
27/03/2024
Je ! Ni vizuri kutumia ngono kabla ya ndoa ?
Wasichana wengi ukubali kutumia ngono kabla ya ndoa wakijidanganya kuwa kumpenda mume ao muke ni kufanya ngono kabla ya ndoa !
Mara nyingi tunapo tizama tamaduni, zamani watu walitumia taratibu ifatao
- Michezo ya mwili
- Kuvua nguo mbele ya muke oa mume
- Kutembelea chumbani mwa mchumba wako
- Kutizama picha za ngono
- Kushikana mahali zahifu
- Maneno yenye ushaushi wa ngono
Lakini leo vijana utumia kuwa njia raisi ya kudanganyana kingono !!