25/02/2026
HAPA MNASEMA AJE , COMMENTS IKOJE FUPI FUPI.
Ukitaka kujua mke ni mtu muhimu kwa maishå ya mwanaume,ngoja siku watu wako family gathering/meetịng na kila mtu amekaa karibu na mké wake😂😂
Utajua ukiwa 30+,ndevu bila mké ni ulemavû.
Wakati wanawake wanaserve mâbwana zao chakulâ utaskia "Ooooh tumesahau kuletá sahani ya Kasóngô,leta ile sahani ya Bosko/Simba(d0ggy)/ tumwoshee/leta hiyo kifuniko ya bakuli akulie"😂😂😂😂😂
Above 30+ bado unasema unaenjoy kumbé ni herp£s unatafuta,na mjue herpes hâina dawâ globally,inakata mrijä au pékus adi ianguke chini.
Kazi yako ni sherehé.Bro be wise,siku hizi watu hukufâ mapema life expectâncy is below 65..kama unaeza afford 2 meals in a day oa acha mchezo ya sherehe na kuharibü peså
Pesa yâ mjengo sio ya kufurahisha wasichaná/wanawakeAre we together Family?
Follow