The 5 Star Biro

The 5 Star Biro Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The 5 Star Biro, Mombasa.

The 5 Star Biro is an artist and a medical practitioner holding a diploma in clinical medicine and a bachelor of science in health systems management gifted with a talent in music that has a touch of comedy in mijikenda language.

29/01/2025

Another One

Inakuja
23/01/2025

Inakuja

20/09/2024

A mijikenda rap song describing the lifestyle of a modern mijikenda Man.Song written by: 5 Star Biro and Baba SherryProduced by: Tokali Beatz (Monster Recordz)

BRAND MANAGERMykol Baya MachampaliHuyu ndio analinda na kujenga brand ya The 5 Star Biro. Huyu ndio ana identify target ...
19/03/2024

BRAND MANAGER

Mykol Baya Machampali

Huyu ndio analinda na kujenga brand ya The 5 Star Biro.
Huyu ndio ana identify target demographic na kufanya market analysis ya vile atajenga image yangu na kuleta marketing strategies kwa management team ili zifanyiwe kazi.

Wanahabari na bloggers mkiniita interview nikose kufika mjue ni huyu ndio amenikataza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

OPERATION MANAGERS Mtu BeiHuyu ndio anachuja mziki wenye unatoka. Wimbo k**a ni mbovu, unatupwa nje. Ni wimbo gani uanze...
19/03/2024

OPERATION MANAGERS

Mtu Bei

Huyu ndio anachuja mziki wenye unatoka.

Wimbo k**a ni mbovu, unatupwa nje.
Ni wimbo gani uanze kutoka na gani utoke baadae, ni wimbo gani tufanye video na gani tusifanye na mambo k**a hayo.

Hata hizi content zenye nimekua nikifanya za PESA GOMA NOYE ni lazma yeye apitishe hivyo basi mjue kuna zengine tatu alizitupa nje eti si KaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

19/03/2024

Leo Nataka Ku Introduce my Management Team.

Pesa Goma Noye is Out

07/03/2024

Nelogwa Pesa Zisigome, Nichilaniwa Pesa Zinituetue Zisiniriche.

Nilipotoka Crack Sounds nikafika kwa mikono ya Tee HitsHapa tuliingia studio na Mtu Bei na baada ya k**a 1 hour tulikua ...
05/03/2024

Nilipotoka Crack Sounds nikafika kwa mikono ya Tee Hits
Hapa tuliingia studio na Mtu Bei na baada ya k**a 1 hour tulikua tushamaliza kuunda dude kwa jina BE HAPPY
Hebu fuata hii link

https://youtu.be/F6jBVgE7wWA?si=7nGIrC1VoCO1wqPd

Endeleeni ku subscribe kwa Mjukuu The Father Channel huko youtube 15/03/2024 kuna jambo lisikupite

15/03/2024 Niko na Jambo Langu. Lakini Leo nataka nimtambue Jay Crak Huyu ndio producer wa kwanza kunirusu ndani ya boot...
05/03/2024

15/03/2024 Niko na Jambo Langu.

Lakini Leo nataka nimtambue Jay Crak
Huyu ndio producer wa kwanza kunirusu ndani ya booth yake ni record wimbo.

Kuna wimbo nilimuimbia mke wangu in 2019 hukooo na huyu Jay ndio alinifanyia production.

Yani Mimi mwenyewe nikiskiza hizi nyimbo zangu za zamani na sasa naona growth na toauti kubwa zaidi.

Hebu fuata hii link https://youtu.be/PNdJjEzq5no?si=wEcOvB7ubTg26K_k ukauskize na wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Halafu msisahau ku subscribe ndio 15th msiachwe nyuma.

It is now official 15/03/2024 ndio siku naachilia ngoma yangu ya kwanza kisha niendelee kuwapea moja baada ya nyengine k...
01/03/2024

It is now official

15/03/2024 ndio siku naachilia ngoma yangu ya kwanza kisha niendelee kuwapea moja baada ya nyengine kila tarehe 15 ya mwezi mpaka mwaka uishe.

Baada ya kushauriana na management yangu tumeamua tuanze kuachilia…

PESA GOMA NOYE

Wale mliodhani siko serious kaeni mkao wa kupigwa na butwaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

06/02/2024

The Journey Begins

Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The 5 Star Biro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram