Dinshaw Byramjee Dispensary

Dinshaw Byramjee Dispensary Dinshaw Byramjee Dispensary is a modern health facility located within Nairobi Central Business District (CBD).

Happy Jamhuri Day!
12/12/2021

Happy Jamhuri Day!

Je umepata chanjo ya Corona? Pata Chanjo ya Corona sasa katika zahanati yetu iliyo katika barabara ya Uyoma, karibu na R...
09/12/2021

Je umepata chanjo ya Corona?

Pata Chanjo ya Corona sasa katika zahanati yetu iliyo katika barabara ya Uyoma, karibu na RNG Plaza na Nyuma ya Bus Station kila Alhamisi kuanza 10:00 am – 3:00 pm.

Tafadhali jisajili hapa>https://portal.health.go.ke/ kisha upate chanjo, ukae chonjo!


Je, unamjua mtoto anayeishi na matatizo ya moyo?Tutakuwa tukiendesha Toleo la 7 la Kambi ya Healing Little Hearts kuanzi...
08/11/2021

Je, unamjua mtoto anayeishi na matatizo ya moyo?

Tutakuwa tukiendesha Toleo la 7 la Kambi ya Healing Little Hearts kuanzia tarehe 12-19 Novemba. Muungano wa M.P. Shah Hospital pamoja na Madaktari kutoka The Healing Little Hearts Charity, Uingereza. kwa kushirikiana na Jain Social Group.

Hifadhi nafasi yako kupitia 0723 768 681 au https://nairobi-mp-shah-hospital.oneapp.life/.../appointment.

Hatua zote za COVID-19 kuzingatiwa.

Je wajua? Ushauri wa daktari baada ya self examination ni muhimu katika  kuzuia breast cancer?Jitambue, click the link b...
21/10/2021

Je wajua? Ushauri wa daktari baada ya self examination ni muhimu katika kuzuia breast cancer?

Jitambue, click the link below to know your risk.
https://www.assessyourrisk.org/

SCAM ALERT:Tunahimiza wateja wetu wote wasifanye malipo ya huduma yoyote kwa nambari za simu za kibinafsi.Njia Zetu Rasm...
14/10/2021

SCAM ALERT:
Tunahimiza wateja wetu wote wasifanye malipo ya huduma yoyote kwa nambari za simu za kibinafsi.

Njia Zetu Rasmi za Mawasiliano:

CONTACT CENTRE LINES:
0728 900 800
0736 900 800
020 429 1000
0722 204 427
0733 606 113

WHATSAPP / TEXT:
0724 388 150

EMAIL:
info@mpshahhospital.org

Web Chat:
www.mpshahhosp.org

Facebook:
LinkedIn: M.P. Shah Hospital
Twitter:
Instagram:

08/10/2021

Ahsanti kwa kuchagua kuwa jamaa katika familia ya Dinshaw Byramjee Dispensary. Familia inayokujali.

Je wajua kusoma shinikizo la kawaida (normal blood pressure reading)?Usipuuze ujuzi wa kuelewa jinsi ya kusoma vipimo vy...
04/10/2021

Je wajua kusoma shinikizo la kawaida (normal blood pressure reading)?
Usipuuze ujuzi wa kuelewa jinsi ya kusoma vipimo vya shinikizo la damu. Muuguzi na daktari hukusaidia kuelewa na kufahamu jukumu lako katika safari ya matibabu.

Kua makini, chukua jukumu katika matibabu yako.


Ni njia zipi zaweza saidia kuzuia shinikizo la damu (high blood pressure)?Tatizo la shinikizo la damu laweza zuiwa kwa:...
01/10/2021

Ni njia zipi zaweza saidia kuzuia shinikizo la damu (high blood pressure)?

Tatizo la shinikizo la damu laweza zuiwa kwa:
 Kupunguza matumizi ya chumvi na mafuta mengi kwa chakula.
 Kula matunda na mboga kwa wingi
 Kufanya mazoezi mara kwa mara
 Kuepuka matumizi ya pombe na sigara.
Fuata ushauri wa daktari ili uishi mbali na hatari.


Shinikizo la damu lisilo dhibitiwa laweza sababisha shida kubwa ya afya k**a: Upungufu wa damu rohoni unaoweza sababish...
29/09/2021

Shinikizo la damu lisilo dhibitiwa laweza sababisha shida kubwa ya afya k**a:
 Upungufu wa damu rohoni unaoweza sababisha mshtuko wa moyo (heart attack)
 Kiharusi (stroke)
 Madhara kwenye figo (damage of kidneys)

Epuka madhara, angalia vipimo vya shinikizo la damu.


Address

Uyoma Street
Maragwa

Telephone

+254740500001

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dinshaw Byramjee Dispensary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dinshaw Byramjee Dispensary:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category