Afya Muhimu Online Tv.

Afya Muhimu Online Tv. Your Health Your Priority Community diagnosis. (utambuzi wa jamii)
Community sensitzation. (uhamasishaji wa jamii)
Team work. (ushirikiano.) Social support .
(1)

Built to enable the community receive health information they do miss or may not be aware of, or due to lack of whoever could be there at their need, health nutrition, lifestyle disease prevention,and any relevant health issues. (kazi ya timu/ushirikiano)
Partnership. (msaada wa kijamii)
FREE CONSULTATION (USHAURI)

09/10/2022

Umeamka? Sema asante Mungu
Maisha haya hayatabiriki kila nukta na jambo lake jinsi lilivyopangwa.

08/10/2022

Hi everyone! 🌟 You can support me by sending Stars – they help me earn money to keep making content that you love.

Whenever you see the Stars icon, you can send me Stars.

08/10/2022

USIHUZUNIKE TABASAMU NA MAISHA.
Unahuzunika kwa sababu:-
1.Umekosa kutimiza lengo au ndoto yako
2.Kwa kukosa kazi.
3.Kwa kukosa familia.
4.Kwa kukosa kuwafurahisha wenzako.
5.kwa kudharauliwa
6.kwa kukosa gari na majumba makubwa.

Furahia Afya Muhimu Online Tv. Tabasamu 😊
Cheka ila usipite kiwango
Afya na maisha bure Mungu katupa.
Oxygen ya bure twapumua.
Popote utakapo unafika kwa miguu bila nauli.
Usingizini,yuwakuamsha furaha ilioyoje.

Siku njema kwenu nyote.
Tafadhali share na mwenzako leo.

07/10/2022
07/10/2022

Heri ukimwi kuliko?

07/10/2022

Mbona wanawake ndio wako na stretch marks kwa wingi?
Answer and know why today!!!

07/10/2022

Everything will be well.trust God.
Blessed 🙌 day

06/10/2022

Chemist na pharmacy ni wapi unaweza endea dawa?
Najua umechanganyikiwa 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 wacha tuone

06/10/2022

Je unadhani mwanamume anaweza tumia family planning iliyotengenezewa wanawake?

05/10/2022

Have you ever known that sleeping naked helps both female and males growing Pimple 🤔 like growths at their a**l and private parts.

🙏  I need your "YES HE ALWAYS DOES" If you believe that with God and life are free of charge.
05/10/2022

🙏 I need your "YES HE ALWAYS DOES" If you believe that with God and life are free of charge.

05/10/2022

Ngozi yako unaidhamini?
Inbox

05/10/2022

Safari sio maisha bali maisha ni safari 😊

05/10/2022

Ombi letu kwenu wafuasi wetu.Mungu awape maisha mema.

Amongst  the nails 💅 short or long?Ni ipi hora kwa afya yako?Afya Muhimu Online Tv. Nasoro Ramadhan
05/10/2022

Amongst the nails 💅 short or long?
Ni ipi hora kwa afya yako?
Afya Muhimu Online Tv. Nasoro Ramadhan

Address

105
Kakamega
50100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Muhimu Online Tv. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Muhimu Online Tv.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram