Nathaniel Kenny

Nathaniel Kenny Healthcare

TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO
Kutibu maradhi Tofauti Ambayo yanatibika POPOTE ulipo

~~Unapata maumivu ya mgongo na kiuno. Kuna watu wanateseka sana na shida za mifupa na viungo, usikae kimya suluhisho lip...
30/08/2023

~~Unapata maumivu ya mgongo na kiuno. Kuna watu wanateseka sana na shida za mifupa na viungo, usikae kimya suluhisho lipo,Tuna tiba asili kabisa na maalumu kwa ajili ya kuondoa maumivu ya viungo na mifupa, kuzuia kulika kwa mifupa na viungo.

Kazi za virutubisho vya mifupa na viungo.
1.Huongeza ute ute kwenye maungio.
2.Huondoa changamoto ya Arthritis.
3.Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya.
4.Huondoa maumivu ya magoti, nyonga na mgongo.
5.Husaidia mifupa kuwa imara pamoja na vidonda kupona haraka.
6.Huongeza Glucose Amine na Chrondroitin kwenye maungio.

Virutubisho hivi ni vizuri kwa wenye umri mkubwa na wenye matatizo ya Mifupa na viungo, Kwa wale wanaofanya mazoezi ya viungo hii tiba inawafaa sana kuwasaidia viungo kukaa sawa na kutopata matatizo yoyote..
Wasiliana nasi kwenda..
_0653238655 /0692323567

DALILI ZA MIMBA CHANGA.1.Kutoona siku zako au Hedhi yako kwa Mjamzito.2.Kupata kichefu chefu na kutapika kwa Mjamzito.3....
30/08/2023

DALILI ZA MIMBA CHANGA.

1.Kutoona siku zako au Hedhi yako kwa Mjamzito.
2.Kupata kichefu chefu na kutapika kwa Mjamzito.
3.Kuchoka Sana Mara kwa Mara kwa Mjamzito.
4.Kutokwa na Damu k**a Matone kwa Mjamzito .
5.Kulala Mara kwa Mara kwa Mjamzito
6.Kutokwa na Ute mwingi Ukeni kwa Mjamzito.
7.Matiti/Maziwa kuuma kwa Mjamzito.
8.Kubadilika kwa Harufu kwa Mjamzito.
9.Chuchu Kubadilika Rangi na kuwa nyeusi kwa Mjamzito.
10.Matiti kuwa makubwa zaidi na kuongezeka 11.Uzito kwa Mjamzito.
12.Maumivu ya Tumbo ya kubana na kuachia kwa Mjamzito.
13.Maumivu ya Kiunoni kwa Mjamzito.
14.Maumuzi ya Mgongoni karibia na kiunoni kwa Mjamzito.
15.Mapigo ya Moyo kwenda mbio ktk kipindi cha Ujauzito.
16.Kujaa Mate Mdomoni mwa Mjamzito.
17.Mdomo kuwa Mchungu kwa Mjamzito.
18.Mjamzito kula Udongo.
19.Tumbo la Mjamzito kujaa Gesi.
20.Kupunguza hamu ya kufanya Tendo la Ndoa ktk kipindi cha Ujauzito.
21.Kukojoa Mara kwa Mara katika kipindi cha Ujauzito.
22.Kupata kiungulia ktk kipindi cha Ujauzito.
23.Mjamzito kuwa na 24.Chunusi Usoni.
25.Mjamzito kuwa Mstari Tumboni ambao unatoka sehemu ya chini ya kifuani mpaka kwenye sehemu ya chini ya Kitovu karibia na mfupa wa Kinena.
26.Tumbo la Mjamzito kuwa na Michirizi ktk kipindi cha Ujauzito.
27.Mjamzito kutokwa na Damu Puani au kwenye Fizi/Meno katika kipindi fulani Cha Ujauzito.
Baadhi ya Wajawazito hupata Bawasiri au vinyama vinavyokuwepo kwenye njia ya haja kubwa.
28.Mjamzito Kupata maumivu ya Kichwa.
29.Mjamzito kukosa Usingizi.
Kubadilika kwa mhemuko au Mudi.
30.Tumbo kuwa kubwa na kuongezeka katika kipindi cha Ujauzito Kutokana na ukuaji wa Mtoto Tumboni na nk.

HEALTH SOLUTION... 0692323567 /0653238655

*JE UMECHOKA KUTESEKA NA CHANGAMOTO ZA UKENI NA UNAHITAJI MSAADA WA HARAKA ?* 👉 *UTI sugu isiyoisha*   👉 *maumivu wakati...
11/06/2023

*JE UMECHOKA KUTESEKA NA CHANGAMOTO ZA UKENI NA UNAHITAJI MSAADA WA HARAKA ?*
👉 *UTI sugu isiyoisha*
👉 *maumivu wakati wa tendo la ndoa*
👉 *Fangasi sugu maeneo ya Siri*
👉 *Miwasho ukeni isiyoisha*
👉 *Harufu mbaya ukeni*
👉 *Uchafu usio wa kawaida unatoka ukeni*
👉 *mirija ya uzazi imeziba*
👉 *Hupati mimba kabisa*
👉 *Ukipata mimba zinatoka*
👉 *Unachangamoto ya ukavu ukeni*
👉 *PID inakusumbua kwa muda mrefu.*

*YOTE HAYA NA MENGINE MENGI YANATATURIKA KWA MUDA MFUPI SANA WASILIANA NAMI KUMALIZA CHANGAMOTO YAKO*

JE, UNAJUA NINI KINACHOSABABISHA SEHEMU YA UKE KUWA NA UVIMBE? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE? Na ieleweke kwamba, tezi...
11/06/2023

JE, UNAJUA NINI KINACHOSABABISHA SEHEMU YA UKE KUWA NA UVIMBE? JE, NINI DALILI NA MADHARA YAKE?

Na ieleweke kwamba, tezi za Bartholin huwa ziko kila upande katika sehemu ya uwazi wa uke. Tezi hizi huwa zina kazi ya kutengeneza uteute ambao husaidia kulainisha uke.
Wakati mwingine sehemu za uwazi zinazokuwa kwenye tezi hizi huziba, na kusababisha uteute au majimaji kukusanyikana kwenye tezi. Matokeo yake utaona uvimbe usiokuwa na maumivu ambao kitaalamu unaitwa, “Bartholin’cyst”. K**a uteute au majimaji yanayokuwa kwenye uvimbe huo yatakuwa na maambukizi, basi kutazidi kukusanyikana tena usaha unaokuwa umezungukwa na tishu zilizovimba.


NUKUU: Hali ya mkusanyiko wa usaha huwa ni ya kawaida. Lakini matibabu ya tatizo hili hutegemeana na ukubwa wa uvimbe wenyewe, jinsi uvimbe unavyokuwa na maumivu na endapo k**a uvimbe una maambukizi.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?


Ikiwa k**a utakuwa na uvimbe mdogo juu ya tatizo hili, unaweza ukashindwa kuutambua vizuri. Lakini k**a uvimbe utazidi kuwa mkubwa, utaanza kuhisi kitu k**a bonge fulani karibu na mlango wa uke. Ingawa uvimbe mara nyingi huwa hauna maumivu, basi unaweza ukawa mgumu. Madhara k**a rangi ya kahawia hivi kwenye uvimbe yanaweza kujitokeza kwa siku kadhaa. K**a uvimbe utakuwa na maambukizi, basi utaanza kuona dalili zifuatazo:


Bonge sehemu za uwazi wa uke gumu lenye maumivu


Kutojisikia raha hasa wakati unapokuwa unatembea au wakati unakaa



Kuhisi maumivu makali wakati unapofanya tendo la ndoa

Kuhisi homa


NUKUU: Uvimbe huu sehemu ya uke mara nyingi hujitokeza sehemu moja tu ya mlango wa uke. Uonapo hali k**a hii tafadhali napenda kukushauri ufike hospitali mapema ili kuweza kupata vipimo.

Je, Uvimbe Huu Husababishwa Na Nini?


Inaonekana kwamba, wataalamu wanaamini kuwa chanzo cha uvimbe huu huwa ni mkusanyiko wa uteute au majimaji kwenye tezi ya Bartholin. Uteute unaweza kukusanyika wakati njia ya uwazi ya tezi inapoziba kutokana na maambukizi au ajali.
Uvimbe huu unaweza ukaathirika na ukajaa usaha. Baadhi ya bakteria wanaweza kusababisha maambukizi, hasa Escherichia coli(E.coli), pamoja na bakteria ambao husababisha maambukizi ya zinaa k**a vile kisonono(Gonorrhea) pamoja na pangusa(Chlamydia).

NUKUU: Uvimbe huu au mkusanyiko wa usaha unaweza ukajirudia tena na utahitaji matibabu. Yafaa sana mwanamke kufanya usafi sehemu zake za uke, au kutumia kondom wakati anapokutana na mpenzi wake ili kuzuia maambukizi ya bakteria wabaya.

30/05/2023

Janga la Bawasiri linatesa sana Ilaa linatibika Ndugu Amua Sasa Uweze kusuluhisha Changamoto hiii

Tupigie kwa Namba 0692323567 Kwa Maswali au maelezo zaidi

30/05/2023

Karibu Tuweze kusuluhisha Tatizo lako la Bawasiri * Ugonjwa HUU ni hatar k**a hutapata Tiba Mapema

30/05/2023

DR. TS_TIBA KAMILI YA MARADHI YOTE YA KINYWA.FAIDA ZA ZIADA ZA BIDHAA HII;>Huweka uwiano mzuri wa bakteria kinywani.>Inazuia fangasi ya kinywa.>Inazuia meno kutibika kwa kuondoa sukari na wadudu wanaoshambulia meno.>Inang'arisha meno yaliyofubaa.>Inazuia fizi kuvimba.MATUMIZI✓Pakaa kiasi kidogo katika mswaki kisha weka mdomoni ikae kwa dakika 5-10 ndipo ubrashi meno yako.Tema povu na safisha mdomo pasipo kusukutua.Ni asili, Haina kemikali na hutoa matokeo bora kwa haraka sana.

30/05/2023

U. T. I ni harari ILA Inatibika Amua Sasa 0653238655 Kwa Mawasiliano zaidi

30/05/2023

Karibu Tukuhudumie Kabla Tatizo halijawa Kubwa P. I. D inatibika

0653238655 Kwa Mawasiliano zaidi

*TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)*Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu we...
21/05/2023

*TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)*

Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote.

NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

1: UMRI MKUBWA
Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali k**a miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea.

2: KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambayo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana k**a miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi.

3: DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia

*TIBA YA GANZI*

▶️ MICRO2CYCLE

• Hii ni tibalishe asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara.

• Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili.

• Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi.

• Huuhisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita vizuri.

▶️ ZAMINOCAL

• Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi k**a ikitumika pamoja na Micro2cycle.

• Huimarisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupenya kiurahisi.

• Huondoa maumivu yote na hali ya ganzi kutoweka kabisa.

Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi amb...
21/05/2023

Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.

NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.

Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets

Andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu

Ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe

Weka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.

FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.

Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)

Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"

Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo

Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni

Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa

Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)

Husaidia kurahisisha choo (laxative)

Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo

Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda

Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

Tumia Ukwaju boresha afya yako

04/05/2022

WAHI kabla hujapata madhara makubwa📃📃📃🧨🧨🧨🧨

Adresse

Democratic Republic Of The

Téléphone

+255692323567

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Nathaniel Kenny publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager