Mwanga medical CARE

Mwanga medical CARE Afya ni mtaji karibu tukuhudumie

From Under Harsh Condition*SULUHISHO LA SARATANI YA TEZI DUME.*SARATANI ya tezi dume maana yake Ni tezi dume imepata UGO...
26/04/2022

From Under Harsh Condition

*SULUHISHO LA SARATANI YA TEZI DUME.*
SARATANI ya tezi dume maana yake Ni tezi dume imepata UGONJWA was saratani.

Visababishi
Sana nyama nyekundu
mkubwa 50 years
uliokithiri
mazoezi
wa VIRUTUBISHO LISHE
ktk mfumo wa mkojo

DALILI.
+Mkojo KUWA Na damu
+Kukojoa Mara KWA Mara
+Mkojo KUWA Na mtiririko dhaifu
+Kushindwa kukojoa
+Maumivu ya MIFUPA ya nyonga,kiuno
+,Mkojo kutokuisha

SULUHISHO.
Saratani ya tezi dume inatibika bila upasuaji kwa KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE ASILIA ( TIBALISHE) Na KUPONA KABISA.
Epuka madawa yenye KEMIKALI week Oda yako utibu au upate VIRUTUBISHO LISHE ASILIA kujikinga Na UGONJWA huu mbaya.

Mawasiliano.
0693608142

Tupo mikoa yote Tanzania

From Mwanga medical care😍😍😍😍😍😍😍😍😍Mkombozi Wa Kina Dada Huyu hapa Anaitwa Femicare Ukiona Mwanamke Hana Hii Ndani kwakwe ...
17/04/2022

From Mwanga medical care

😍😍😍😍😍😍😍😍😍Mkombozi Wa Kina Dada Huyu hapa Anaitwa Femicare Ukiona Mwanamke Hana Hii Ndani kwakwe Basi Hajipendi Zifahamu kaz 9 za Femicare..
1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D atumie na yunzi
4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)
9⃣ inaondoa michubuko ukeni,.
Wasiliana nasi kupata suluhisho Whatsap au piga simu namba 0622719387 au 0693608142

USING'OE JINO DAWA IPO NI DR TS. TOOTHPASTE (Yaani Daktari wa Meno)  Imetokana na mchanganyiko asilia wa viambata K**a v...
21/03/2022

USING'OE JINO DAWA IPO NI DR TS. TOOTHPASTE (Yaani Daktari wa Meno)

Imetokana na mchanganyiko asilia wa viambata K**a vile Green tea,Honeysuckle na Notogingseng,Kazi Zake ni K**a Vile... Ing'arisha Meno Yanakua Meupe

•Kuua vijidudu katika kinywa

•Kuondoa harufu mbaya mdomoni

•Kuponya fizi zinazotoa damu

•Kusaidia kutoa ganzi ya meno

•Kuondoa maumivu makali ya meno

•Kusaidia fangasi ya koo,na sehemu zingine

•Kukausha majeraha ya kuungua au kujikata

•Ni salama zaidi kwani haina madini ya fluoride badala yake kuna mimea mchanganyiko

• imethibitishwa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba Tanzania

Wasiliana nasi kwa huduma
WhatsApp :0622719387

  WEWE NI HUYU?-una uzito ulipitiliza-una tumbo kubwa kiasi kwamba umbo  halisi la mwili limetoweka-umezidi unene mpaka ...
21/03/2022

WEWE NI HUYU?
-una uzito ulipitiliza
-una tumbo kubwa kiasi kwamba umbo halisi la mwili limetoweka
-umezidi unene mpaka unashidwa kufanya baadhi ya kazi
-unene uliopitiliza mpaka mpaka unapelekea matatizo ya upuaji
-Kitambi

Usiogope njoo sasa upunguze mwili wako urudi katika umbo la kawaida
Upunguze ukubwa wa mwili na mafuta mwilini kwa VIRUTUBISHO LISHE bila kutumia dawa ambazo hazina kemikali zozote.

Wasiliana nasi kwa huduma

WhatsApp: 0622719387

SULUHISHO LA SARATANI YA TEZI DUME.SARATANI ya tezi dume maana yake Ni tezi dume imepata UGONJWA was saratani. Visababis...
21/03/2022

SULUHISHO LA SARATANI YA TEZI DUME.
SARATANI ya tezi dume maana yake Ni tezi dume imepata UGONJWA was saratani.

Visababishi
Sana nyama nyekundu
mkubwa 50 years
uliokithiri
mazoezi
wa VIRUTUBISHO LISHE
ktk mfumo wa mkojo

DALILI.
+Mkojo KUWA Na damu
+Kukojoa Mara KWA Mara
+Mkojo KUWA Na mtiririko dhaifu
+Kushindwa kukojoa
+Maumivu ya MIFUPA ya nyonga,kiuno
+,Mkojo kutokuisha

SULUHISHO.
Saratani ya tezi dume inatibika bila upasuaji kwa KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE ASILIA ( TIBALISHE) Na KUPONA KABISA.
Epuka madawa yenye KEMIKALI week Oda yako utibu au upate VIRUTUBISHO LISHE ASILIA kujikinga Na UGONJWA huu mbaya.

Mawasiliano.
WhatsApp:0622719387

17/03/2022

Pressure kupanda na kushuka
Njoo tukupe HUDUMA na ushauri uepukane na tatizo hilo
Ahsante

JE, UNASUMBULIWA NA TATIZO LA INI AU FIGO na changamoto za UNENE au sumu mwilini?*FAIDA ZA DETOXILIVE* *Bidhaa Hii ni Mu...
17/03/2022

JE, UNASUMBULIWA NA TATIZO LA INI AU FIGO na changamoto za UNENE au sumu mwilini?

*FAIDA ZA DETOXILIVE*
*Bidhaa Hii ni Muhimu sana Kwa kila BINADAMU kutokana na kazi zake MWILINI hasa katika organs muhimu K**a vile Figo ,Ini ,Mapafu ,Kongosho ,Ubongo na nk ,

Tunatumia vyakula ,Vinywaji na Madawa yenye kemikali na Sumu lakini hatuli vitu vinavyo toa sumu mwilini habar njema ni kwamba DETOXILIVE ni suluisho

Hizi ni Baadhi ya Faida za DETOXILIVE
1.Huondoa sumu mwilini.
2.Inaimarisha ubongo na kutunza kumbukumbu
3.Inaondoa madhara ya pombe kwa wanywaji na kulinda INI na FIGO
4.Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilin, baada ya kula hutumiwa Kuzuia kuota vitambi,
5.Inaondoa sukari iliyozid mwilin Na ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu (presha)
6.Huondoa hali ya uzee wa sura na mwili kabla ya wakati
7.Ina ondoa URIC ACID ilio zidi mwilini
8.Huondoa maumivu ya viungo hasa kwenye maungio kwan unbalance kiwango cha uric acid
9.Inaimarisha UTENDAJI KAZI MZURI na kuzuia madhara kwenye FIGO,INI,KONGOSHO,mapafu
10.Inaleta usingizi Mzuri sana
11.Huondoa hali ya uchovu uchovu usio na sababu
Wasiliana nasi kwa namba
WhatsApp:0622719387
Au tuma ujumbe wa sms kwa namba :0693608142

NI NINI CHANZO CHA FUNGUS UKENI NA TIBA ZAKE. Wasiliana nasi kupata suluhisho kwa changamoto zote ya kiafya 0622719387 a...
17/03/2022

NI NINI CHANZO CHA FUNGUS UKENI NA TIBA ZAKE. Wasiliana nasi kupata suluhisho kwa changamoto zote ya kiafya 0622719387 au 0693608142

katika muendelezo wa makala zetu za afya ya wanawake na watoto leo nitazungumzia ugonjwa wa fangasi ukeni ambao ni common hususani kwa wanawake,
maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75%ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili
maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS, maambukizi haya pia hujulikana k**a YEAST INFECTIONS /THRUSH
CANDIDA ALBICANS hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia Chakula (PHARYNX), kibofu cha mkojo, uume au katika uke pia.
~▪bacteria Hawa huishi katika sehemu hizo Bila kuleta madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika, yanapobadilika, MFANO mabadiliko katika Hali ya PH tutambue PH ya mwanamke ndani ya uke ni 4.0_4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali k**a vile MATUMIZI YA MADAWA YA ANTIBIOTICS k**a AMPICILLINE, CIPROFLAXINE, AMOXYLINE, DOXYCYCLINE, ERTHROMYCINE, NK pia kupungua kwa Kinga kutokana na magonjwa mbalmbali .
~maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷
(1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
(2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha k**a maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk

VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA FANGASI KATIKA UKE
·》 Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri
·》 magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer)
·》 wanawake wenye umri wa miaka 20_30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia
·》 upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk
·》 matumizi ya vidonge vya majira
·》 msongo wa mawazo
·》 kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (a**l s*x)
·》 matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia
· 》kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
~》ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini
~》kuwa na utapiamlo (malnutrition
~》kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur
~》kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri

DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI
·♡ kuwashwa sehem za siri
·♡ kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
·♡ kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation
·♡ kupata vidonda ukeni (soreness
·♡ kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (l***a minora
·♡ kupata maumivu wakati wa kukojoa
·♡ kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au MZITO au majimaji
NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini

MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI
Matibabu ya ugonjwa huu wa fangasi hupatikana kwa urahisi Tanzania na tiba hupatikana na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi na majibu yalivyotoka pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospital sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana tatzo hili huwa Linajirudia baada ya muda fulani, pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kujiknga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kufanya mambo yatakayotusaidia kutopata ugonjwa huu kwa kuzingatia kanuni ya afya na USAFI

·● Vaa chupi ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au hariri epuka kutumia chupi aina ya synthetic underwear.
·● epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi haya
·●kula mlo wenye virutubsho muhimu ●tumia virutubisho vyetu ambavyo vitaondoa matatizo yoote katika njia za uzazi..ukiagiza utaletewa haraka
·● epuka kuoga maji ya moto sana (Hot baths) tumia maji ya uvuguvugu
·● osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji Safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa Safi
·● epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
·● kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture Mara kwa Mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni
·● epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (s*x toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
·● epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni.
Karibu kwa maswali na ushaurii

Kwa kuwasiliana nasi whatsap namba hapo chini 0622719387

*MADHARA YA KULA MCHELE AU VYAKULA VIBICHI*🌟Madhara  yatokanayo na tabia ya kula mchele huwapata watu wa  jinsia yoyote ...
17/03/2022

*MADHARA YA KULA MCHELE AU VYAKULA VIBICHI*
🌟Madhara yatokanayo na tabia ya kula mchele huwapata watu wa jinsia yoyote na hali zote
Kuna Mambo Manne yanayosababisha watu kula vitu visivyozoeleka kulika ,Mambo hayo ni
1.✅Ujauzito
2.✅Matatizo ya akili (psychosis)
3.✅Pica (ugonjwa sugu wa akili unaompelekea muathirika kula vitu k**a nguo ,misumari ,karatasisi ,nywele ,vyakula vibichi k**a nyama ,damu ,Mchele...
4.✅Upungufu wa madini katika mwili wako.
🌟Visababishi Vya Kula vitu Hivyo ni Pamoja na...
1✅Ujauzito -Wakati mwingine hutokea mabadiliko ambayo huathiri mwili kwa madini na vitamins.
2.✅Njaa,hali ya njaa na uvivu wa kupika huweza kusababisha mtu kula vyakula vibichi.
3✅Tabia na Mazoea yakujaribu vitu Fulani hupelekea watu kula vyakula vibichi k**a Mchele.
🌟MADHARA YAKE.
Chakula chochote kibichi na sio mchele tu kina madhara mwilini
Tukiongelea mchele kuna bacteria anayeitwa *bacillus cereus* huyu ni bacteria mwenye tabia ya kuwepo kwenye nafaka mbichi au zilizopikwa kidogo bakteria huyu huishi sehemu ambayo haina oksijeni,
Bakteria huyu husabibisha ugonjwa unaoletwa na vyakula vibichi unaosumbua mfumo wa chakula...
_*Pathogenesis Endospore Cereolysin and phospholipase C)_ foodborn disease*
✨Kuna utafiti mchache unaodhibitisha kuwa baadhi ya makundi ya bakteria huyu huweza kuzuia (probiotics) vimelea hatari k**a Salmonella visabishi vya magonjwa k**a Typhoid, lakini B.cereus huyu ndiye anabaki kuwa hatari zaidi kuliko hawa wengine (wapo 😎
Asilimia 2-5 ℅ ya magonjwa ya tumbo hutokana na huyu bakteria

🌟Magonjwa ya moyo k**a Bacterial Endocarditis hasa kwa watumiaji wa madawa ya kulevya wanaojidunga huweza pia kusababishwa na bacteria huyu
🌟Ushauri Na Tiba
Kwa muathirika wa Tabia ya kula vyakula vibichi weka nia ya dhati kuacha tatizo kula vyakula hivi na utambue madhara yake.
✨Jaribu kuwa karibu na matunda,ili kwamba mara unapohisi kula vyakula vibichi, chukua matunda yako na utumie.
Pia K**a umepata madhara ya kula vyakula vibichi usisite kuongea nami na utasaidiwa,.
Wasap/call au 0622719387 au 0693608142
Mwanga medical care
YourHealthy,OurPriority

BILA SHAKA UMETUMIA DAWA NYINGI KUTIBU TATIZO LAKO BILA KUPONA! Wasiliana nasi kupata suluhisho la kudumu kwa changamoto...
17/03/2022

BILA SHAKA UMETUMIA DAWA NYINGI KUTIBU TATIZO LAKO BILA KUPONA! Wasiliana nasi kupata suluhisho la
kudumu kwa changamoto zote za kiafya.
Whatsap au piga simu: 0622719387 au 0693608142
Tunapatikana mikoa yote Tanzania

NGUVU ZA KIUME ZINATIBIKA.🚹XPOWER MAN PLUS CAPSULESLEO NI ZAMU YA WANAUME,👨‍🔬🌟👇👇👇👇👇100% kiasili na mtishamba. Hii ina fa...
17/03/2022

NGUVU ZA KIUME ZINATIBIKA.
🚹XPOWER MAN PLUS CAPSULES
LEO NI ZAMU YA WANAUME,👨‍🔬🌟👇👇👇👇👇
100% kiasili na mtishamba. Hii ina faida zifwatazo;

✅Huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa
✅Hufungua mirija midogodogo ya kwenye uume na kukuwezesha kukaa mda mrefu kwenye tendo la ndoa
✅Huongeza uwezo wa uzalishaji wa mbegu za kiume zenye afya
✅Huondoa tatizo la maumivu kwenye uume ukiwa umesimama
✅Huondoa tatizo la uume kusimama ukiwa legelege
✅Huondoa stress na kuboresha mfumo wa damu kwa mwanaume
✅Huondoa uchovu na maumivu ya mgongo. Kwa msaada zaidi piga 0622719387 au 0693608142 au Tuma ujumbe,nami ntauona.

ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE SIKU IZI WAMEKUA WAKIPATA MATATIZO YA NGOZI HII  HUTOKEA KWA SABABU YA MLO WANAOKULA,KAZI WAN...
14/03/2022

ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE SIKU IZI WAMEKUA WAKIPATA MATATIZO YA NGOZI HII HUTOKEA KWA SABABU YA MLO WANAOKULA,KAZI WANAZOFANYA PIA LA HALI YA MAISHA WALIYO NAYO... SULUHISHO LA KUNYANZU ,MABAKABAKA KWENYE NGOZI,CHUNUSI SUGU PIA MATATIZO YA NYWELE KUKATIKA , MATATIZO YA MACHO ...NJOO SASA TUKUPATIE FEMINERGY URUDISHE UREMBO WAKO SASA
WEWE K**A BABA WA FAMILIA NA UNAHITAJI KUFURAHIA UREMBO WA MKE WAKO BINTI YAKO KUTOKANA NA MATATIZO YA NGOZI ALIYO NAYO FEMINERGY NDO KIBOKO YA KILA KITU

WASILIANA NAMI KWA KUPATA HUDUMA HII
BONYEZA SEHEMU YA WHATSAPP NITUMIE UJUMBE UPATE HUDUMA
AHSANTE.

WASILIANA NAMI KUPATA HUDUMA HII MAALUMU KWA MFUMO WAKO MZIMA WA UZAZI.-RUDISHA HESHIMA YAKO YA NDOA -RUDUSHA HESHIMA KW...
12/03/2022

WASILIANA NAMI KUPATA HUDUMA HII MAALUMU KWA MFUMO WAKO MZIMA WA UZAZI.
-RUDISHA HESHIMA YAKO YA NDOA
-RUDUSHA HESHIMA KWA MWENZA WAKO
XPOWER MAN COFFEE NDO FURAHA YA MWANAUME
WASILIANA NAMI KWA WHATSAPP NAMBA
+255 622719387
ILI UWEZE KUPATA TIBA YA TATIZO LAKO ULILO NALO
TUNAJALI AFYA YAKO NA HESHIMA YAKO
AHSANTE KARIBU.

12/03/2022

KARIBU UPATE MATIBABU YALIYO NA 100% KUPONA KWA MUDA MFUPI
MWANGA MEDICAL CARE KWA AFYA ILIYO BORA..

MWANGA MEDIACAL CARE KWA TIBA ILIYO BORA NA YA 100% KARIBU TUKUHUDUMIE
12/03/2022

MWANGA MEDIACAL CARE KWA TIBA ILIYO BORA NA YA 100% KARIBU TUKUHUDUMIE

12/03/2022

KARIBU MWANGA MEDICAL CARE KWA MATIBABU YA MATATIZO YA KIAFYA
TUNATOA ELIMU PIA PIA TIBA KWA VIRUTUBISHO LISHE AMBAVYO HAVINA KEMIKALI NA HAKUNA MADHARA UKIWA UNATUMIA TIBA YETU NI KWA MAGOJWA YOTE MFANO
KISUKARI
VIDONDA VYA TUMBO
VIMBE KWENYE MWILI
U.T.I SUGU
TATIZO LA MAUMIVU MAKALI KIPINDI CHA HEDHI
MATATIZO YA MACHO
FIGO
MATATIZO YA MIFUPA
MATATIZO YA NGOZI
AFYA YA MTOTO
MATATIZO YA MENO
FANGASI, MIWASHO,HARUFU MBAYA SEHEMU ZA SIRI(KWA WANAWAKE)
N.K
KARIBU TUKUHUDUMIE AHSANTE.

09/02/2022

Bawasili imekua ni tatizo sugu kwa watu wengi .
Hii hutokana na mzungukonwa maisha ya MWANADAMU kupitia chakula chake anachotumia pia kazi mbalimbali mbalimbali anazofanya.
Lakini wengi wao wamekua wakiishia kufanya operations ili kuweza kutibu tatizo hili la kuotwa na kinyama katika njia ya haja kubwa .
Kwanini upate taabu ya kufanya operation za tatizo hili akati tiba bila operations ipo na unapona tatizo linaisha kabisa.
Karibu tukuhudumie
Kwa mawasiliano piga
Simu namba
+255 693608142
Pia tuma ujumbe wa sms kwa suluhisho la tatizo hili.
Tunajali ,tunatoa tiba bora popote ulipo Tanzania

Address

Arusha

Telephone

+255622719387

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanga medical CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwanga medical CARE:

Share