13/11/2025
Umeshikwa off-guard? Usipanic!
Pia hapa Gilgil Annex Hospital tunakufunza kuhusu Emergency Contraceptive options za kuzuia ball:
πΈ P2 (Levonorgestrel) β Maximum effect ikimezwa within 12hrs. Obese? Chukua double dose!
πΈ Ulipristal β Inaweza kosa kufanya kazi vizuri k**a ulikuwa already on hormonal pills.
πΈ Coil (Copper IUD) β Most effective! Incase unaharibikiwa na dawa, Inawekwa ndani ya 5 days na inaweza kudumu hadi 10 years.
Usingoje hadi kuchelewe. Jichunge. Jiokoe.
Tembelea Gilgil Annex Hospital leo!