16/11/2023
For sometime niliacha kuandika iove poems, ju it reached a time Nika discover that love does not exist maybe kwa Disney, penye nitatafuta Cinderella na kiatu k**a ataweza kufit in, ju ile heart ya kufit in Nimekosea,
Nimechoka kuchezewa badala ya kuendelea kuwa uwanja si wacha tu MI pia nikuwe player,
Naskia valentine imekaribia, hiyo day watavalia red nilikuwa nafikiria jezi yangu ya Liverpool but that's another heartbreak siezani,
So hiyo day ntavalia tisho ya black ju I find no beauty in the color of roses moreover they have thorns, I find a lot of beauty in watching stars in the sky, this is just the beauty of nature and I love it,
Heart yangu imepigwa heartbreak nyingi badala ya kuendelea kupenda, wacha tu ipige damu, heart attack si ugonjwa yangu, am still young, nimechoka kupenda mtu alafu baadaye unaambiwa wacha tukuwe tu mabestie, How will I manage that,
Nimechoka kila saa kupenda mtu kila saa lazima ahagiwe na bestie, bestie, bestie nimechoka na hawa mabestie hata MI sitaki kuwa bestie,
Nataka manzi wakumpenda nikimpenda napenda ile ya milele si ati nkikuangalia Naona my future ex,
Nataka manzi mwenye atanipenda pricelessly ju hata nikispend that much on her sitaifeel ju najua ukweli ni ananipenda,
Nataka ule manzi mwenye atataka attension and attending to her will also be attention to me,
Hata k**a hata kuwa na hiyo superbeauty, but tabia zake zitakuwa zinanionyesha she's a woman worth a dime,
Manze, NKO SINGLE.