Tiba yamu Africa

Tiba yamu Africa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba yamu Africa, Pharmacy / Drugstore, Bujumbura.

MWENYEZI MUNGU KATUWEKEYA PHARMACIE YA MIMEEYA KATIKA BAARA LA AFRICA SISI WENYEWE TUNAISHI NA KILA DAWA, WA AFRICA TUIJUE TIBA YETU NA TUITUMIYE MIMEEYA KWA JILI YAKUWEZA KUJISAIDIA NA MWENYEZI MUNGU ATATUSAIDIA

11/02/2022

TUMIA MAFUTA ASILIA YA MMEA YA HIBISCUS KWA KUBORESHA NGOZI YAKO BILA KUA NA MADHARA YOYOTE

11/02/2022

MAMBO 5 YAKU ZINGATIYA KABLA YA MATUMIZI YA TANGAWIZI TUMIA MMEA YA TANGAWIZI KWA KUZINGATIA NA UJUE FAIDA ZAKE KWENYE MWILI WAKO

28/01/2022

FAIDA 18 ZA MMEA YA HIBISCUS NA DOCTER DJAFAR KASSIM

28/01/2022

SIKILIZA IZI FAIDA 17 YA MMEA YA HIBISCUS KWA KUNYWA FAIDA IZI ZISIKUPITE MAANA NA TIBA TOSHA KWAKO

28/01/2022

HIBISCUS N MMEA INAYO FAIDI NYINGI SANA KWA WATU WENE MABAKA NA CHUNUKU BASI IYI NDO TIBA YAKE TUMIA HIBISCUS UTAON MAAJABU

11/01/2022
30/12/2021

FENUGREEK NI MMEA MZURI AMBAO WATU WENGI AWAFAAM UMUHIMU WAKE LEO DOCTER DJAFAR KASSIM ANATOA MADA YA KUUSU FENUGREEK SIKIA KWA MAKINI

KUMBUKA KUFANYA PARTAGE NA S ABONE

22/12/2021

COCOMBRE INAFAIDA NYINGI KWANGI INDAPO TUTAHIANDA KWA MAANDALIZI BORA NA HULETA MUONEKANO MZURI KWENYE MWILI NA KUTIBU MAMBO MENGI ZAIDI

KUMBUKA KU PARTAGE NA KUFANYA S ABONNER

20/12/2021

FAIDA KUMI NA MOJA ZA KITUNGU SWAUMU KWAKULA NA DOCTER DJAFAR KASSIM KWENYE TIBA YAMU AFRICA

20/12/2021

HIZI HAPA NJIYA 4 ZA MATUMIZI YA CARROTE KWA KUTIBU KIWILI WILI FATILIA VIDEO HIYI KWA MAKINI NA UWEZI KUJUA MARAZI MENGI TUNAYO WEZA KUJIPONYA WENYEWE ILA ATUJUI NINI TUFANYE LEO DOCTER DJAFAR KASSIM ANAFAFANUA MATUMIZI YA CARROTE KWAKUTIBU KIWILI WILI

K**A UMEPENDA IYI VIDEO FINYA KWENYE S ABONNER NA PARTAGE ILI WAMGIN WAWEZE KUPATA TIBA ASILIA

20/12/2021

COCOMBRE INAFAIDA NYINGI KWANGI INDAPO TUTAHIANDA KWA MAANDALIZI BORA NA HULETA MUONEKANO MZURI KWENYE MWILI NA KUTIBU MAMBO MENGI ZAIDI

KUMBUKA KU PARTAGE NA KUFANYA S ABONNER

20/12/2021

FAIDA ZINAZO PATIKANA KWENYE MMEA YA COCOMBRE SIJUE FAIDA KUMI ZINAZO PATIKANA KWENYE MMEA YA COCOMBRE ZIPO FAIDA NYINGI NA ZAKUBORESHA NGUVU MWILINI MWETU NA KWENYE KIWI WILI

KUMBUKA KUFANYA S ABONNES NA PARTAGE

17/11/2021

FAIDA YA KITUNGU SWAUMU KWAKU KUZA NYWELE
KILA MWANAMKE ANAITAJI MAPAMBO YA NYWELE ILI KUVUTIA WATU WENGI VIDEO IYI ITAKUFANYA UWE NA NYWELE NYINGI ZAIDI SIKILIZA KWA MAKINI

13/11/2021

jilinde aya masharti kwa nguvu za kiume tattoo la nguvu za kiume imekua tatizo kwa vijana na wazee

09/11/2021

FAIDA ZA KITUNGU SWAUMU KWA KUTIBU NGUVU ZA KIUME NA DOCTER DJAFAR KASSIM IJUE FAIDA YA KUTUNGU SWAUM KWAKUONDOA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME

15/10/2021

KUNA FAIDA NYINGI SANA ZINAPATIKANA KATIKA POMME(APPLE) KUNA ZAIDI YA FAIDA K**A KUMI SIKILIZA MWENYEWE UJUE UKUU WA MU AFRICA NA TIBA YAKE

07/10/2021

KITU MAJI NI TIBA TOSHA YA KUTIBU ESTOMAT WA AFRICA WOTE INATAKIWA TUIJUE TIBA YA ESTOMAT UNAWEZ KUITIBU MWENYEWE

Address

Bujumbura

Telephone

+25775632603

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba yamu Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba yamu Africa:

Share