Uzazi healthy care

Uzazi healthy care your best health patneer from USA

076 380 5631JINSI YA KUONDOKANA NA  MATATIZO YA HEDHI &KUPATA HEDHI KWA MPANGILIOTafiti zinaonyesha wanawake wenye tatiz...
25/01/2022

076 380 5631

JINSI YA KUONDOKANA NA MATATIZO YA HEDHI &KUPATA HEDHI KWA MPANGILIO

Tafiti zinaonyesha wanawake wenye tatizo la kutokwa na HEDHI mfululizo / nyingi sana wana hatari ya kupata

Kuvurugika kwa Hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza kuona mzunguko wake bila tarehe maalumu ,na matokeo yake ni mwanamke kushindwa kutumia mzunguko wake kwa sababu haueleweki

*Hedhi nzito muda mrefu huchangia mwanamke kupata tatizo la upungufu wa damu

SABABU ZA MATATIZO YA HEDHI

●Mabadiliko ya mazingira ambayo hupelekea mwili pia , hasa mwanamke akitoka sehemu zenye mazingira ya joto na kwenda sehemu zenye baridi au kutoka sehemu zenye baridi kwenda kwenye joto

●Msongo wa mawazo , (stress) Hofu & woga

●Uvimbe kwenye kizazi , kwenye ovaries na mirija ya uzazi

●Matatizo kwenye mfumo wa hormones , yaani hormonal imbalance

●Mimba kuharibika

●Maambukizi ya bacteria kwenye via vya uzazi P.I.D

●Matatizo ya Fungus na U.T.I muda mrefu ambayo hupelekea kutokwa na uchafy sehemu za siri kwa mwanamke

MADHARA ya kupata hedhi Bila mpangilio inapelekea mwanamke kukosa uzazi / ujauzito , mimba kutunga nje ya kizazi ,

Matatizo ya mfumo wa hedhi yanatatulika ,

kwa ushauri na msaada kwa maradhi haya ya mfumo wa hedhi tupigie simu

watsup / call

07638 056 31

FAHAMU KUHUSU U.T.I NA FANGASI SUGU.U.T.I na fangasi ni tatizo kubwa ambalo huwapata wanawake wengi duniani mara kwa mar...
25/01/2022

FAHAMU KUHUSU U.T.I NA FANGASI SUGU.

U.T.I na fangasi ni tatizo kubwa ambalo huwapata wanawake wengi duniani mara kwa mara. Husababishwa na bakteria anaitwa E. coli ambaye huwa wanaishi kwenye utumbo mnene sehemu za tundu la haja kubwa, mwanamke anaambukizwa kirahisi sababu anapokuwa anachuchumaa kwenye haja kubwa au ndogo.
Madhara yake kwenye kibofu cha mkojo baada ya kuwa wengi wanahamia mwenye figo, ndio maana leo hii wanawake wengi wanaumwa figo. Figo zao zimeharibika sababu ya U.T.I. na kufa kifo cha ghafla.
Tafiti zinaonyeshwa kuwa nchini marekani watu milioni nane (8.1m) hupata U.T.I kila mwaka.

MIWASHO.
Kawaida mwanamke ana ulinzi ukeni kwake, yaani bakteria wazuri wanaishi kule kwa ajili ya kulinda uke, japo pia bakteria wabaya wanaishi kule lakini kwa uwiano, ya kwamba wale wazuri wanakuwa wengi ,kuliko wabaya . Sasa ikitokea kwamba wale bacteria wabaya wakawa wengi, hapo ndio utaona miwasho kwa mwanawake haishi kujikuna mara kwa mara.

FANGASI.
Inasababishwa na jamii ya fungi anaitwa CANDIDA. Seli za fangasi na bacteria wazuri huishi ukeni bila tatizo lolote.Tatizo linakuja endapo ukuaji wa fangasi hawa ukeni watakuwa wengi kushinda wazuri. Basi hapo ndio inapotokea ugonjwa wa fangas na miwasho mingi.

DALILI ZA U.T.I
1. Kukojoa mara kwa mara.
2. Mkojo kuwa na harufu kali.
3. Kusikia kichefu chefu na kupatika.
4. Maumivu ya misuli na tumbo hasa chini ya kitovu.
5. Kusikia maumivu wakati wa kukojoa.
6. Maumivu ya kiuno.
7. Kuwashwa sehemu za siri.
8. Kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana.
9. Kupata vidonda vya ukeni.
10. Kuvimba na kuwa mwekundu kwa mdomo wa inje wa uke.
11. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri baada ya tendo la ndoa.
12. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji.

VISABABISHI VYA FANGASI.
1. Mabadiliko ya homoni katika kipindi cha upevushwaji wa mayai kwa mwanamke kipindi cha ujauzito, utumiwaji wa uzazi, wa mpango na kukoma kwa hedhi.

2. Upungifu wa kinga mwilini: Mtu mwenye upungufu wa kinga mwilini k**a vile mwenye kuugua kansa, ukimwi, magonjwa mbalimbali yenye kupunguza kinga ya mwili.

3. Kukosa usingizi stress, vidonda sehemu za siri,matumizi ya antibiotics, kuweka marashi sehemu za siri.

4. Watu wanaougua kisukari ambao hawawezi kudhibiti kwa kutumia dawa za kisukari, inakuwa kwenye damu na hicho kisukari ndiyo chakula kikuu cha hao fangasi.
Hata wanawake ambao wanapenda kula vyakula vya sukari nyingi k**a vile chocolates, soda, na vingine vyenye sukari nyingi ambavyo ni chakula cha fangasi.

5. Mazingira ya joto hii inamaanisha nguo ambazo tunatakiwa kuvaa k**a vile chupi za cotton hasa kwa wanawake, hazihitaji joto sababu bacteria wabaya wanakuwa wengi sana na kusababisha miwasho na FANGAS

6. Kondomu na mbegu za kiume huharibu hali ya asidi iliyopo ukeni ambayo ni ya muhimu sana maana inasaidia kukinga uke usiingiliwe na bacteria wabaya.

MADHARA MAKUBWA YA FANGASI NA U.T.I.
Kupatwa kwa ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) maambukizi katika via za uzazi na kupelekea kuwa ngumba, ndio maana wanawake wengi ni wagumba.

NAMNA YA KUJILINDA NA U.T.I NA FANGASI.
1. Tumia viini lishe na virutubisho i.e food supplements.
2. Kunywa maji mengi angalau glasi nane kwa siku.
3. Epuka matumizi ya pombe na kahawa.
4. Kunywa maji kabla ya kufanya mapenzi na kojoa baada ya kufanya mapenzi.
5. Jitawaze kuanzia mbele kwenda nyuma. (Front to Back)
6. Kata makucha marefu kwa sababu unavyokwenda chooni kujitawaza huwa baadhi ya uchafu unabaki kwenye makucha na ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa na U.T.I inayojirudia mara kwa mara.
7. Tumia pads ukiwa kwenye period.
8. Ebuka kujipulizia pafyumu kwenye sehemu za siri.
9. Vaa nguo za ndani za pamba na epuka nguo zilizobana sana.

SULUHISHO LA WENGI.
Watu wengi wanapokuwa na U.T.I huenda kupewa antibiotics ambazo huenda kuua bakteria wazuri na matokeo yake baada ya muda U.T.I inarudi kwa kasi sana.

SULUHISHO BORA LA KUDUMU.
Tunazo bidhaa za asili zinazoondoa tatizo hili moja kwa moja.. haijalishi umetumia dawa na sindano kiasi gani, bidhaa hizi zitakufanya usipate magonjwa haya daima.

Wasiliana nasi kwa namba 0763 805 631. Au fika kwenye ofisi zetu zilizopo kaloleni arusha.

Address

Kaloleni
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi healthy care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram