Aria na afya

Aria na afya PATA USHAURI WA CHANGAMOTO MBALI ZA KIAFYA KWA MTAALAMU MARIA MAPUNDA
wa.me /0746154624

Dalili Kuu za Ugonjwa wa Mapafu1. Kikohozi.  Kisichotoweka au kinachozidi.2. Damu kwenye makohozi. Kutoa damu au makohoz...
12/07/2024

Dalili Kuu za Ugonjwa wa Mapafu

1. Kikohozi. Kisichotoweka au kinachozidi.
2. Damu kwenye makohozi. Kutoa damu au makohozi yenye damu.
3.Kupumua kwa shida. Hisia ya ugumu katika kupumua.
4. Homa. Kuwa na joto la mwili kupanda.
5. Maumivu ya kifua. Maumivu wakati wa kupumua au kukohoa.
6.Kuchoka haraka. Uchovu hata baada ya shughuli ndogo.
7.Uchovu wa mwili. Kijiko cha mwili kuwa dhaifu.

Madhara ya Ugonjwa wa Mapafu

1.Kupungua kwa uwezo wa kupumua. Kusahau kufanya shughuli za kawaida.
2.Kushindwa kwa moyo. Kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo.
3.Maambukizi ya mara kwa mara. Kuongeza hatari ya pneumonia.
4.Kuvunjika kwa tishu za mapafu. Kuathiri uwezo wa mapafu kufanya kazi.
5.Kifo. Katika hali mbaya, ugonjwa wa mapafu unaweza kusababisha kifo.

Dalili Kuu za Ugonjwa wa Mapafu1.Kikohozi Kisichotoweka au kinachozidi.2.Damu kwenye makohozi.  Kutoa damu au makohozi y...
12/07/2024

Dalili Kuu za Ugonjwa wa Mapafu

1.Kikohozi Kisichotoweka au kinachozidi.
2.Damu kwenye makohozi. Kutoa damu au makohozi yenye damu.
3.Kupumua kwa shida. Hisia ya ugumu katika kupumua.
4.Homa. Kuwa na joto la mwili kupanda.
5.Maumivu ya kifua. Maumivu wakati wa kupumua au kukohoa.
6.Kuchoka haraka. Uchovu hata baada ya shughuli ndogo.
7.Uchovu wa mwili. Kijiko cha mwili kuwa dhaifu.

Madhara yanayo tokana na Ugonjwa wa Mapafu

1.Kupungua kwa uwezo wa kupumua. Kusahau kufanya shughuli za kawaida.
2.Kushindwa kwa moyo. Kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo.
3.Maambukizi ya mara kwa mara. Kuongeza hatari ya pneumonia.
4.Kuvunjika kwa tishu za mapafu. Kuathiri uwezo wa mapafu kufanya kazi.
5.Kifo. Katika hali mbaya, ugonjwa wa mapafu unaweza kusababisha kifo.

09/02/2024
06/02/2024

Hapo juu πŸ‘†πŸΏπŸ‘†πŸΏ ni Mchakato wa DIALYSIS

Wakati wa kufanya dialysis, damu hutolewa mwilini kupitia bomba jekundu, hupitishwa kwenye mashine ya dialysis, kusafishwa uchafu wote wa shughuli za mwili na kisha kuingizwa tena ndani ya mwili kupitia bomba la bluu.

Utaratibu huu unarudiwa kwa saa 4 wakati mgonjwa akiwa ametulia kitandani.

Utaratibu huo unafanywa mara 3 kwa wiki, sawa na mara 12 kwa mwezi na kila wakati inachukua saa 4, ambayo ni sawa na masaa 48 kwa mwezi.

Kwa wale ambao hawajaathirika, mchakato huu wa kusafisha damu unaofanywa na figo hutokea moja kwa moja mara 36 kila siku katika mwili wako bila jitihada au usumbufu wowote hata wakati unaendelea na shughuli zako.

Mshukuru Mungu na utunze vizuri figo zako.

Punguza Ulaji wako wa:
Kafeini (kahawa, soda, chai, chocolate, redbull...)

Paracetamol
Pombe
Chumvi
Sukari

Ongeza kufanya yafuatayo:
Muda wa kulala (usiopungua masaa 6);
Mazoezi,
Muda wa kupata mwanga wa jua,
Unywaji wa maji,
Ulaji wa Matunda/mbogamboga safi

Afya Yako Ndio Utajiri Wako.πŸ™πŸΌπŸ‘ŒπŸ’―πŸŽ― *La muhimu zaidi, mpe Utukufu Mungu anayekufanyia dialysis mara kadhaa kila siku, na humlipi hata senti moja.
Ili kuepukana na hatali ya ugonjwa wa figo kufeli au kutolewa figo wasiliana nasi kwa matibabu mapema kwa namba zifuatazo
0715518237 au 0746154624

05/02/2024

TIBA ASILI YA MAGONJWA YA WANAWAKE.
K**a vile U.T.I suguUvimbe kwenye kizazi bila upasuwajikuvurugika kwa hedhi.
Wasiliana nasi kwa tiba na matibabu ya bei nafuu popote ulipo Tanzania kwa namba zifuatazo; 0715518237 au 0746154624.

Magonjwa mbalimbali yanayo  sababisha upungufu wa NGUVU za KIUME. Tazama picha za apo chini zinaeleza juu ya ayo magonjw...
22/06/2023

Magonjwa mbalimbali yanayo sababisha upungufu wa NGUVU za KIUME. Tazama picha za apo chini zinaeleza juu ya ayo magonjwa.
Kwa suluhisho LA magonjwa mbalimbali ikiwemo ago apo chini. Wasiliana nasi kwa kupitia namba wa.me/0746154624.

Kwa suluhisho LA magonjwa ya wanawake k**a vile P.I.D, U.T.I sugu, Uvimbe kwenye kizazi, maoteo sehemu za sili, maumivu ...
20/06/2023

Kwa suluhisho LA magonjwa ya wanawake k**a vile P.I.D, U.T.I sugu, Uvimbe kwenye kizazi, maoteo sehemu za sili, maumivu wakati was tendon LA ndowa, fangasi sehemu za sili. nk. Wasiliana nasi kwa kupitia namba hiyo apo
Was.me/0746154624

20/06/2023

Kwa suluhisho LA magonjwa ya wanawake. K**a vile P.I.D, U.T.I sugu, uvimbe kwenye kizazi , Uke mkavu, kuvurugika kwa homoni( hormone imbalance), maoteo sehemu za sili. nk. Wasiliana nasi kupitia namba hiyo apo chini.
0715518237

Address

Arusha

Telephone

+255746154624

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aria na afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Aria na afya:

Share