
13/10/2024
Mayai yaani OOCYTES huanza kutengenezwa mtoto wa k**e akiwa Tumboni mwa mama Ake,
..mtoto wa k**e anapozaliwa huzaliwa na mayai takriban million MBILI(2million eggs),
lakin anapokua mpaka Kuvunja Ungo mayai huwa yamepungua na kufika mayai LAKI 5(500,000).
Haya ndiyo HUTUMIKA, kila siku za hatari yai MOJA au zaidi kupevushwa.
Ili yai LIPEVUSHWE, lazima Mfumo wa Homoni (Hypothalamus-pituatary gland-ovarian Axis,lutenaizing homon, FSH) uwe stable.,
Ubongo na mfuko wa mayai husaidiana ku balance Hizi homoni.
K**a Homoni HAZIJABALANCE, sio RAHISI KUPATA MIMBA maana mara nyingi kunakuwa hakuna Upevushaji wa yai..
K**a Haupati siku zako, au una bleed damu kidogo sana, au mzunguko haueleweki,
..k**a HAUPATI UTE SIKU ZA HATARI(ute unaovutika, Mweupe k**a ute wa Yai),
..na Pia HAUPATI MIMBA uwezekano una Mvurugiko wa HOMONI.(HORMONAL IMBALANCE) hivyo haupevushi Mayai....
Habari Njema ni Kwamba changamoto hii Inatibika, Asa unapochukua hatua Mapema
Hivyo Fanya Kuongea na Daktari Wa Magonjwa ya Kina Mama kupata msaada.
Au Unaweza nitumia Ujumbe kupitia Whatsappp no: 0615537800, Dr EMMANUELI kupata Msaada Zaidi.