Montana Hospital, Mombasa

Montana Hospital, Mombasa Montana Hospital offers modern cost effective medical services.

Our experienced staff are committed to giving the best services filled with empathy and understanding.

18/07/2025

Umeskia leo ndio ile siku ya diabetes, hypertension and weight camp hapa Hospitali yenu ya Montana? Omba off kazini ukuje. Lakini pia kesho na Sunday tuko. Karibu Team Montana.

Sisi hatuoni mbona usikuje kupimwa Diabetes, Hypertension halafu tukusaidie kuangalia k**a weight yako iko sawa kulingan...
17/07/2025

Sisi hatuoni mbona usikuje kupimwa Diabetes, Hypertension halafu tukusaidie kuangalia k**a weight yako iko sawa kulingana na height yako. Mambo ni mengi, Kuwa sure na health yako. Your health is your first investement. Bila health utapata hizo investment zingine wapi? Karibu Montana. 0727893395

14/07/2025

Mbona HERNIA inakusumbua na sisi tuko? Uliza wale wamefanyiwa hiyo surgery hapa Montana. Karibu Montana. Piga hiyo simu leo upate kujua. Call 0727893395

Weekend inawapeleka vipi?       If you need us, we remain at work because of you call  0727893395
12/07/2025

Weekend inawapeleka vipi?


If you need us, we remain at work because of you call 0727893395

11 years ago, Montana Hospital was born. It has impacted the lives of many as we share a common journey towards wellness...
11/07/2025

11 years ago, Montana Hospital was born. It has impacted the lives of many as we share a common journey towards wellness. Beyond health, the area has become a business hub and a focus for development. - creating jobs and affecting positively the security of the area. That area that never had a name is now simply called - MONTANA AREA.
Happy 11th 'Birthday' Montana Hospital, Mombasa

Good news to our clients with Madison insurance cards. 😁
09/07/2025

Good news to our clients with Madison insurance cards. 😁

😷 Tatizo la hernia linaathiri watu wengi katika jamii. Linaweza kukufanya ushindwe kufanya kazi au shughuli zako za kila...
09/07/2025

😷 Tatizo la hernia linaathiri watu wengi katika jamii. Linaweza kukufanya ushindwe kufanya kazi au shughuli zako za kila siku kwa sababu ya maumivu na usumbufu. Usiliruhusu lizidi kuwa kubwaβ€”tunaweza kukusaidia.
πŸ₯ Karibu Montana Hospital. Piga simu 0727893395.

Big shout out to my newest top fans! πŸ’Ž Evans Mwambanga Njaka, Sibby Sibby, Sarah Wangech, Eunice MsaghaDrop a comment to...
05/07/2025

Big shout out to my newest top fans! πŸ’Ž Evans Mwambanga Njaka, Sibby Sibby, Sarah Wangech, Eunice Msagha

Drop a comment to welcome them to our community, fans

New Montana Hospital. Consultation fees 300/- only.Nembo Mpya, Mambo Mapya.Karibu Montana. πŸ˜ƒ
04/07/2025

New Montana Hospital. Consultation fees 300/- only.

Nembo Mpya, Mambo Mapya.

Karibu Montana. πŸ˜ƒ

Address

0727893395
Mombasa

Opening Hours

Monday 00:00 - 23:59
Tuesday 00:00 - 23:59
Wednesday 00:00 - 23:59
Thursday 00:00 - 23:59
Friday 00:00 - 23:59
Saturday 00:00 - 23:59
Sunday 00:00 - 23:59

Telephone

+254711782439

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Montana Hospital, Mombasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Montana Hospital, Mombasa:

Share

Category