22/10/2024
mwenye miwasho ya fangasi sehemu za siri, tafuta bicarbonate of soda
Chukua dumu la maji safi lita tano, tia glass moja ndogo au vijiko vitano vya unga wa bicarbonate of soda kisha yaache kwa muda wa dakika 30
Utakuwa unajisafisha sehemu za nje zenye muwasho kwa kutumia maji hayo, yakiisha unaandaa mengine.
Fanya hivi kwa siku 7 hadi 14 muwasho hupotea
K**a unatokwa na uchafu wenye harufu mbaya ukeni, maumivu ya nyonga, maumivu chini ya tumbo, kutoa uchafu wa njano n.k
Andaa.. Unga wa maganda ya parachichi vijiko 2,.. Unga wa mbegu za mlonge vijiko 2,.. Unga wa maganda ya ndizi [mbichi/mbivu] vijiko 2,.. Unga wa habbat sawda vijiko 2,.. Unga wa vitunguu swaumu vijiko 2, na Unga wa uwatu vijiko 2 [vitu hivi unaweza kuandaa mwenyewe au kuvitafuta katika maduka ya tiba asili]
Changanya vyote kwa pamoja kwenye sufuria au kontena kisha mimina ASALI mbichi Pure taratibu huku ukikoroga mpaka lita nzima iishe k**a una blenda unaweza kutumia ili ikusaidie kuikoroga vizuri, k**a huna blenda koroga mpaka ikolee
Utalamba vijiko viwili vya dawa asubuhi, mchana na jioni k**a huna muda mchana basi tumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usikuβ¦. Mfululizo kwa siku 14 mpaka 21 utakuja kunipa mrejesho wako
Matatizo haya ya Fangasi, U.T.I na P.I.D ni sugu ukiwa mtu wa kulialia tu bila kuchukua hatua....
Pendelea kunywa mtindi, kunywa maji ya kutosha, kuwa msafi binafsi, mume k**a ana U.T.I asikusumbue na tendo mpaka apone otherwise atumie kondom, achana na sukari na nafaka za kukobolewa...
Weka jitihada, usisubiri miujiza, kupona sio gharama, ni kuupa mwili kilicho sahihi na usafi wa kila siku haswa nguo za ndani
Usiache kumfundisha rafiki yako pia ninayo habari njema
K**a umehangaika na Fangasi au matatizo ya hedhi na uzazi kwa muda mrefu, tunayo
DAWA ASILI , CALL π€ 0701485054
Hii ni maalumu kwa wewe unayetaka kusafisha mirija ya uzazi, kutoa uchafu kwenye kizazi, makovu kwenye