Shifaa sunna clinic

Shifaa sunna clinic We produce quality herbal medicine from plants. that are best, safe, effective and sustainable

our mission is to provide our patients with the highest quality herbal medicine treatment at an affordable price

TIBA YA UVIMBE KATIKA KIZAZI (fibroids):( TIBA BILA UPASUAJI) Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi amb...
14/11/2025

TIBA YA UVIMBE KATIKA KIZAZI (fibroids):
( TIBA BILA UPASUAJI)

Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

AINA ZA FIBROIDS
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizazi)

FIBROIDS sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini.

DALILI ZA FIBROIDS;
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpango
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi.

MADHARA YA FIBROIDS
1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu

JINSI FIBROIDS ZINAVYOWEZA KUZUIA KUPATA MTOTO
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yani ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai

UPASUAJI
kufanyiwa upasuaji sio suluhisho kwa sababu upasuaji sio kiba bali ni kuondoa uvimbe ila baada ya mda upasuaji hukua tena na kuwa mkubwa zaidi kuzidi mwanzo

UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA.

Sasa kwa kuliona hilo suluhisho lako lipo, tuna dawa ambayo imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa unga ambayo imetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha.

Dawa hiyo ni mchanganyiko wa dawa asilia za ambapo hazina sumu au madhara yoyote mwilini.zina uwezo wa kuyeyusha na kumaliza kabisa uvimbe wa fibroid bila upasuaji wowote na kuhakikisha kuwa fibroids hazirudi tena

KWA TIBA NA USHAURI
WASILIANA NASI KWA
+254721836774
DR ISMAIL

Solution
08/11/2025

Solution

04/11/2025

Shwari kabisa

☑️-KIDNEY PRO Hii ni miongoni mwa dawa ambazo zimefahamika sana kwa ajili ya kutibu na kumaliza kabisa matatizo sugu ya ...
13/10/2025

☑️-KIDNEY PRO

Hii ni miongoni mwa dawa ambazo zimefahamika sana kwa ajili ya kutibu na kumaliza kabisa matatizo sugu ya figo k**a:

1️⃣-Maumivu ya kwenye figo au kidney stones
2️⃣-figo kuwa na maambukizi au infection
3️⃣-Huondoa na kumaliza kabisa mawe kwenye figo
4️⃣-dawa hii inasafisha au ku detoxify figo
5️⃣- dawa hii inatibu na kumaliza kabisa uvimbe kwenye figo bila sergery ama upasuaji wowote

🅰️-DAWA HII NI YA KUNYWA KILA SIKU ASUBUHI NA JIONI KWA MWEZI MZIMA NA UTAPONA KABISA

*MADHARA YA KUTOKUFANYA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU KWA MWANAMKE*Topic hii nimahususi kwa watu wote wanandoa na wasio i...
29/09/2025

*MADHARA YA KUTOKUFANYA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU KWA MWANAMKE*

Topic hii nimahususi kwa watu wote wanandoa na wasio ingawaje itawagusa kwa namna moja ama nyengine haswa wale waliothubutu kuujaribu mchezo huu au kutothubutu kuujaribu (s*x), . Kukaa muda mrefu bila ya kushiriki tendo kuna madhara haya yafuatayo.

😡Hasira za Mara kwa Mara hata kwa mambo madogo madogo yeye hukasirika.

📞Kupoteza umakini katika kazi (efficiency) na kupoteza nguvu za akili, mwishoe hupatwa na kichaa.

📞Sahau ya Mara kwa Mara, na kufoka sana kwa watu.

🫦Kupenda kujitenga na kukaa peke yao

💌Kuwa na hali ya kutojiamini

🩸Kutokwa na damu nyingi wakati wa haedhi(excessive bleeding) kwa wanawake wasiofanya s*x kwa muda mrefu.

📞Kupenda kudakia mambo ya watu wengine hata k**a hayamuhusu, yeye yuko mbelembele.(kuongea sana)

📞Kuumwa sana na kichwa mara kwa mara, na tumbo zaidi.

📞Kukak**aa mgongo , mwisho kupinda zaidi.

📞Maumivu ya nyonga na kiuno kwa wanawake wasiofanya s*x kwa muda mrefu.

📞Mwili wako huwa mwepesi sana kupokea virusi na bakteria hatarishi katika uke.

🍷Kudevelop tabia mpya k**a vile ya kuchukia wanaume

📞Kukata hamu ama ashki kwa kupiga punyeto (ma********on). Kwa wanawake.

📞Kuongea sana katika jumuia ya watu, nyege zikizidi sana mwilini hurukwa na akili.

📞.kuja na joto jingi mwilini na jasho jingi

*Ngozi kukak**aa au kuzeeka haraka

*Hupata menopause mapema au kukoma kwa hedhi

KWA LEO TUKOMEE HAPA

KWA WENYE MASWALI WASILIANA NASI KWA NAMBA +254733836774 DR ISMAIL

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME: MAANA, SABABU, DALILI, KINGA, TIBA, SULUHISHO NGUVU ZA KIUME: KWA NINI NI MUHIMU SANA?Nguvu ...
19/09/2025

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME: MAANA, SABABU, DALILI, KINGA, TIBA, SULUHISHO

NGUVU ZA KIUME: KWA NINI NI MUHIMU SANA?
Nguvu za kiume siyo tu uwezo wa mwanaume kushiriki tendo la ndoa, bali huashiria afya yake ya jumla, hali ya kujiamini, na furaha katika mahusiano ya kimapenzi.

Hata hivyo, wanaume wengi hupitia hali ya kupungua kwa nguvu za kiume kwa muda mrefu bila kuelewa chanzo, suluhisho, wala hatua sahihi za kuchukua.

Tatizo la Nguvu za Kiume Linavyowaumiza Wanaume Kimya Kimya
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambapo mwanaume anashindwa kusimamisha au kudumisha uume wake kuwa mgumu vya kutosha kwa tendo la ndoa.

Hali hii inaweza kusababishwa na matatizo ya kiafya k**a vile kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, kisukari, au matatizo ya kisaikolojia k**a msongo wa mawazo na wasiwasi.

Licha ya kuwa ni tatizo linalowakumba wanaume wengi, bado kuna hofu na aibu kubwa inayowafanya wasitafute msaada mapema.

UNAJUAJE K**A UNA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME?

Dalili kuu za upungufu wa nguvu za kiume
ni pamoja na:

1-Kushindwa kusimamisha uume kabisa
2-Uume kusimama kwa muda mfupi au kutodumu wakati wa tendo
3-Kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa
4-uume kusimama lege lege au kusinyaa ukiwa ndani
5-kusindwa kufikisha mwanamke kileleni

Pamoja na dalili hizo, wengi hushindwa kutambua kiwango cha tatizo lao kwa njia ya kitaalamu. Hapa ndipo kipimo cha IIEF-5 (Sexual Health Inventory for Men) kinapotoa suluhisho bora.

IIEF-5: Kipimo Rahisi cha Kujitathmini Nguvu za Kiume
IIEF-5 ni kipimo rasmi na rahisi chenye maswali matano, kinachotumiwa kimataifa

KUPIMA HALI YA NGUVU ZA KIUME KWA MWANAUME INAJUMUISHA

A-Uwezo wa kusimamisha uume
B-Kudumisha msimamo wakati wa tendo
C-Kuridhika na uwezo wa kimapenzi
Kwa kujaza kipimo hiki mwenyewe kwa usiri, mwanaume anaweza kujua ikiwa ana kiwango kidogo, cha kati, au kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume.

Kwa NINI KUJITATHMINI NI MUHIMU?
Wanaume wengi hutumia dawa za kuongeza nguvu bila kujua kiini cha tatizo. Wengine huanza kuamini kuwa tatizo lao haliwezi kutibika. Hali hii huchelewesha tiba sahihi na wakati mwingine huongeza matatizo.

KILA MWANAUME ANAHITAJI:
X-Njia ya binafsi na ya usiri ya kujipima nguvu za kiume
X-Maarifa ya kutofautisha hali ya kawaida na inayohitaji matibabu
X-Msingi wa kufanya uamuzi sahihi kuhusu matibabu au ushauri
X-Nguvu za Kiume Zinaweza Kurudi
Habari njema ni kwamba, kwa asilimia kubwa ya wanaume, tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kutibika.

ZINGATIA
Mabadiliko ya mtindo wa maisha k**a mazoezi, lishe bora, kupunguza msongo wa mawazo, pamoja na tiba za kitabibu zilizothibitishwa, huweza kusaidia kurejesha nguvu na uwezo wa mwanaume.

CHUKUA HATUA
Usikae Kimya, Chukua Hatua Leo
Nguvu za kiume ni sehemu ya afya ya mwanaume. Usikae kimya, njoo upate upte suluhisho la kudumu

TIBA
KWA TIBA NA USHAURI WASILIANA NASI KWA +254721836774 DR ISMAIL

LADY CARE ni dawa ya Asili ambayo hutumiwa na wanawake.. na haina kemikali 100%1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na k...
12/09/2025

LADY CARE

ni dawa ya Asili ambayo hutumiwa na wanawake.. na haina kemikali 100%

1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu

3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D

4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.

6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.

8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)

9⃣ inaondoa michubuko ukeni, vidonda na vijipele vyote.

☑️-Hii ni dawa ambayo iko inform of powder una changanya kijiko kidogo kwa kikombe kimoja cha chai, Asubuhi na jioni kila siku kwa mwezi mzima na utapona kabisa

MOYO KWENDA MBIO (Moyo kudunda kwa nguvu isivyo kawaida )A-Uchovu uliopitiliza, mwili kuwa dhaifu na kuchoka haraka hata...
05/09/2025

MOYO KWENDA MBIO (Moyo kudunda kwa nguvu isivyo kawaida )

A-Uchovu uliopitiliza, mwili kuwa dhaifu na kuchoka haraka hata kwenye shughuri ndogo
B-Maumivu ya kifua hasa yanayotembea mpaka kwenye mabega, shingo au taya
C-Kushindwa kulala vizuri hasa kushtuka usingizini kuhisi k**a unakabwa na kukosa pumzi
D-Tumbo kujaa, kichefuchefu na kutapika
Kukosa pumzi au kushindwa kupumua vizuri hasa unapolala chali

JINSI YA KUEPUKANA NA MAGONJWA YA MOYO
1-Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
2-Usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
3-Usitumie chumvi mbichi au chumvi nyingi
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
4-Balance usito wako
5-Usivute sigara
6-Punguza au acha kunywa pombe
7-Punguza mawazo
8-Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
9-Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

TIBA YA MAGONJWA YA MOYO
Magonjwa ya moyo yanatibika kwa hali tofauti, pia kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi, hii hufanya wengi kufa kutokana na kuto kuwa makini na kile tunacho waeleza.

DAWA YA MAGONJWA YA MOYO
Tunazo dawa za kutibu kabisa magonjwa ya moyo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. : Dawa hiyo hutibu kulingana na mda wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki moja MTU huanza kupona na kuonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwa sababu kuna baadhi ya mitindo ya maisha inaendelea kuongeza matatizo pia kuna mitindo inapunguza hatari ya ugonjwa.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa yaani miti, mboga,matunda na majani ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya matatizo mbalimbali.

KWA TIBA NA USHAURI WASILIANA NASI KWA +254733836774 DR ISMAIL

TATIZO LA MAKOVU MAKUBWA (KELOIDS) NA TIBA YAKE Keloid ni uvimbe  katika ngozi ya sikio ama sehemu nyingine ya mwili, hu...
18/08/2025

TATIZO LA MAKOVU MAKUBWA (KELOIDS) NA TIBA YAKE

Keloid ni uvimbe katika ngozi ya sikio ama sehemu nyingine ya mwili, husababishwa na kukua sana kwa kovu pasipo kuthibitiwa.

Kwa bahati mbaya, wakati mwingine makovu huweza hukua sana na kusababisha muwasho au maumivu kwa baadhi ya watu

NINI CHANZO CHA TATIZO HILI:
Hakuna sababu ya moja kwa moja ila kunaa baadhi ya mambo ambayo yanasababisha au kuchangia kuwepo kwa keloids

Wa afrika (watu wenye ngozi nyeusi) hupata makovu haya ya keloid kwa kiasi kikubwa sana kuliko watu wa mataifa mengine, ingawa kila mtu anaweza kupata makovu haya. Makovu ya keloid huwa haya badiliki kuwa saratani

1-Kupata Kidonda
2-Kuchora tattoo
3-Kutoboa sikio
4-Makovu ya surua
5-Kung'atwa na wadudu mpaka kupelekea kujikuna
6-Kovu la upasuaji
7-Kovu la chanjo. n.k
8-sababu za kuridhi

DALILI ZA TATIZO LA KELOIDS:
A-Uvimbe mkubwa au viuvimbe vingi,sehemu ilipokuwa kidonda au yenye kiupele.
B-Sehemu hiyo kuwasha hasa mtu akiwa juani
C-Sehemu hiyo kuuma ikiguswa
D-Sehemu kuendelea kuongezeka kadri muda unavyozidi kwenda.

HATUA ZA KUZUIA KOVU ZA KELOIDS
X-Punguza majeraha yasiyo ya lazima kwenye ngozi, k**a vile kutoboa, chale, au upasuaji wa kuchagua

X-Tibu majeraha na majeraha kwa haraka ili kukuza uponyaji mzuri na kupunguza hatari ya kutokea kwa kovu isiyo ya kawaida.

X-Zuia kuwasha kwa ngozi kwa kuepuka nguo zinazobana au nyenzo ambazo zinaweza kusugua majeraha yanayopona.

X-Linda makovu yanayopona kutokana na kupigwa na jua kwa kutumia mafuta ya kujikinga na jua au nguo ili kuzuia mabadiliko ya rangi ambayo yanaweza kuzidisha uundaji wa keloid.

TAHADHARI
Upasuaji wa keloids sio suluhisho kwa sababu baada ya miezi michache keloids huchipuka upya na huongezeka mara dufu kuliko mwanzo

MATIBABU YA KELOIDS
Mbali na matibabu, marekebisho kadhaa ya mtindo wa maisha na matibabu mbadala yanaweza kusaidia kudhibiti makovu ya keloid:

%-MABADILIKO YA LISHE: Lishe yenye usawa yenye vitamini na madini inaweza kusaidia afya ya ngozi.

%-UNYEVUSHAJI: Kuweka ngozi hydrated inaweza kukuza uponyaji na kupunguza kuwasha.

TIBA YA KELOIDS BILA UPASUAJI WOWOTE
Kwa walio na keloids wasihofu kwani dawa zipo za kutibu na kumaliza kabisa bila upasuaji wowote ambapo unapewa dawa za kunywa na kupaka.

1-Dawa hizi hulenga tishu zenye kovu moja kwa moja. Sifa za kupambana na uchochezi za corticosteroids husaidia kuvunja ziada collagen katika keloid, na kusababisha kupunguzwa kwa ukubwa na unene wake.
2-Hulainisha tishu za kovu
3-Inaboresha muonekano wa jumla
wa keloid
4-Humaliza ya kuyeyusha makovu haya na kubaki ukiwa sawa kabisa

KWA TIBA NA USHAURI WASILIANA NASI KWA +254721836774 DR ISMAIL

Bila shaka
26/07/2025

Bila shaka

Address

Kombani
Mombasa
254

Telephone

+254721836774

Website

https://shifaaherbsclinic.co.ke/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shifaa sunna clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Shifaa sunna clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram