Matandiko Afya Clinic

Matandiko Afya Clinic TUNAWASAIDIA WATU KUWA NA AFYA BORA NA UCHUMI ULIO IMARA .TUNATIBU MAGONJWA YOTE YASIYOAMBUKIZA.

21/10/2023

Tuonane mlango mmoja piga 0762403214

18/10/2023

Ninawasaidia watu wote kutumia muda wa ZIADA KUJIINGIZIA KIPATO njoo tuzungumze Nipo mlango mmoja jengo la vijana Center Mwanza piga simu namba 0762403214







0762403214

HAKIKISHA unalinda Afya yako kwa kuondoa sumu mwilini                    07624032140629632174
17/10/2023

HAKIKISHA unalinda Afya yako kwa kuondoa sumu mwilini










0762403214
0629632174

*NINI CHANZO CHA GANZI NA MIGUU KUWAKA MOTO ?*• Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dal...
27/12/2022

*NINI CHANZO CHA GANZI NA MIGUU KUWAKA MOTO ?*

• Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.

• Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa kitaalamu Nervous System, ambapo katika mifumo hii kuna mfumo mkuu, central nervous system (ubongo na uti wa mgongo) na pia kuna mfumo wa pembezoni ambao ni kazi za mwili mbali na ubongo na uti wa mgongo (peripheral nervous system), mfumo huu wa pembezoni hujumuisha kazi za misuli, mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula tumboni, uwezo wa kuhisi baridi au joto, kugusa vitu na kujua ukali wa ncha ya kitu na kadhalika.

• Matatizo haya ya kiafya (miguu au mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.

• Dalili .

1. Mtu kuhisi ganzi
2.Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni au mikononi,
3. Kuhisi k**a umevaa soksi au gloves wakati hujavaa,
4. Kuhisi k**a kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,
5. Kushindwa kushika au kunyanyua kitu,
6. Kuchoka kwa misuli na kadhalika.

• Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo naomba uyafahamu:

1. Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva.

3. Uzito mkubwa wa mwili: Hali hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo lionekane tofauti na ilivyo kawaida, kubadilika huku husababisha baadhi ya neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli au uzito wa mwili na hivyo kusababisha neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake ni wewe kuanza kuhisi maumivi au kufa ganzi kwa miguu.

4. Ugonjwa wa kisukari: Mtu mwenye tatizo la kisukari huwa hatarini zaidi kuugua au kupata matatizo ya neva, (diabetic polyneuropathy).

• Shinikizo la damu: Mtu kuwa na shinikizo kubwa la damu (High blood pressure) pia ni kihatarishi kinachoweza kumfanya mtu apate ugonjwa huu wa neva.

• Baadhi ya vitu hatarishi vinavyoweza kumfanya mtu apate matatizo haya, vinaweza kuepukika kwa mtu kuyabadili maisha yake mfano, k**a ulikuwa hufanyi mazoezi ya mwili, basi ujitahidi kuupa mwili mazoezi ili kupunguza uzito wa mwili, kuepuka magonjwa ya kisukari na kuepuka kuwa na shinikizo kubwa la damu, kula chakula chenye virutubisho vya kutosha.

• Msaada Zaidi Call - 0762403214 au 0629632174

Sababu 1 Kwanini ni muhim Kumiliki Biashara Yako Ifikapo 2023..Hivi unajua ya kwamba kadiri miaka inapo zidi kwenda,TEKN...
25/10/2022

Sababu 1 Kwanini ni muhim Kumiliki Biashara Yako Ifikapo 2023..

Hivi unajua ya kwamba kadiri miaka inapo zidi kwenda,

TEKNOLOJIA lnayo inazidi kukua kwa kasi ya juu Sana,

Hivyo kupelekea soko la ajira Kuendelea kuwa GUMU kila kukicha.

Mfano juzi shirika la habari la BBC limewasimamisha kazi wafanyakazi wake,

Takriban 400 na sababu kubwa ni maendeleo ya SAYANSI na TEKNOLOJIA.

Hivyo basi HABARI NJEMA ni kwamba;

Kwa wewe ambae ni MUAJIRIWA na ungependa kuanzisha Biashara yako,

Ambayo haito ingiliana na ratiba za kazini kwako,

Au wewe ni MWANA CHUO umemaliza chuo lakini,

Mpaka sasa hujui wapi pa kushika na umekua TEGEMEZI kwa wazazi,

Au wewe ni MAMA WA NYUMBANI na ungependa kuanzisha biashara ambayo,

Unaweza kuifanya mahali popote hata ukiwa nyumbani?

Au wewe ni kijana upo mtaani tu na huna kabisa kitu cha kufanya,

Tumekuandalia SEMINA kubwa sana ambayo;

Itabadilisha maisha yako na mtazamo Wako k**a utahudhuria,

Katika semina hii tutakufundisha namna gani unaweza kuanzisha biashara Yako,

Kwa muda wako wa ziada, hata k**a upo katika mfumo wa AJIRA au ni MWANA CHUO,

Semina itakua siku ya Ijumaa tar 28.oct.2022,

Nakukaribisha katika semina hii naimani HUTOJUTA KUHUDHURIA

Semina hii itafanyika MWANZA, Jengo la T4 mlango mmoja,

K**a utapenda kuja kujifunza katika semina hii bonyeza link hapo chini

https://bit.ly/3DaT37J

Au piga simu kwa maelezo zaidi
📲0744752685.

22/10/2022

Linda Afya Ya Figo

16/09/2022
16/09/2022

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matandiko Afya Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Matandiko Afya Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram