
23/03/2024
*Je, wajua wakati wa dayalisisi, damu hutolewa mwilini kupitia mrija mwekundu, hupitishwa kupitia mashine ya dayalisisi, kisha kurudishwa kwenye mfumo wa mwili kupitia mirija ya bluu. Utaratibu huu unarudiwa kwa saa nne wakati mgonjwa anabakia kitandani. .utaratibu unafanywa mara tatu kwa wiki, ambayo ni *mara kumi na mbili kwa mwezi, na kila wakati inachukua saa nne, ambayo ni jumla ya saa arobaini na nane kwa mwezi. * Kwa mtu mwenye afya, mchakato huu *wa kusafisha figo zako, hutokea moja kwa moja, mara 36 kila siku bila jitihada au usumbufu. .*Ikiwa unasoma haya, acha pombe, epuka vyakula vya kusindikwa, acha matumizi yasiyo ya lazima ya sukari na muhimu zaidi tumia Virutubisho vya FOHOW. .hizi ni chaguo nafuu zaidi za kuweka figo na ini, safi na zenye afya… Daima shukuru kwa afya njema, uliyopewa bure na Mungu”*❤️.. *SAN BAO ORAL LIQUID na FOHOW ENERGY (HYDROGEN) CUP ni bidhaa muhimu za kuzuia na pia kusisimua figo iliofeli kwa kuipa nguvu na kufufua seli mpya. SAY NO TO DIALYSIS with Fohow health products.