Tiba Wellness Centre

Tiba Wellness Centre Tufahamu jua Afya yako Ni miongoni mwa Neema waeza jivunia na kuipa kipao mbele katika mambo yako.

Hata unapo jiona umzima inakuhitaji kuiboresha afya yako pamoja na kujipatia kinga ya kutosha.

26/11/2022

KATIKA AFYA

Faida za kuoga au kuoga na maji baridi

1-Kuboresha afya yako ya mwili

2-Faida za kisaikolojia

3-Boresha mhemko wako

4-Kuongeza nishati na kupona haraka

5-Matibabu ya uchochezi

6-kuvumiliana kwa mafadhaiko

Mwendo wa 7-lymphatic

8-toa sumu mwilini mwako

9-Kuboresha usingizi

10-Muonekano bora wa ngozi na nywele

11-Ongeza kwa testosterone na uzazi

12-Kuboresha kupumua

13-Ongeza kiwango cha metaboli

14-Boresha utashi wako

15-Wanaweza kuboresha kujistahi kwako

09/08/2021

Kwa Wana Ndoa.
TWC X POWER

"Linda Ndoa Yako"
Dawa ya asili. Mchanganyiko wa miti na nafaka. Viungo 7 vimetumika kutengeneza hii dawa. isio na kemikali Aina yeyote. Dawa ilio na uwezo mkubwa wa kuongeza au kurudisha nguvu za kiume. Inauwezo wa kusafisha mirija ya sehemu nyeti, Kuondoa homa ya mafua, kuongeza Kinga ya mwili na kuondoa maumivu.

Dozi ya siku 7 Ni Ksh 1,000/=
Dozi ya Siku 14 Ni Ksh 2,000/=
Dozi ya siku 21 Ni Ksh 2,5000=

Piga simu kuagiza dawa yako. 0718070546

TWC X POWER"Linda Ndoa Yako"Dawa ya asili. Mchanganyiko wa miti na nafaka. Viungo 7 vimetumika kutengeneza hii dawa. isi...
09/08/2021

TWC X POWER

"Linda Ndoa Yako"
Dawa ya asili. Mchanganyiko wa miti na nafaka. Viungo 7 vimetumika kutengeneza hii dawa. isio na kemikali Aina yeyote. Dawa ilio na uwezo mkubwa wa kuongeza au kurudisha nguvu za kiume. Inauwezo wa kusafisha mirija ya sehemu nyeti, Kuondoa homa ya mafua, kuongeza Kinga ya mwili na kuondoa maumivu.

Dozi ya siku 7 Ni Ksh 1,000/=
Dozi ya Siku 14 Ni Ksh 2,000/=
Dozi ya siku 21 Ni Ksh 2,5000=

Piga simu kuagiza dawa yako. Msambweni:0718070546 Ukunda:0790027227

12/06/2021

*IMARISHA NDOA YAKO*
*HATAKAMA UMEATHIRIKA KWA MA********ON (PUNYETO), NJOO TIBA WELLNESS CENTRE KWA HIJAMA(CUPPING THERAPY) TREATMENT NA UPATE SULUHISHO LA HAKIKA INSHALLAH. Ruqya ya halali ipo pia. Maana pia Kuna watu hisema wanafanya Ruqya Ila wanaongeza na shirk. Call 0790027227.

13/05/2021

Tiba Wellness Centre inawatakieni Eid Njema. Mola awabariki na kuwahifadhi. Awalipe kwa funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Tiba Wellness Centre niya kutegemewa na jamii katika afya bora. Epuka gharama kubwa za matibabu ya kila wakati. Pata uzi...
29/04/2021

Tiba Wellness Centre niya kutegemewa na jamii katika afya bora. Epuka gharama kubwa za matibabu ya kila wakati. Pata uzima wa kudumu bila madhara ya kando. Hakuna dawa yoyote tutakupa ya kunywa. Pata uzimanwako Leo. Piga simu kwa 0790027227 ufanye booking ya nafasi yako.

*Tiba wellness centre.* Tunawakumbusha, ili kupata matibabu bora na kwa wakati mzuri tufanye booking mapema kabla ya sik...
23/04/2021

*Tiba wellness centre.* Tunawakumbusha, ili kupata matibabu bora na kwa wakati mzuri tufanye booking mapema kabla ya siku na wakati wa matibabu. Ili utengewe wakati wako maalum wa matibabu. Na tuepukane na msongamano pamoja na kusubiri kutibiwa kwa mda mrefu katika kituo.

Kufanya booking, katoka kwa ada yako ya matibabu, utatuma 300/=, kwa paybill no. 247247 na account no. utaweka 272277.

Kisha utatuma ujumbe wa message kwa 0790027227 kutuambia mapendekezo ya siku unayotaka kutibiwa pamoja na message ya MPESA uliolipia.

Tutakupigia na kukutaarifu mda wako wa kufika kituoni na maelezo juu ya maandalizi.

Tupigie simu kwa 0790027227 kwa maelezo zaidi.
Shukran.

Ukumbusho. Tuzingatieni ya kwamba. Tunapokua na mazoea ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu kila wakati mwilini, hatut...
21/04/2021

Ukumbusho. Tuzingatieni ya kwamba. Tunapokua na mazoea ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu kila wakati mwilini, hatutibu magonjwa Bali tunazidisha na kuhatarisha afya zetu. Tiba Wellness Centre tunakupatia mwangaza wa afya kikamilifu na kwa unafuu. Wasiliana nasi kwa 0790027227 au tutembelee katika kituo chetu kwa mahitaji yoyote ya matibabu.

Welcome All to Tiba Wellness Centre
17/04/2021

Welcome All to Tiba Wellness Centre

Je unafahamu kua Hijama ndio tiba Bora zaidi katika maisha ya mwanadamu? Tiba inayoponya maradhi mengi? Tiba ilio ya mit...
07/04/2021

Je unafahamu kua Hijama ndio tiba Bora zaidi katika maisha ya mwanadamu? Tiba inayoponya maradhi mengi? Tiba ilio ya mitume? Tiba ilio na Kinga ya mwili dhidi ya maradhi hatari? Tiba Wellness Centre inakupatia njia ya kupata tiba kwa utahisi. Piga simu 0790027227. 0704998254

WELCOME TO TIBA WELLNESS CENTRE.
04/04/2021

WELCOME TO TIBA WELLNESS CENTRE.

Address

Ukunda
Kwale

Opening Hours

Monday 06:00 - 17:00
Tuesday 06:00 - 17:00
Wednesday 06:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Wellness Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share