yani hapo umemaliza round bado uume usilale labda ukaenda na karound kengine kamoja bado uume usilale basi ujue una hali mbaya. Wengine hatabrobo saa haifiki chalii.

Ni muhimu kurekebisha tatizo kwa haraka kabla halijawa out of control.
Tumewasaidia wengi mno kurejesha urijali na kuimarisha mahusiano. Stress ya mwanaume hu0ngezeka pale ambapo hawezi kumudu tendo hasa anapozidi kuona mwenza wake ana furaha tu kula siku ndipo huanza kuhisi labda mwenzake anafikishwa na wanaume wengine. Hapo hali ya stress na kutojiamini (insecurity) huongezeka na kuathiri hata utafutaji8
wa maisha nk.

KARIBU TUKUHUDUMIE

👉 Nipigie 0753222239

👉 Whatsap +255753222239

UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUMENi nini maana ya ukosefu wa nguvu za kiume?Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali y...
27/05/2022

UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Ni nini maana ya ukosefu wa nguvu za kiume?

Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.

Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari nyingi k**a vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa.

Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.

DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:-

1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara. Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume anaye kabiliwa na tatizo hili uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya uume usimame barabara.

Mishipa hii inapokuwa imelegea, uume hauwezi kusimama barabara hata iweje. Kulegea kwa mishipa ya kiume kunasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu. Mtu anaye piga punyeto anakuwa anaiminya mishipa inayo sababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na hivyo linapo kuja suala la kusimamisha uume, mwanaume huyu anakuwa hana uwezo tena wa kusimamisha uume wake.

Vilevile matumizi ya madawa makali (hususani madawa ya kizungu) ya kuongeza nguvu za kiume, husababisha mishipa ya uume kulegea. Hii ni kwa sababu madawa haya hui-overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake.

Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia hufanya mishipa ya uume wa muhusika kulegea na kukosa nguvu.

2. Kukosa hamu ya tendo la ndoa: Hapa mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa husababishwa na msongo wa mawazo.

3. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja. Hapa mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.

4. Kufika kileleni mapema

5. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa. Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa. Na wakati mwingine, hali hii hutokea pindi vyanzo zaidi ya kimoja vya tatizo la kiume vinapo kuwa vimejitokeza kwa mtu mmoja.

6. Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa hasa hasa chango la kiume au ngiri.
Tajwa hapo juu ni dalili kuu za tatizo la ukosefu ama/na upungufu wa nguvu za kiume.

CHANZO CHA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Kwa ufupi sana, mambo yafuatayo ndio vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume:-

i. Upigaji punyeto wa muda mrefu.
ii. Msongo wa mawazo.
iii. Ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu (pressure).
iv. Kupooza kwa mwili.
v. Kuugua ugonjwa wa ngiri.
vi. Kuugua chango la kiume.
vii. Ulevi uliokithiri.
viii. Kuwa na wasiwasi wa kumudu kutekeleza tendo la ndoa.
ix. Woga wa kufanya tendo la ndoa.
x. Uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyuma.
xi. Ulaji mbovu wa vyakula haswa vyenye mafuta mengi/kupita kiasi.
xii. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa.

ATHARI ZA UPUNGUFU / UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Kutokuwa na nguvu za kiume huleta madhara na athari nyingi sana kwa muhusika. Baadhi ya athari hizo ni pamoja na:-

Kuvunjika kwa mahusiano ya kimapenzi.
Kuvunjika kwa ndoa.
Kujiua: Baadhi ya wanaume hufikia uamuzi wa kujiua baada ya tatizo kuwa kubwa na kutumia dawa za aina mbalimbali bila mafanikio.
Upungufu wa nguvu za kiume huongeza chachu ya maambukizi ya V.V.U kwa wanandoa: Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linapokuwa sugu, hupelekea rafiki wa k**e/ mke wa mwanaume anaye sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, kutoka nje ya ndoa kwa ajili ya kutimiziwa haja zake za kimwili, mwisho wa siku mwanamke huyo huweza kumletea magonjwa mume wake mwenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokutana kimwili katika hali hiyo hiyo ya kutoridhishana.
Ulevi kupita kiasi; Wakati mwingine wanaume wanao sumbuliwa na tatizo hili, huamua kuwa walevi kupita kiasi ili angalau kupunguza mawazo.

Kwa ufupi ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana ambalo endapo halitatafutiwa ufumbuzi na muhusika linaweza kuyaathiri maisha ya muhusika kwa kiasi kikubwa sana.

Tatizo la nguvu za Kiume linatibika.... Kwa ushauri zaidi tuma neno FIT kwenda whatsApp namba +255753222239
Karibu sana

Kwa Maisha ya sasa ni ngumu sana kupata mlo kamili unaojitosheleza na wenye kiwango sahihi cha madini na virutubisho muh...
24/05/2022

Kwa Maisha ya sasa ni ngumu sana kupata mlo kamili unaojitosheleza na wenye kiwango sahihi cha madini na virutubisho muhimu mwilini

Hii kwa asilimia kubwa imepelekea kuwepo na matatizo mengi ya kiafya ikiwemo afya ya uzazi na ndo maana tunahitaji kubadili mfumo Wa Maisha na kuanza kujali afya zetu

Je una tatizo la afya ya uzazi?Wanaume wengi na wanawake kulingana na takwimu kati ya watu wanne mmoja huwa na tatizo la...
23/05/2022

Je una tatizo la afya ya uzazi?
Wanaume wengi na wanawake kulingana na takwimu kati ya watu wanne mmoja huwa na tatizo la uzazi na anawez asifahamu

Hilo sio jambo kubwa sana Kwan unawez kuondoa tatizo lako kwa urahisi kwa kupata virutubisho na ushauri sahihi bila hata ya kwenda hospital

Je ni tezi dume, mbegu za uzazi kuwa nyepesi, kushindwa kuimiri tendo la ndoa, ulegevu wa sehemu za uzazi ama ni kushindwa kutungisha mimba!!

Tuko Kukuhudumia tuma neno FIT kwenda whatsApp namba +255753222239 ili kuweza kupatiwa maelekezo

Nimeachana nae mwanaume gani ana mbegu nyepesi k**a maji"Aliniambia mke wake..Mke alidai,, "aliwahi kuwa na mwanaume kij...
22/05/2022

Nimeachana nae mwanaume gani ana mbegu nyepesi k**a maji"
Aliniambia mke wake..

Mke alidai,, "aliwahi kuwa na mwanaume kijijini alikuwa anafanya nae mapenzi hata Masai mawili na mbegu zake za kiume zilikuwa nzito kiasi kwamba anajuta kumuacha japo alikuwa masikini wa mali"

HIKI NI KISA KILICHOMTOKEA DADA FULANI NA ALIPOULIZWA SABABU YA KUACHIKA ILIKUWA NI HIO

Kuna maswali mengi Ambayo ya nawez kujitokeza kuhusu Mada hii na baadhi ya hayo maswali ni:

Ni kitu gani kinacho sababisha mbegu za kiume kuwa nyepesi k**a maji

Na k**a labda ni ugonjwa tufanye nini kujiepusha na tatizo hilo, Mbegu nyepesi zinaweza kutungisha mimba?

Sababu zipi zinazopelekea mwanaume Kufanya mapenzi kidogo tu anachoka kuna tofauti gani kati ya mwanaume wa kijijini na wa mjini k**a alivyotuhumiwa mdogo wangu

Tufanye nini wanaume Ili kuwa bora

Kuwa na mbegu nyepesi, kutokuw na uwezo Wa kutungisha mimba na kufika kileleni mapema ni Hali ambazo zinawakumba wanaume wengi sana sasa na unahitaji kupata msaada mapema kabla tatizo halijawa sugu

Kwa maelezo zaidi... Tuma neno FIT kwenda +255753222239 kwa watumiaji Wa whatsapp au piga simu kusaidiwa kwa uharaka zaidi

21/05/2022

. ..MBEGU ZA KIUME DHAIFU
Mbegu za kiume dhaifu au chache ;hizi ni mbegu ambazo huwa nyepesi na mara nyingi huwa na maji mengi na hazina uwezo wa kutungisha mimba

VISABABISHI VYA MBEGU
ZA KIUME DHAIFU AU CHACHE
-Aina ya chakula mfano ukosefu wa vyakula vyenye madini ya zink,selenium,vitqmin E,Folic acid,vitamin B12,Vitamin C, na vyakula mbali mbali ambavyo huondoa sumu mwilini.
-kujichua(punyeto)
-joto kupita kiasi(hyperthernia)
-mafadhaiko(stress)
-unywaji wa pombe
-viuaji vya sumu na hormones mfano pesticide

DALILI ZA MBEGU
ZA KIUME DHAIFU AU CHACHE
-Mbegu kuwa nyepesi
-zikiingia uken hazikai,dakka chache mwanamke anaqnza kuhisi mbegu kutoka kwa mtindo wa kuchuruzika k**a maji
-mwanamke hashiki mimba haraka
-hazina uwezo wakuogelea uken hufia njian
-hutoka chache na nyepesi k**a maji
-huwq nq rangi yeupee

UTAZIJUAJE MBEGU ZA KIUME
ZILIZO BORA
-Hutoka nyingi
-uzito wa mbegu na kuchelewa kuyeyuka
-hutungisha mimba kwa haraka zaid
-zinauwezo wa kuogerea kwa haraka
-huwa na rangi ya gray k**a maziwa

JINSI YA KUONGEZA MBEGU WINGI WA MBEGU ZA KIUME
-kula vyakula borq mfano vyakula vyenye zinc,vitamin C,vitamin E,Vitamin B12
-Acha kutumia vinywaji na vyqkula vyenye kqfein
-tumia kitungu swqumu nq tqngqwizi
-kula ndizi;zina vitamin B1,Maginesium,na Vitamin C
-kula mbegu za mqboga ;zina kqlsiamu,potasiam na phosphorous
-kula zaidi mboga za majani ;kufanya hormone ya testestelone ipatikane kwa wingi
-kunywq maji mengi kila siku
-kula mayai ya kienyeji; kufanya mbegu ziwe zina afya
-kula sqmaki asali na maziwa

TAHADHALI
-Jiepushe na ulaji wa vyakula vya wanga na sukari nyingi
-Achq kabisa unywaji wa pombe
-punguza matumizi yq sodq
-jiepushe na ulaji wa keki au vyqkulq vyq kwenye mqkopo
-jiupe na uchuaji na upigaji nyeto

mwanamke kutoshika mimba si tatzo lako wenda mwanaume wako hqnauwezo wa kukutngsha mimba

Kwa ushauri na tiba tuma text katka page yangu ya YOUR HEALTH MATTERS Au tuma neno FIT Kwenda whatsApp +255753222239 . asantee na karibu sanaaa

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.👉Uume kusimama...
20/05/2022

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,

Tuma ujumbe neno FIT kwenda whatsapp namba +255 753 222 239 au piga simu usaidiwe mapema

19/05/2022

Address

Mapumulo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share