
03/06/2023
*Ukiachana Na Usingizi,, Unajuwa Kitu Gani Kingine Kinaweza Kuathiri Afya Yako…??*
*Leo nakuletea kigongo kingine ambacho kwa namna Moja ama nyiigine kinaweza kukupata Au unacho mpaka sasa…*
*Je Unajuwa Kitu Kinaitwa Uchafu sehemu Za Siri Kwa Mwanamke?…*
*Na Je Uliwahi Kufaham Ni Aina Ngapi Ya Uchafu Umtokao Mwanamke?…*
*KULA CHUMA HIKI* 😂😂👇👇👇…
Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni ni Miongoni mwa dalil za magonjwa ambayo huathiri na hupatikana kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke…
kitaalam huitwa na kujulikana k**a **PID(PELVIC* *INFLAMMATORY DISEASES* *AU MAAMBUKIZI YA MAGONJWA*
*KATIKA VIA VYA UZAZI)…**
*UGONJWA WA PID NI NINI??*
Ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya
uzazi wa mwanamke ...
ambapo huusisha maambukizi
katika shingo ya kizazi ( *CERVICITIS),* nyama katika mfuko
wa uzazi ( *ENDOMETRITIS* ) na mirija ya uzazi
( *SALPINGITIS* ),maambukizi haya huwa sugu na huchukua mda kupona endapo atashindwa kujitibia kwa muda muafaka...
*Zifuatazo Ni Aina 6 Za uchafu Umtokao Mwanamke…*
Huu uchafu maranyingi huwa wa rangi
●YA NJANO
●MAZIWA
●KAHAWIA
●KIJIVU
●KIJANI
●PINK NA DAMU
**VYANZO NA VIHATARISHI* *VYA KUPATA* *UGONJWA WA*
*PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)… .**
Vimelea aina ya *NEISSERIA* *GONORHOEAE* pamoja na
*CHLAMYDIA TRACHOMATIS*…
ndio chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa *PID* ingawaje kuna aina
kadhaa za vimelea vinahusishwa kusababisha ugonjwa
wa PID hivyo nilivyotaja ndio vinaongoza Kwa umaarufu
kusababisha ugonjwa wa PID…
~pamoja na vimelea hao kuwa chanzo kikuu cha
ugonjwa wa PID zipo njia kadhaa hatarishi
Kusababisha maambukizi…..
*NAYA NAZO NI ÷*
*VISABABISHI*… .
ugonjwa huu husababishwa
👉Kufanya ngono isiyo salama/kinga
👉Kusafisha kizazi mara kwa mara
👉Matumizi ya kemikali kujisafishia ukeni mfano sabun n.k
👉kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi(IUCD)
k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango mf; kitanzi, kijiti n.k
👉Maambukizi ya njia za uzazi mara baada ya kujifungua
au mimba kuharibika
👉Kuambukizwa kupitia damu yenye vimelea wa PID
👉Kupata maambukizi wakati wa kutoa mimba kwa njia
isiyo salama
👉Matumiza ya antibiotics ya mara kwa mara ambayo kimsingi huua bakteria wanaolinda uke kushambuliwa na magonjwa
*DALILI*…
Baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na wengine huwa za kawaida… .
🎈Kuwashwa sehemu za siri
🎈Uke kutoa harufu mbaya
🎈Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
🎈Sehemu za uke kuwa laini sana
🎈Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
🎈Kukosa hamu ya tendo la ndoa
🎈Hedhi kuvurugika au hedhi isiyo na mpangilio
🎈Kutokwa majimaji ukeni yasiyo ya kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani
🎈Kupata maumivu wakati wa kukojoa
🎈Homa, uchovu, kizunguzungu na kukosa hamu ya kula(kichefuchefu)
🎈Wakati mwingine kutokwa usaha
Mwanamke kupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya
chini ya kitovu
🎈Kutokwa na uchafu (utoko) mweupe ukeni unaotoa
harufu mbaya.
*MADHARA*…
♦️Ugumba k**a tatizo liki dumu kwa mda mrefu:…
Hali hii hutokea pale mashambulizi au maambukizi yanapofika kwenye mirija na kuleta uvimbe ambao huziba au kusababisha kutengenezwa kwa maji machafu mazito ambayo nayo huziba mirija na kuharibu mimba kila inapotungwa… .
Mwanamke hufikia hali ya kutoa harufu mbaya wakati wote hata k**a ameoga na kuvaa vizuri.
♦️Kansa ya shingo ya kizazi
♦️Mirija ya uzazi kuziba
♦️Kujaa maji kwenye mirija ya uzazi
♦️Kukosa ute wa ovulation unaoashiria siku za hatari
♦️Majeraha kwenye kizazi.
Je Umekua ukiteseka na PID kwa muda mrefu?….
Je umekuwa ukiteseka na harufu mbaya sehemu zako za Siri??? ....
Je umekuwa ukiteseka na uchafu unaokukera sehem zako za Siri??….
Moh HEALTHY CARE ndo suluhisho la changamoto yako sasa…
Karibu ushauriwe namna nzuri ya kuweza kuepuka na kujikinga na changamoto hizi leo…
Na k**a hali yako tayri unayo usjali tunaweza kuizuia na kutoendelea kabsa...
Na k**a umetumia dawa nyingi kias gan au report ya doctor inasemaje ..nakuhakikishia matokeo sahihi juu ya changamoto yako leo...
**WASILIANA NASI KWA:*
*whatsapp/piga*
0752806290
[ ] 《 *Tunajali Na Kuthmini* *Afya Yako...Karibu Sana* 》□