13/04/2026
THE SILENT CONDITION AFFECTING MANY FAMILIES TODAY
Diabetes Type 2 huanza pole pole…Hakuna drama… hakuna dalili kubwa…
Lakini watu wengi wanaishi nayo bila kujua
Unajipata:
😴 Unachoka haraka kuliko kawaida
💧 Unakunywa maji sana
🚽 Unaenda choo mara mingi
Watu wengi husema: "Labda ni uchovu tu… niko sawa."
Lakini kwa ground… kisukari inaendelea kufanya damage pole pole. Na wengi hugundua wakati complications zimeanza. Lakini ukicheck mapema… mambo inakuwa manageable.
Hapa Afyafirst Medical Centre, tunafanya screening rahisi na haraka:
✔ 🩸 Random Blood Sugar — Check ya haraka anytime
✔ 🌅 Fasting Blood Sugar — Kugundua mapema
✔ 🎯 HbA1c — Kuona control ya miezi 3 nyuma
Chronic disease si ugonjwa ya mtu mmoja…Inaathiri familia mzima.
Usingoje mwili ikuambie imechoka. Check mapema. Linda familia yako.
CHOOSE AFYAFIRST MEDICAL CENTRE