Taisiiru Herbal Clinic THC

Taisiiru Herbal Clinic THC Taisiiru herbal clinic THC deals with medical and other social issues biological and non biological.

16/08/2025

TIBA YA TEZI DUME
Chukua majani ya mstafeli kilo moja tengeneza juisi katika maji lita nne kunywa kikombe cha chai kutwa mara tatu nusu saa kabla ya kula mpaka iishe, rudia kwa muda wa mwezi au miwili. Pia ni tiba ya kisukari

BISMILLAHI RAHMAN RAHIIMTaisiiru Online Madrasa(beginners) classes We are glad to invite you to our online madrasa class...
22/12/2024

BISMILLAHI RAHMAN RAHIIM
Taisiiru Online Madrasa(beginners) classes
We are glad to invite you to our online madrasa classes.
We undertake four main subjects:-
1. Quran
2. Arabic language
3. Hadith
4. Fiqhi
Registration underway
Registration fee KSH 500/-
Fees 2000/- monthly
Join now for your Religious education,send your number and the registration fee to 0721 148793 we add you to our Whatsapp group.
Education is light.

19/12/2024

BISMILLAHI RAHMAN RAHIIM
Baadhi ya tiba ya Habbat soda(black seeds)
1.Kukosa usingizi Habbat soda ya unga kijiko kimoja changanya na maziwa glasi moja kunywa kabla kulala kwa siku 5
2.Chunusi,madoa doa usoni mafuta ya Zaituni tia Habbat soda ya unga kiasi pakaa wakati wa kulala asubuhi osha na maji ya uvuguuvugu siku 7-14
3.Nguvu za kiume Juisi ya tende glasi moja tia kijiko kimoja Habbat soda ya unga kunywa kutwa mara 2 kwa siku 7.
WabiLLAHI Taufiq.

Send a message to learn more

25/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!As THC we are always ready to serve and help you and all spiritual and medical Duller Ngareeh, Mankila Mudizow, Derney El

02/09/2023

Dear Taisiiru Herbal Clinic THC,
We are thrilled to inform you that your distinguished medical & health business has been successfully added to FindHealthClinics – a trusted online directory for institutions, clinics, practitioners and businesses in the healthcare and wellness sectors. Congratulations on being part of our esteemed community!

BISMILLAHI RAHMAN RAHIIM Utukufu na siri za Bismillah Rahmani Rahiim kwa ufupi:-Mwanzo: Ndio aya ya kwanza katika msahaf...
10/06/2023

BISMILLAHI RAHMAN RAHIIM
Utukufu na siri za Bismillah Rahmani Rahiim kwa ufupi:
-Mwanzo: Ndio aya ya kwanza katika msahafu mtukufu
-mwenye kuisoma mara 40 baada ya swala asubuhi Allah Humtengenezea siku yake kwa baraka na hifadhi
-ukisomea chakula kitamu mara 99 kisha ule na umpendaye mapenzi ya halali hunoga na masikizano pia Barka na utulivu nyumba hiyo
-Ikisomwa mara 336 pamoja sura nyenginezo maalum na dawa zake pamoja na jani la mpapai lililoanguka lenyewe na vifaa vyake Allah Hutoa kinga imara ya nyumba dhidi ya wachawi mashetani,pia wezi , majambazi na wabaya wote Biidhinillahi.

بسم الله الرحمن الرحيمMtu kuwa na wasiwasi, kutojiamini, baridi yabisi,kujiona mnyonge mbele za watu na kufadhaika bila ...
11/04/2023

بسم الله الرحمن الرحيم
Mtu kuwa na wasiwasi, kutojiamini, baridi yabisi,kujiona mnyonge mbele za watu na kufadhaika bila sababu husababishwa na husda, uchawi au mashetani ! Dawa hizi pamoja na visomo vyake mujarab huondoa matatizo hayo biidhin llahi.

بسم الله الرحمن الرحيمNuksi,mabalaa,mikosi kazini na biasharani,kuchukiwa bure pia mwanamke kuchelewa kuposwa na kuolewa...
11/08/2022

بسم الله الرحمن الرحيم
Nuksi,mabalaa,mikosi kazini na biasharani,kuchukiwa bure pia mwanamke kuchelewa kuposwa na kuolewa na mengineyo...tumia dawa hizi za kuoga,kunywa na kufukiza baada ya visomo vyake mujarrab biidhinllahi ALLAH Atakufungua.

بسم الله الرحمن الرحيمDawa ya kuuwa uchawi na kufukuza mashetani mwiliniAssalam alaikum, ndoto za kula nyama au chakula ...
03/05/2022

بسم الله الرحمن الرحيم
Dawa ya kuuwa uchawi na kufukuza mashetani mwilini
Assalam alaikum, ndoto za kula nyama au chakula unalishwa uchawi(tainah)... mchanganyiko wa dawa hizi 11 za kisunna kwa siri za ALLAH katika miti zinazotokana nayo pamoja na visomo vyake ni kiboko ya kuuwa uchawi na kufukuza mashetani mwilini.

بسم الله الرحمن الرحيمAssalam alaikum, Eid mubarak,tuwe miongoni mwa mwenye kufaulu, tuwe mwenye kusherehekea Eid miaka ...
02/05/2022

بسم الله الرحمن الرحيم
Assalam alaikum, Eid mubarak,tuwe miongoni mwa mwenye kufaulu, tuwe mwenye kusherehekea Eid miaka baada miaka,Allah Ayakubali matendo yetu mema,kila mwaka nyinyi na sisi tuwe katika kheri.

Address

Kwale

Telephone

+254721148793

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Taisiiru Herbal Clinic THC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Taisiiru Herbal Clinic THC:

Share