DR ballkuss surtan kaimu

DR ballkuss surtan kaimu Mtibabu kutoka mombasa wa tiba za jaddi zilizo bobea

24/02/2026
ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU 💆‍♂((MAGONJWA SUGU YA NYONGA))💆‍♂  💆‍♂((Chronic pelvic diseases))💆‍♂👉🥨ni magonj...
03/02/2026

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU

💆‍♂((MAGONJWA SUGU YA NYONGA))💆‍♂

💆‍♂((Chronic pelvic diseases))💆‍♂

👉🥨ni magonjwa yanayoshambulia sehemu ya nyonga kwa muda mrefu na mara nyingi hujirudia au hayaponi haraka. Nyonga hujumuisha mifupa, misuli, mishipa ya fahamu, viungo vya uzazi na kibofu cha mkojo🥨

🥨((Baadhi ya magonjwa sugu ya nyonga))🥨

👉1)) ❄️ : Pelvic Inflammatory Disease (PID) sugu❄️
Huambatana na maambukizi ya mara kwa mara kwenye kizazi, mirija ya uzazi na ovari.

Husababishwa na magonjwa ya zinaa (gonorrhea, chlamydia n.k.) yasiyotibiwa vizuri.

*Madhara: maumivu ya mara kwa mara chini ya tumbo, utasa, mimba za nje ya kizazi.*

👉2)) 🤒: Endometriosis🤒

Hali ambapo tishu zinazofanana na za ndani ya mji wa mimba hukua nje ya uterasi (mfano kwenye ovari au kwenye nyonga)

Husababisha maumivu makali ya hedhi, maumivu wakati wa tendo la ndoa, na utasa

👉3)):🥨 Fibroids (Myomas)🥨

Vinundu vinavyokua kwenye kuta za mji wa mimba.
Hupelekea tumbo kuvimba, maumivu ya nyonga, hedhi nzito na changamoto za uzazi.

👉4)) ❄️ : Saratani ya nyonga❄️

Saratani ya shingo ya kizazi, saratani ya ovari au ya uterasi.

Dalili: kutokwa na damu isiyo ya kawaida, maumivu ya kudumu ya nyonga, uvimbe.

👉5)) : 👱‍♂ Chronic Prostatitis (kwa wanaume)👱‍♂

Uvimbe au maambukizi ya tezi dume kwa muda mrefu.

Dalili: maumivu ya nyonga, kuchoma wakati wa kukojoa, tatizo la nguvu za kiume.

👉6)) : 🥨Arthritis ya nyonga🥨

Ugonjwa wa kuharibika kwa maungio ya nyonga.

Dalili: maumivu makali ya kiuno/nyonga, ugumu wa kutembea.

👉7)) : 😞Maumivu sugu ya nyonga (Chronic Pelvic Pain Syndrome)😞

Hali ya maumivu inayoendelea kwa zaidi ya miezi 6 bila chanzo cha moja kwa moja.

Mara nyingi huhusiana na matatizo ya neva, msongo wa mawazo, au majeraha ya awali.

Dalili za kawaida za magonjwa sugu ya nyonga

Maumivu ya mara kwa mara chini ya kitovu au kwenye nyonga.

Hedhi nzito au isiyo ya kawaida (kwa wanawake).

Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni au kwenye uume.

Kukojoa mara kwa mara au kwa shida.

Utasa au changamoto ya kupata mimba.

👉((Madhara ya kuchelewa kutibu,Utasa))📌

((kwa wanawake na wanaume))

👉1)) : 😒 Kuishi na maumivu ya kudumu.😔

👉2)) : 🥨 Kuvimba au kuharibika kwa viungo vya uzazi.🥨

👉3)) : ❄️ Saratani (kwa baadhi ya aina)❄️

👉4)) : 👰‍♀Changamoto kubwa za kisaikolojia na ndoa.👰‍♀

👉KWA VISOMO !! NA DAWA !! 📌

👉WASILIANA NA MWALIMU !! 📌

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU 👉KWA VISOMO !! NA DAWA !!  📌👉WASILIANA NA MWALIMU !! 📌buy good till number     ...
29/01/2026

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU

👉KWA VISOMO !! NA DAWA !! 📌

👉WASILIANA NA MWALIMU !! 📌

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

masha Allah makombe ya kunywa na kuoga kutoa sihiri na uchawi na majini  pia yana uwezo wa kuondosha majini na hasad kat...
28/01/2026

masha Allah makombe ya kunywa na kuoga kutoa sihiri na uchawi na majini pia yana uwezo wa kuondosha majini na hasad katika nyumba .

👉KWA VISOMO !! NA DAWA !! 📌

👉WASILIANA NA MWALIMU !! 📌

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

Asalam aleikum warahma tulahi wabarakatu 💀((Leo tuangalie manufa ya mafuta ya dawa  ya sangoma))💀 Mafuta haya Yana uwezo...
21/01/2026

Asalam aleikum warahma tulahi wabarakatu

💀((Leo tuangalie manufa ya mafuta ya dawa ya sangoma))💀

Mafuta haya Yana uwezo mkubwa WA. Kupambana na wanga , wachawi , majini , na uhasidi WA mahasidi wa,aina yoyote walio shindika kana ((makurutu))

NTB: na am mafuta haya NI mazuri endaapo utasumbuliwa na watu nlio wataja apo juu ya ta ariffa👆👆👆

👉1)) :🤰ni kinga kwa kina mama waja wazito 🤰

👉2)) : 😵‍💫kurukwa na akili Ka ume patwa na upepo mchafu 😵‍💫

👉3)) : 👻 Yana uwezo WA kupambana na wachawi👻

👉4)) : 🧹 Yana uwezo WA kupambana na wanga 🧹

👉5)) : ⭐ Yana uwezo WA kushafisha nyota ⭐

👉6)) : 👽 Yana uwezo WA kufukuza majini na kuwasambaratisha 👽

👉ETC : !! NA MENGINEO : !!📌

👉PATA DAWA. YA SANGOMA UWEZE KUSAIDIKA NA KUONDEKANA NA MAJANGA YA KIUHASIDI NA UKOROFI WA MAJINI NA WACHAWI 📌

👉KWA VISOMO !! NA DAWA !! 📌

👉WASILIANA NA MWALIMU !! 📌

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU 💪((FAHAMU MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA MWANAUME))💪👉1))💪:Upungufu w...
15/01/2026

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU

💪((FAHAMU MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA MWANAUME))💪

👉1))💪:Upungufu wa nguvu za kiume ukiachwa bila kutibiwa huleta madhara makubwa kiafya, kisaikolojia na kijamii

👉1)):Madhara ya Kiafya😞

👉2)):Kushindwa kufanya tendo la ndoa kikamilifu💦

👉3)):Kupungua kwa mbegu za
*uzazi💦

👉💦((udhaifu wa sperms))💦

👉1)):🥨Kupungua kwa homoni ya kiume ((Testosterone))🥨

👉2)):❄️Dalili za magonjwa sugu kujificha k**a kisukari presha ya moyo🫀

👉3)):🫩Kuzeeka mapema kwa mwili na uwezo wa tendo💪

👉4)):❄️Madhara ya Kisaikolojia❄️

👉5)):😔Msongo mkubwa wa mawazo ((stress & depression))😞

👉6)):🙃Kujiona huna thamani ,kujiamini🙃

👉7)):😡Hasira, huzuni na kukata tamaa😒

👉8)):💦Kupoteza hamu ya ndoa kabisa💪

👉👥(( Madhara ya Kijamii ya ndoa))🫂

👉1)):🤌Kupungua kwa mawasiliano ya kimapenzi🫂

👉2)): 💔 Kusalitiwa au talaka
Kukosa amani ndani ya familia😒

👉NTB)):Madhara ya Kiashiria cha Hatari za
Upungufu wa nguvu za kiume mara nyingi ni ishara ya awali ya magonjwa makubwa k**a:📌👇👇👇

👉1)):🫀Magonjwa ya moyo
Kiharusi❄️

👉2)):🥨Kuziba kwa mishipa ya damu
Kisukari sugu🩸

👉NTB:Upungufu wa nguvu za kiume: Unatibika📌

👉NTB📌 Ushauri wa Afya📌

👉🌡Pima afya mara kwa mara🩺

👉🍻 Acha pombe & sigara🚭

👉🏋Fanya mazoezi🏋‍♂

👉😔Punguza msongo wa mawazo😔

👉🧑‍⚕Onana na mtaalamu wa afya mapema🧑‍⚕

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU 👉🤒((MADHARA MAKUBWA YA PRESHA YA KUSHUKA)) 🤒👉🤒((LOW BLOOD PRESSURE HYPOTENSION)...
03/12/2025

ASALAM ALEIKUM WARAHMA TULAHI WABARAKATU

👉🤒((MADHARA MAKUBWA YA PRESHA YA KUSHUKA)) 🤒

👉🤒((LOW BLOOD PRESSURE HYPOTENSION))🤒

👉🫀Kwa watu wengi, presha ikishuka chini sana husababisha hatari kubwa kwa mwili kwa sababu damu haitoshi kufika kwenye ubongo, moyo, figo na viungo vingine🫀

👉1)):🌡KUZIMIA AU KUANGUKA GHAFLA (FAINTING)🌡

🌡Presha inaposhuka mno, ubongo unakosa damu ya kutosha, hivyo mtu huona giza, kusikia kizunguzungu, kisha kuanguka.🌡

😞Hii ni hatari sana ikiwa unatokea kuanguka sehemu ngumu.😞

👉2))😵‍💫:KISUNGUZUNGU KIKALI / KUONA VIZUNGU VIZUNGU😵‍💫

🧠Ubongo hutumia damu kila sekunde. Presha ikishuka, mtu huhisi🧠

😵‍💫Kizunguzungu😵‍💫

🔅Sehemu inazunguka🔅

🧘‍♂Maono kuwa hafifu🧘‍♂

🧏‍♂Masikio kusikia kelele🧏‍♂

👉3))🫀:MAPIGO YA MOYO KWENDA TARATIBU AU KUINGIWA NA WASIWASI (SHOCK)⚡️⚡️

👉🩸Presha ya chini mno inaweza kupelekea moyo kushindwa kusukuma damu vizuri, na kusababisha🩸

👉1)):Mapigo kwenda taratibu ⌚

👉2)):Baridi mwilini🥶

👉3)):😶Ngozi kuwa k**a ya rangi hafifu😶

👉4)):🫁Kupumua haraka🗣

👉🌡Hii huitwa Low Blood Pressure Shock → ni hali ya dharura.🫀

👉4)):🧠UBONGO KUKOSA HEWA YA OXYGEN🫁

👉🌡Ikiwa presha inashuka ghafla, ubongo unaweza kuathirika, kusababisha🌡

👉1)):🤪Kuchanganyikiwa🤪

👉2)):🧠Kushindwa kufikiri🧠

👉3)):🤮Kichefuchefu🤮

👉🤕Maumivu ya kichwa (Ikiwa hali,inaendelea muda,mrefu huathiri,kumbukumbu.🧠

👉5)):👁️KUONA UKUNGU / KUPOTEA KWA MFUMO WA MAONO😔

👉🌡Presha ya chini hulifanya jicho kukosa mtiririko wa damu → kuona ukungu, kuona vitu mara mbili au giza🤪

👉6)):🦵UDHAIFU WA MISULI NA KUTETEMEKA💪

👉🦵Misuli haina nguvu kwa sababu haina damu ya kutosha.*
*Mtu hushindwa kusimama muda mrefu, miguu kuwa dhaifu au mikono kutetemeka💪

👉7)):🥨FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI (ACUTE KIDNEY INJURY)🥨

👉🥨Figo zinahitaji shinikizo la damu la kutosha ili kusafisha damu.
*Presha ikiwa chini🌡

👉💦Mkojo hupungua💦

👉💦Mwili hujaza maji💦

👉❄️Sumu mwilini huongezeka
Hali ikiendelea bila matibabu → figo zinaweza kushindwa kufanya kazi.🥨

👉8)):🫁KUPUMUA HARAKA NA KUKOSA HEWA🗣

👉🫀Moyo unapoanza kupunguza kasi, mwili hulazimika kuongeza pumzi nyingi ili kupata oksijeni🗣

👉9)):🥶BARIDI MWILINI NA JASHO JINGI😰

👉🩸Dalili ya mwili kupoteza uwezo wa kusambaza damu vizuri.

👉10)):💀HATARI YA KIFO (IKIKUA SHOCK)⚡️

👉🌡Ikiwa presha ya chini inatokana na🌡

👉1)):🩸Upungufu mkubwa wa damu🩸

👉2)):😳Msh*tuko wa mzio😳

😳((anaphylaxis))😳

👉3)):❄️Maambukizi makubwa❄️

❄️ (sepsis)❄️

👉4)):🫀Moyo kushindwa🫀

👉NTB:📌Basi mtu anaweza kufika kwenye hali hatari inayoitwa Circulatory Collapse → inaweza kupelekea kifo ndani ya muda mfupi bila matibabu☠📌

👉🌡PRESHA YA CHINI NI HATARI IWAPO🌡

👉1)):😵‍💫Unazimia mara kwa mara😵‍💫

👉2)):😵‍💫Unasikia kizunguzungu kila siku😵‍💫

👉3)):🫀Mapigo ya moyo ni 40–50 BPM🫀

👉4)):💪Miguu inakosa nguvu🦵

👉5)):🤪Unaona ukungu🤪

👉6)):💦Una mkojo mdogo sana💦

👉1)):🌡 JINSI YA KUZUIA PRESHA YA KUSHUKA🌡

👉2)):💦Kunywa maji ya kutosha kila siku💦

👉3)):🌯Kula chumvi kidogo zaidi (kwa ushauri wa daktari)🏩

👉4)):🚶Epuka kusimama ghafla kutoka kwenye kitanda 🛏️

👉5)):🍝Kula milo midogo midogo mara nyingi🍝

👉6)):🍻Epuka pombe🍺

👉7)):🧦Vaeni soksi maalum za “compression stockings🧤

🧦((ikiwa umeshauriwa))🧦

👉8)):💊Tumia dawa k**a daktari amekuandikia💊

👉9)):🫀MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIU KUHISI UZITO MKUBWA😞

👉10)):😵‍💫KUHISI KIZUNGU ZUNGU*
KUPOTEZA ,KUMBU,KUMBU🧠

👉NTB:📌Pata dawa Na sindano za presha upate Ku linda afya yako 💊💉📌

buy good till number

( 6722029 )

🤙📲🔥WASILIANA NA MWALIMU🤙 📲🔥

Call//whatsupp

0754 092791 airtel

0706 667399 safaricom

🔪⚡️((WAKANYAGENI MASHEITWANI NA WACHAWI NA MJII WA MOMBASA PEMBA TIBBA ZETU BAHARI YA CHUMVI MAWE HARUFU YA KARAFU WACHAWI LAZIMA TU WANYOE MAJINI TU WACHOMOE))⚡️🔪

💥🔪🔪DR::((SHEKYASSIN BALLKUSS JEILAN AZADHIHIL KIRAMI SHAMKHAYARUHIN MAULANA UWESO MARIJAHN ALL SURTAN JIBRILL KAIMU MWAKAYA))🔪🔪💥. !!

karibuni nyote katika TIBBA ZETU tuombe mungu pamoya !! Masha Allah
02/12/2025

karibuni nyote katika TIBBA ZETU tuombe mungu pamoya !! Masha Allah

30/11/2025
Masha Allah
28/11/2025

Masha Allah

Address

Mombasa

Telephone

+254706667399

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR ballkuss surtan kaimu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category