03/01/2023
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na kuendelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vina dalili k**a;
Ø Kupata maumivu ya tumbo ya kuwaka moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Ø Kupatwa na kiungulia(heartburn) karibu na chembe ya moyo
Ø Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Ø Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Ø Kupata haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi cheenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Ø Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Ø Kushindwa kupumua vizuri
JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO
Ø Kunywa maji mengi
Ø Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
Ø Punguza (balance) kiwango cha lehemu (choresterol) mwilini
Ø Usivute sigara
Ø Punguza au acha kunywa pombe
Ø Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Ø Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.
MATIBABU
Kwa matatizo ya vidonda vya tumbo,watu wengi wamekuwa hakihangaika sana kupata matibabu sahihi na badala yake wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza matatizo ya vidonda vya tumbo na si kutibu tatizo moja kwa moja.
Zipo dawa asili ambazo hutibu matatizo ya vidonda vya tumbo kwa haraka sana na tiba ya kudumu,mfano kuna dawa ya asili Iitwayo
KISWA ALCERS POWDER,dawa hii hutibu kwa haraka sana matatizo ya vidonda vya tumbo.
KWA SIKU 30 pekee NA UNAKUWA SAWA KABISA