Sharff tiba za kisunna na majini wabaya

Sharff tiba za kisunna na majini wabaya Jifunze tiba za kisunna na jinsi ya kujikinga na majini wabaya na uchawi kupitia page yetu karibun sana

Sharff tiba za kisunna na majini wabaya
23/01/2026

Sharff tiba za kisunna na majini wabaya

MAHABBA ADHIM MITHILI YA MWENDAWAZIMU
21/01/2026

MAHABBA ADHIM MITHILI YA MWENDAWAZIMU

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته MAHABBA ADHIM MITHILI YA MWENDAWAZIMU.....MFANYE MWENZA WAKO AKUPENDE K**A MWENDAWAZIMU K...
02/01/2026

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
MAHABBA ADHIM MITHILI YA MWENDAWAZIMU.....

MFANYE MWENZA WAKO AKUPENDE K**A MWENDAWAZIMU KWA KUANDIKA NA KUZIKA KWENYE KIZINGITI CHA MLANGO WAKO. . ..

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.......MVUTO MKALI WA BIASHARA AU KUVUTA WATEJA KATIKA BIASHARA YAKO....Andika talasimu hi...
30/12/2025

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.......

MVUTO MKALI WA BIASHARA AU KUVUTA WATEJA KATIKA BIASHARA YAKO....

Andika talasimu hii siku ya Alhamis wakati wa kuchomoza jua katika kitambaa cheupe kisha utaifukiza na ubani mweupe na makka na jawi huku ukisoma suratul shirah [sura ya 94 ] katika Qur'an...

Utasoma mara 72 kwa manuizi ya kuvuta wateja na kutia mvuto katika biashara yako au kuuza nyumba au shamba lako au kiwanja. IN SHAA ALLAH BIIDHINI ALLAH UTAFUNGUKA NA KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA YAKO AU HAJJA YAKO HUSIKA .... .

ALLAH NDIO MJUZI ZAIDI.... Sharff tiba za kisunna na majini wabaya

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته....FUNGUZI KUBWA ...K**a unavifungo vikubwa vya kijini au kichawi katika kazi zako au bia...
23/09/2025

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته....
FUNGUZI KUBWA ...
K**a unavifungo vikubwa vya kijini au kichawi katika kazi zako au biashara yako au katika nyota yako au mwili kwa ujumla basi hili kombe linakufaa kwa uwezo wa Allah utafunguka vyote In shaa allah....

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاتهKinga Kubwa
16/09/2025

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Kinga Kubwa

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.....KINGA KUBWA ....Ndugu zangu leo nawapatia kinga hii kubwa dhidi ya uchawi na majini k...
04/06/2025

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.....
KINGA KUBWA ....
Ndugu zangu leo nawapatia kinga hii kubwa dhidi ya uchawi na majini katika bishara yako au nyumba yako...
Andika karatasi nyeupe nne kwa wino mwekundu na kisha utachukua chupa nne nyeusi ndogo na utaweka karatasi hizo katika chupa moja moja karatasi nne katika chupa nne kisha utaweka katik kila karatasi sindano 7 saba ....
Kisha utazifukiza chupa hizo huku ukisoma dua hiyo ilio andikwa katika karatasi hiyo ....
Kisha utazika chupa hizo katika kona nne za nyumba yako kwa manuizi ya kinga ..
Basi kwa kufanya hivyo kwa uwezo wa Allah hakuna mchawi wala jini mbaya ataingia katika mji wako in shaa allah....
ALLAH NDIO MJUZI ZAIDI.... Sharff tiba za kisunna na majini wabaya

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته....FUNGUA VIFUNGO VIKUBWA...Andika kombe hili katika sahani nyeupe isiyo na michoro siku ...
30/05/2025

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته....
FUNGUA VIFUNGO VIKUBWA...
Andika kombe hili katika sahani nyeupe isiyo na michoro siku ya ijumaa nakisha utaifukiza na ubani makka na jawi kisha utasoma bismillahi mara 100 ...
Kisha utailoweka kwenye maji na utatumia kunywa na kuoga kwa siku 14 na utaoga nje au sehemu isiyo ingia najsi .....
Kwa kufanya hivyo basi kwa uwezo wa Allah utafunguka vifungo vya kijini au kichawi ....
ALLAH NDIO MJUZI ZAIDI... Sharff tiba za kisunna na majini wabaya

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.....KUFUNGUA VIFUNGO....Ndugu zangu leo nawapa faida nyingine tena andika kombe hili na k...
15/05/2025

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.....
KUFUNGUA VIFUNGO....
Ndugu zangu leo nawapa faida nyingine tena andika kombe hili na kisha uloweke kwenye maji ya mvua ya katikati utaandika siku ya ijumaa muda wowote....

Basi kombe hilo litakua na nguvu ya ajabu kufungua vifungo vyote vya kichawi na kijini na pia kufungua nyota na kuondoka mikosi kwenye mwili wako au biashara yako...

Utakunywa na kujipaka mara mbili asubuhi na jioni kwa muda wa siku 14 na ikiwa kwenye biashara basi kuna dawa zinawekwa unachanganya kumwaga kwenye biashara yako kilasiku asubuhi kabla ya kuanza kazi...

In shaa allah kwa uwezo wa Allah utafunguka na na kuleta mvuto kwenye mwili wako au biashara yako...

ALLAH NDIO MJUZI ZAIDI... Sharff tiba za kisunna na majini wabaya

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.....MAHABBA MAKUBWA SANA....Andika talasim hii kwa kalamu ya kawaida lakini isiwe kalamu ...
19/04/2025

أسلام عليكم ورحمة الله وبركاته.....
MAHABBA MAKUBWA SANA....
Andika talasim hii kwa kalamu ya kawaida lakini isiwe kalamu nyeusi tu. Utaandika siku ya Alhamis au Jumapili muda mzuri...

Kisha utaifukiza na mushraka na jawi nyukundu au nyeusi na kuzbara ... Kisha utaiweka sehem husika kulingana na nyota ya mkusudiwa ..

K**a mkusudiwa ananyota ya moto basi utazika kwenye mafiga yanayo tumika na k**a ni udongo basi utazika kizingitini mwa mlango wake au njia panda au kaburini na k**a hewa basi itundike juu na k**a maji utaizika kwenye chanzo cha maji.

Kwa kufanya hivyo basi kwa uwezo wa Allah huyo mkusudiwa atakua na mapenzi makubwa juu yako na kutii amri zako na kukutimizia haja zako kwa idhini ya Allah IN SHAA ALLAH...

ALLAH NDIO MJUZI ZAIDI... Sharff tiba za kisunna na majini wabaya

Address

Mudybakuza@gmail. Com
Nairobi
00100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sharff tiba za kisunna na majini wabaya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram