Al Aqsa Sunna Clinic

Al Aqsa Sunna Clinic ZINGATIA SANA ULAJI WAKO KWA AFYA BORA ZAIDI. FAHAMU KWAMBA MALI HUTAFUTWA LAKINI SIO AFYA
(1)

16/09/2024

4464 likes, 43 comments. Check out Al Aqsa Sunna Clinic’s post.

16/09/2024

2646 likes, 88 comments. Check out Al Aqsa Sunna Clinic’s post.

15/09/2024

14.2K likes, 236 comments. Check out Al Aqsa Sunna Clinic’s post.

01/09/2024
24/08/2024

Miongoni mwa dawa nzuri sana za kutibu maradhi ya kisukari na shinikizo la juu la damu ni hii dawa hapa iitwayo KALINJIRI.
Unaweza ukaipata katika duka lolote linalouza dawa za kiasili na kiarabu.
Kwa jina la kiarabu hujulikana k**a Kamun Aswad.
Dawa hii pia ni nzuri sana ya kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu.
Kwa matibabu zaidi wasiliana nami Suleyman Maina wakati wowote napatikana

24/08/2024

Muulizaji swali anauliza.

Ni ipi tiba ya vidonda vya kooni na mdomoni?

Jawabu ni kwamba tiba ya vidonda vya kooni na mdomoni ni shaabu.
Utachota shabu kijiko kimoja kidogo cha kukorogea chai kisha unaweka kwenye maji glasi moja ya yakiwa ya uvuguvugu ndo bora zaidi na halafu utakoroga hadi iishie kwenye hayo maji na kisha utakuwa unasukutua kutwa mara tatu kwa mda wa dakika 30 hadi 45 kisha unatema.
Ni tiba nzuri sana ya vidonda hivyo.
Ila......
Kuna vidonda vya mdomoni ambavyo vinakuwaga na rangi nyeupe kwa asilimia kubwa husababishwa na hasad (kijicho na vidonda hivi ni hatari sana kwa usalama na vinaweza kuua mtu.
Asilimia kubwa ya watu huwa hawafahamu na hudhani ni vya kawaida..
Vodonda hivyo pia vinaweza sababisha mtu akawa bubu au hata kipofu au hata kiziwi
Kwa hiyo wakati unapoona vidonda vya mdomoni au kooni ni muhimu sana mgonjwa huyo akafanyiwa kisomo cha Ruqya k**a huduma ya kwanza kabla ya kumpeleka hospitalini na hata maradhi mengine pia.
Kwa wale wanaosumbuliwa na majini wabaya mwilini au hasad au kijicho majumbani mwao au katika sehemu zao za biashara tunafanya visomo vya Ruqya ya kisheria popote alipo mgonjwa duniani na tunapatikana wakati wowote.
Kwa matibabu zaidi wasiliana nami. Suleyman Maina
Kwa namba zifuatazo
☎️+254708995244. ☎️+254773434443

Address

Likoni
Mombasa

Telephone

+254708995244

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al Aqsa Sunna Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Al Aqsa Sunna Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram