
01/12/2024
UTUMAJI WA MIZIGO MIKOANI
Jiko Tiba, inapenda kukujulisha mizigo tumatuma kwa uaminifu na ndani ya muda
Ndani ya mwezi huu wa Desemba uliobakia, Jiko Tiba imeamua kutoa punguzo la bei kwa 50% ambayo ni OFA ya kibabe. Hakuna kufunga mwaka kinyonge tena.
Ulikuwa unataka mwani na hujui vile utapata kwa bei poa? Sasa, Jiko Tiba imesikia maombi yako na kuyazingatia
BEI ZA FUNGA MWAKA PRO NI K**A IFUATAVYO
SEAMOSS POWDER
Seamoss powder 125gm - 10,000/=
Seamoss powder 250gm - 25,000/=
Seamoss powder 500gm - 40,000/=
Seamoss powder 1kg - 75,000/=
SEAMOSS GEL
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=
KARIBU SANA TUKUHUDUMIE