19/05/2022
DAWA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS/MAYOMA).
JE UNASUMBULIWA NA UVIMBE KWENYE KIZAZI AU UNA NDUGU JAMAA AU RAFIKI MWENYE TATIZO HILI ?USIWAZE SANA, JIPATIE DAWA MUJARABU KWA UWEZO WA MOLA INAYOMALIZA UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASUAJI.
Fibroids , Ni uvimbe usiyokuwa na kansa unakua katika tabaka la misuli ya kizazi katika tissue zinazozunguka kizazi.Uvimbe unaanza kwa kukua kwa misuli laini k**a ukubwa wa harage kisha kuwa kubwa k**a tikitimaji.Kwa kawaida ukuaji wa uvimbe huanza katika umri wa miaka 16 hadi 50.Hii ndiyo miaka ya uzazi ambapo kiwango cha estrogen huwa juu .
KUNA AINA NNE (4) ZA (FIBROIDS).
Uainishaji wa aina za fibriods unategemea na sehemu ilipo katika Mji wa Kizazi .
1⃣. INTRAMURAL FIBROIDS;
Aina hiihutokea katika misuli ya kuta za kizazi Hii ndio aina ya mayoma inayowatokea wanawake wengi.
2⃣. SUBSEROSAL FIBROIDS;
Hukua ndani ya safu ya nje ya tishu ya kizazi na kupanua ukuta unaozunguka Mji wa kizazi.Uvimbe k**a huu Unaweza kukua zaidi na kua Pedunculated fobriods huenda ukawa uvimbe mkubwa sana.
3⃣. SUBMUCOSAL FIBROIDS;
Hutokea kwenye misuli chini ya ngozi laini ya kuta za mji wa uzazi.Inaweza kushinikiza (kujisukuma) ndani ya uwazi (cavity) wa mji wa uzazi.
CERVICAL FIBROIDS;
Aina hii hujijenga kwenye shingo ya Tumbo la kizazi (cervix).
DALILI ZA (FIBROIDS)
♦️Damu ya hedhi kutoka Nyingi , nzito, na maumivu wakati wa siku za hedhi (Menorrhagia).
♦️Upungufu wa damu kutokana na damu kutoka nyingi.
♦️Maumivu ya kiuno, mgongo au mguu .
♦️Kukosa choo au kupata choo k**a cha mbuzi kwa tabu
♦️Maumivu chini ya kitovu
♦️Kukojoa mara kwa mara
♦️Maumivu wakati wa tendo la ndoa (Dyspareunia )
♦️Matatizo ya kushika mimba , kubeba mimba na kuzaa
♦️Mimba kutoka mara kwa mara
♦️Kama fibroids ni kubwa sana ,Uzito unaweza kuongezeka na chini ya kitovu kuvimba .
Upatapo mojawapo ya dalili hizo fika kituo cha afya kwa vipimo zaidi.
kwa mahitaji ya dawa ya uhakika ya fibroids wasilian nasi +254721836774 DR ISMAIL .