Tiba ya magonjwa sugu kwa wote.

Tiba ya magonjwa sugu kwa wote. Kuhakikisha unaafya bora ndio faraja yetu..

*JE! UNASUMBUKA NA CHANGAMOTO HIZI NA HUJUI UFANYEJE?*1.Uvimbe kwenye kizazi2.vidonda vya tumbo3.P.I.D4.Kisukari 5. Sara...
02/11/2022

*JE! UNASUMBUKA NA CHANGAMOTO HIZI NA HUJUI UFANYEJE?*

1.Uvimbe kwenye kizazi
2.vidonda vya tumbo
3.P.I.D
4.Kisukari
5. Saratani
6. Ujauzito kuharibika mara kwa mara.
7. Mirija ya uzazi kuziba
8. Bawa siri
9. Maumivu ya mgongo
10. Hormonal imbalance
11. Uzito na unene kupindukia
12. Shinikizo la damu
13. Miguu kuvimba na kuwaka moto.
14. Kukosa mtoto
15 U.T.I na fangasi zilozo shindikana
16. Matatizo ya hedhi. *(kuvurugika kwa mzunguko na maumivu makari wakati wa hedhi)*

17. Magonjwa ya ngozi.
18. Kukosa hamu ya kula
19. Kukosa usingizi
20. Magonjwa ya uzeeni
21. Mtindio wa ubongo
22. Kifafa
23. Magonjwa ya macho.
24. Upungufu wa nguvu za kiume
25. Ukavu ukeni
26. Kupungukiwa damu mara kwa mara
27. Moyo kutanuka
28. Magonjwa ya ini
29. Appendix *(kidole-tumbo)*

30. Tumbo kujaa gesi
31. Sumu mwilini
32. Cycle-cell
33. Mimba kutungwa nje ya kizazi
34. Gout
35. Magoti kuuma. Nk.........

Wasiliana nasi leo kwajili ya tiba ya kudumu na ushauri
sms/piga sim/WhatsApp namba +255765961482
karibu sana🙏🙏🙏

AU

Bonyeza link hapa chini kupata msaada wa haraka
👇🏿👇🏿👇🏿👇👇👇
https://wa.me/255765961482?text=Nahitaji%20ofa%20ya%20tiba

DALILI ZINAZOASHIRIA UNAFUNGUS UKENI (jitibie mapema* ) *✍muwasho makali Sehemu Za Siri ( unaweza kuja na kupotea)* ✍ *v...
27/10/2022

DALILI ZINAZOASHIRIA UNAFUNGUS UKENI (jitibie mapema* )

*✍muwasho makali Sehemu Za Siri ( unaweza kuja na kupotea)*
✍ *vipele Vidogo Vidogo Ukeni*
✍ *kutokwa Uchafu Mweupe mzito K**a mtindi Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya*
✍ *Vidonda Au Michubuko Ukeni*
✍ *kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni*
✍ *kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa*
✍ *kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke*
✍ *kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke*.

👇👇👇MADHARA YA *FUNGUS ISIPOTIBIWE MAPEMA
👉 Maumivu wakat wa tendo la ndoa
👉uke kuwaka moto
👉mimba kuharibika
👉kutokupata ujauzito kwa muda mrefu 👉homon imblance
👉harufu mbaya ukeni
👉uke kuwa mkavu n.k*

KWA USHAULI NA TIBA TUPIGIE
Sms 0678961482
Piga sms 0765961482 au WhatsApp

K**a bado hujapata hio changamoto epuka hivyo vitu Na K**a tayari unahio changamoto hakikisha unaifanyia kazi mapema Pen...
27/10/2022

K**a bado hujapata hio changamoto epuka hivyo vitu
Na K**a tayari unahio changamoto hakikisha unaifanyia kazi mapema

Pengine unajiuliza ntaondokana nayo vipi ??
Ili kuondokana na tatizo moja kwa moja hakikisha unajua vyanzo vya tatizo then baada ya hapo tumia virutubisho ambavyo vitatibu kuanzia chanzo na tatizo lenyewe

Ukitaka muongozo sahihi wa Nini utumie tuma neno AFYA kwenda WhatsApp number+255765961482

*HIZI NDIZO FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA PAPAI*  ```UTANGULIZI``` Asili ya mpapai ni Amerika ya Kati na kuanzia kwa matunda, ...
11/10/2022

*HIZI NDIZO FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA PAPAI*

```UTANGULIZI```
Asili ya mpapai ni Amerika ya Kati na kuanzia kwa matunda, majani na utomvu wa mmea huu hutumiwa kutengenezea dawa maeneo mbalimbali duniani. Vilevile, matunda na utomvu wake hutumika kutengeneza pombe na mvinyo katika baadhi ya nchi, huku wengine wakitumia mpapai kutengenezea dawa kwa ajili ya mifugo na binadamu. Katika makala haya nitaangazia tu faida za papai na namna linavyotajwa katika nyanja za afya. Nitaangalia kwa kifupi faida hizo bila kuingia ndani zaidi. Hizi ndizo faida za kiafya za kula papai.

*FAIDA ZA PAPAI HIZI HAPA*
1. *PAPAI NI KATIKA MATUNDA YANAYOINGIZA AFYA SANA KWENYE MWILI WA BINADAMU.*
Papai lina vitamin C na vitamini A kwa wingi pia kuna potassium na folate. Pia tafiti zinaonesha kuwa antioxidant aina ya lycopene iliyomo kwenye papai husaidia katika kuzuia kupata saratani.

2. *TUNDA HILI PIA LINA;*
vitamin B, vitamin E na vitamin K. Pia lina madini ya calsium (kashiam) potassium, magnessium na copper.
Pia _punje za papai_ ni dawa kwa baadhi ya matatizo ya ini na figo. Pia kwenye papai kuna protelytic enzymes hii husaidia katika kuuwa bakteria na minyoo pamoja na wadudu wengine hatari ndani ya tumbo (mfumo wa kumeng’enya chakula).

3. *PAPAI LINATABULIKA KWA KUWA NA UWEZO WA KUULINDA MWILI NA MARADHI YA UZEE*
k**a macho, misuli na kuzeeka kwa haraka. Ndani ya papai kuna Zeaxanthin hii ni anti oxidant ambayo inakazi ya kuchuja miale hatari ya jua. Pa inaaminika kuwa antioxidant hizi husaidia katika afya ya macho na husaidia katika kudhibiti kudhoofu kwa misuli.

4. *VILEVILE PAPAI HUAMINIKA KUSAIDIA KUPUNGUZA HATARI YA KUWA NA UGONJWA WA PUMU.*
Hupunguza hatari ya kuuguwa pumu. Ndani ya papai kuna virutubisho vingi, lakini uwepo wa beta-carotene ndani ya papai husaidia kwa wagonjwa wenye pumu.

5. *ULAJI WA ANTIOXIDANTS ZILIZOPO KWENYE PAPAI MFANO BETA-CAROTENE HUSAIDIA KATIKA KUPUNGUZA ATHARI ZA KUPATA MARADHI YA SARATANI KWA VIJANA.*
Ulaji wa tunda hili husaidia katika kudhibiti upatikanaji wa saratani ya kwenye via vya uzazi hasa saratani ya korodani.

6. *PAPAI NI KATIKA MATUNDA YALIYOBEBA VITAMINI K AMBAVYO NI MUHIMU KATIKA AFYA YA MIFUPA*
Hivyo ulaji wa tunda hili husaidia katika kuimarisha afya ya mifupa na kudhibiti kupasuka kwa mifupa. Vitamin k vilevile husaidia katika ufyonzwaji wa madini ya calcium na huzuia upotevu wa madini haya kupitia mkojo. Kumbuka madini haya pia ni muhimu katika kuimarisha na kudhibiti afya ya mifupa.

7. *TAFITI ZA KISAYANSI ZINAONYESHA KUWA PAPAI NI TUNDA LINALOFAA KWA WENYE KISUKARI.
Tunda hili lipo katika kundi la vyakula vyenye maji kwa wingi. Tafiti zinaonesha kuwa watu wenye kisukari type 1 diabetes wameweza kupunguza kiwango cha sukari mwilini mwao. Wakati huohuo watu wenye kisukari type 2 diabetes wameweza kuimarisha kiwango cha sukari mwilini pamoja na kiwango cha homoni ya insulin.

8. *PAPAI PIA LINA ENZYMES ZINAZOITWA PAPAIN HIZI HUSAIDIA KATIKA MMENG'ENYO WA VYAKULA*
Pia k**a tulivyo sema papai lina maji nmengi na kambakamba vyote kwa pamoja husaidia katika upatikanaji wa choo na kusaidia katika kudhibiti mmeng’enyo wa chakula.

9. *MADINI YA POTASSIUM (aina ya chumvi) NA VITAMIN VILIVYOMO KWENYE PAPAI HUSAIDIA KATIKA KULINDA AFYA YA MOYO DHIDI YA MARADHI HATARI YANAYOSHAMBULIA MFUMO WA USUKUMWAJI WA DAMU MWILINI.*
Ulaji wa madini haya huku ukipunguza ulaji wa madini ya sodium (chumvi hii tunayotumia) husaidia katika kuulinda moyo dhidi ya maradhi hatari k**a shambulio la moyo, presha na kiharusi (stroke).

10. *KATIKA PAPAI KUNA CHEMBECHEMBE YA CHLORINE*
haya ni muhimu katika kusaidia miili yetu hasa kulala, kujongea kwa misuli (kukunja na kukunjuka, kutanuka na kusinjaa). Vilevile husaidia katika kulinda mpangilio wa utando wa seli, husaidia katika kutunza kumbukumbu pamoja na kujifunza yaani kusoma.
Pia husaidia katika ufyonzwaji wa fati (mafuta). Kwa ufupi tunda hili lina matumizi mengi sana k**a ukuaji wa nywele na kuzifanya zing’ae, kupona kwa vidonda, ukuaji wa tishu na ukuaji wa mwili kwa ujumla. Na haya yote ni kutokana na kuwepo kwa vitamin C na vitamin A.

```HITIMISHO;```
Nimalizie kwa kusema kuwa matunda ni dawa. Ni vyema kujitahidi kula matunda na mboga za majani mara kwa mara. Pia viungio vya mboga k**a vitunguu, tangawizi, bamia na karoti viungio hivi ni muhimu sana.

Hi there 👋👋Natumaini tu wazima wa afya na tunaendelea vizuri.. Leo ni siku nzuri sana kwako.. Kwakua tunasomo maalumu am...
11/10/2022

Hi there 👋👋
Natumaini tu wazima wa afya na tunaendelea vizuri..
Leo ni siku nzuri sana kwako..
Kwakua tunasomo maalumu ambalo linagusa maisha ya watu wengi sana..
Nalo ni kuhusu BAWASIRI.. Twende pamoja sasa hadi mwisho upate kitu kitachokusaidia👏👏
*UGONJWA WA BAWASIRI ~CHANZO, DALILI & TIBA*

```UTANGULIZI```
Bawasiri ni uvimbe wa mishipa iliyo ndani na karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa au kwenye puru ya chini. Bawasiri huasiri mfumo wa mmeng’enyo hasa utumbo mkubwa chini mwishoni. Karibu asilimia 50 ya watu wazima hupata dalili za bawasiri na umri wa kawaida na hadi miaka 50 na zaidi.
*AINA ZA BAWASIRI*

*Bawasiri inaweza kuwa ya ndani au nje*.
👉Bawasiri za ndani hua ndani ya sehemu ya haja kubwa au puru.
👉Bawasiri ya nje huendelea nje ya sehemu ya kutolea haja kubwa.
Bawasiri pia hujulikana k**a *(Marundo)*.

Bawasiri ya nje ni ya kawaida na yenye shida zaidi. Bawasiri husababisha maumivu, kuwasha hasa sehemu ya haja kubwa, na ugumu wa kukaa. Kwa bahati nzuri, zinatibika.
*CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI*
Bawasiri hutokea pindi mishipa inayozunguka sehemu ya kutolea haja kubwa kwa ndani kwenye kuta zake kuumia au kukandamizwa kwa kushuka chini na kuvimba.
Bawasiri inaweza kukuza kutoka kwa shinikizo lililoongezeka kwenye puru ya chini kwa sababu ya:
1️⃣Kuwa na Kinyesi kigumu (Constipation).

2️⃣Kuketi kwa muda mrefu kwenye choo.

3️⃣Kuharisha (Kuhara) mara kwa mara.

4️⃣Kuvimbiwa.

5️⃣Kuwa mnene au mzito.

6️⃣Kuwa mjamzito

7️⃣Kuingiliwa nyuma kimaumbile

8️⃣Kutokula vyakula vyenye nyuzinyuzi.

9️⃣Kuinua/Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara.

1️⃣0️⃣Kunyoosha wakati wa haja kubwa.
DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI
Ishara na dalili za bawasiri kawaida hutegemea aina ya Bawasiri

*BAWASIRI YA NDANI*

Bawasiri ya ndani iko ndani ya sehemu ya kutolea haja. Kawaida huwezi kuziona au kuzihisi, na mara chache husababisha usumbufu. Lakini kukaza au kuwasha wakati wa kupitisha kinyesi kunaweza kusababisha:

➡️Kutoa haja/kinyesi chenye damu na maumivu yasiyo makali. Unaweza kuona kiasi kidogo cha damu nyekundu kwenye haja yako.

➡️Maumivu na muwasho sehemu ya haja

*BAWASIRI YA NJE*
Hizi ziko chini na nje ya ngozi karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa. Ishara na dalili zinaweza kujumuisha:

📌Kuwasha katika maeneo yaliyozunguka sehemu ya haja kubwa

📌Maumivu au usumbufu

📌Kuvimba kuzunguka sehemu ya kutolea haja kubwa

📌 Mara nyingine yaweza Kuvujadamu au k**a michubuko

📌Kutokwa na kinyama baada ya kwenda haja.

*HATARI/MATOKEA YANAYOTOKANA NA BAWASIRI*

Shida za bawasiri ni nadra lakini ni pamoja na:

🔥Upungufu wa damu.
Mara chache, upotezaji wa damu sugu kutoka kwa bawasiri unaweza kusababisha upungufu wa damu, ambayo hauna seli nyekundu za kutosha za damu kubeba oksijeni kwenye seli zako.

🔥Bawasiri sugu /iliyoshonwa. Ambayo inaweza kusababisha maumivu makali.

*JINSI YA KUEPUKANA NA UGONJWA WA BAWASIRI*

Njia bora ya kuepuka/kuzuia bawasiri ni kuweka kinyesi chako laini, kwa hivyo hupita kwa urahisi. Ili kuzuia bawasiri na kupunguza dalili za bawasiri, fuata vidokezo hivi:

1. Kula vyakula Asilia kwa wingi. Kula matunda zaidi, mboga mboga na nafaka nzima(zisizokobolewa). Kufanya hivyo kunalainisha kinyesi na kuongeza wingi wake, ambayo itakusaidia kuepukana na shida inayoweza kusababisha bawasiri.

2. Kunywa maji mengi. Kunywa glasi sita hadi nane za maji (au lita 2~3) na vimiminika vingine k**a chai au juisi za matunda halisi (sio pombe) kila siku kusaidia kuweka kinyesi laini.

3. Kula virutubisho vya nyuzi. Watu wengi hawapati kiwango cha nyuzi kilichopendekezwa – gramu 20 hadi 30 kwa siku – katika lishe yao. Uchunguzi umeonyesha kuwa virutubisho vya nyuzinyuzi, k**a vile psyllium (Metamucil) au methylcellulose (Citrucel), huboresha dalili za jumla na kutokwa na damu kutoka kwa bawasiri.

4. Vuta pumzi kisha shikilia pumzi yako wakati wa kujaribu kupitisha kinyesi kutengeneza shinikizo kubwa kwenye mishipa kwenye shimo la kutolea kinyesi puru ya chini.

5. Nenda haja mara tu unapohisi hamu. Ikiwa unasubiri na hamu inakwenda, kinyesi chako kinaweza kukauka na kuwa kigumu kupitisha.

6. Fanya mazoezi. Kua imara kunasaidia kuzuia kuvimbiwa na kupunguza shinikizo kwenye mishipa, ambayo inaweza kutokea kwa muda mrefu wa kusimama au kukaa. Mazoezi pia yanaweza kukusaidia kupoteza uzito kupita kiasi ambao unaweza kuchangia Bawasiri.

7. Epuka kukaa kwa muda mrefu. Kukaa muda mrefu sana, haswa kwenye choo, kunaweza kuongeza shinikizo kwenye mishipa kwenye sehemu ya haja.

*MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA UZAZI(PID)*Maelezo Ya Utangulizi Kuhusu PIDMaambukizi kwenye njia ya uzazi au kwa kifupi PID,...
19/03/2022

*MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA UZAZI(PID)*
Maelezo Ya Utangulizi Kuhusu PID
Maambukizi kwenye njia ya uzazi au kwa kifupi PID, ni mambukizi ya bacteria yanayoathiri sana wanawake kwenye mfumo wa uzazi. Na kuweza kuleta athari katika sehemu zozote kwenye njia ya uzazi. Moja ya athari za PID ambayo wanawake hupata ni kutoweza kushika mimba yaani ugumba.

Tafiti zinasema kati ya wanawake nane waliowahi kuugua PID basi mmoja wao atakutana na shida kupata mimba kwa siku za hapo baadae. Huku wale wanaofanikiwa kupata ujauzito basi hupata matatizo pia ikiwemo mimba kuharibika au kujifungua kabla ya wakati.

🛑 *Nini kinasababisha PID??*
Wataalamu wa afya wanaamini kwamba magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa ipasavyo hasahasa gonorrhea na chlamydia yanaongoza kwa kusababisha PID. Japo kuna baadhi ya wanawake wanaugua PID pasipo magonjwa ya zibnaa. Pengine kutokana na maambukizi ya kawaida ya bacteria(bacteria vaginosis)

💫 *Nini Maana Ya Pelvic Inflammatory Disease(PID)*
PID
Athri za PID kwenye kizazi
Maana halisi ya PID ni hali ya kututumka au kucharuka kwa sehemu ya njia ya uzazi kwa mwanamke kunakosababishwa na athari ya bakteria, fungus au hata virusi kwenye kizazi. Sehemu hizi zinazoathiriwa ni k**a mirija ya uzazi na mifuko ya mayai yani o***y.

*PID inaweza kusambaa*
Maambukizi kwenye njia ya uzazi (PID) yana tabia ya kusambaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Ndio maana kuna umuhimu wa kutibu tatizo hili mapema. Maambukizi haya yanaweza kusambaa kutoka kwenye uke mpaka sehemu zingine za uzazi wa mwanamke k**a mirija ya uzazi, mifuko ya mayai(ovari) na kwenye shingo ya kizazi(cervix).

Maambukuzi haya yanaweza kusababisha makovu kwenye mirija ya uzazi na kupelekea kupata ectopic pregnancy . Ectopic ni mimba iliyotungwa na kushindwa kusafiri kuelekea kwenye mfuko wa mimba(uterus) kutokana na majeraha kwenye mirija.

💫 *Dalili Za PID*
zinatofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine. Kwa baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na kwa wengine dalil huwa za kawaida. 0688910318

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 09:00
Tuesday 09:00 - 09:00
Wednesday 09:00 - 09:00
Thursday 09:00 - 09:00
Friday 09:00 - 09:00
Sunday 09:00 - 09:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba ya magonjwa sugu kwa wote. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba ya magonjwa sugu kwa wote.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram