16/05/2025
*β±οΈπ©ΈSHINIKIZO LA DAMUπ©Έβ±οΈ* (BLOOD PRESSURE)
Kabla ya kueleza *SHINIKIZO LA DAMU* ni nini, acha niwafahamishe kwamba Kila mwanaadamu anaepumua Ako na presha. Hakuna siku utapimwa uambiwe hauna presha, bali baada ya kupima unaambiwa. "ipo sawa, imepanda, au imeshuka, au imepanda zaidi au kushuka zaidi.
Matokeo ya presha inaonyesha namna moyo unavyopiga, na namna unavyosimama. mapigo ya moyo ya kawaida yanafaa kua _60-100 beats_ Kwa dakika, ama _0.8 beats_ Kwa sekunde. Ukipima presha hua inatokea namba mara mbili, ya juu na ya chini, ya juu unajulikana k**a *(SYS) systolic pressure* _(wakati moyo unapiga)_ ya chini *(DIA) diastolic pressure* _(wakati moyo umesimama.)_ Kwa hiyo kipimo Cha presha ni matokeo yanayoomyesha ni namna gani moyo wako unapiga na namna gani unasimama. *(ukipiga damu inatolewa kwenye moyo ukisimama inarudi.)*
Kwa kawaida Kuna kiwango maalum moyo unapaswa kupiga, na kiwango maalum KUSIMAMA, majibu yakiwa tofauti Kwa kiwango Cha idadi ya mapigo na kiwango Cha idadi ya KUSIMAMA kwake, yaani kuzidi au kupungua, ndio inamaanisha au kufahamisha presha yako haiko sawa. Kipimo Cha presha kina matokeo ya *Mm Hg, (millimeters of mercury)* ......
acha niache hapo ππ»ππ»ππ» _kulingana na maelezo wanasema au wanaeleza kua. *"mm hg ni matokeo yanayoomyesha SHINIKIZO lililotolewa na damu dhidi ya Kuta za mishipa"* _ila tutafute maana sahihi ya neno "pressure."_
lakini kulingana na maelezo nilioyatoa, nadhani mtakua mmefahamu kukubaliana nami kwamba. "(kipimo Cha presha ni kuonyesha namna moyo unavyopiga na unavyosimama, pamoja na *mtiririko au mzunguko* wa damu kwenye mishipa.
*PRESSURE*
*pressure* _Continuous physical force exerted on or against an object by something in contact with it._
*Blood pressure* katika maana ya neno _pressure_ tuchukue maneno mawili *(object na something)* tuzibadilishe kua damu na moyo au moyo na damu. (ni kuonyesha nguvu inayotumia moyo kusukuma damu), *"simply it's all about cir