SOBER HOUSE Arusha ngaramtoni

SOBER HOUSE Arusha ngaramtoni Help an addict by bringing the addict to sober house

23/06/2025
Tafakari
18/06/2025

Tafakari

Utumiaji wa bangi huongeza hatari maradufu ya kufa kutokana na ugonjwa wa moyo, kwa mujibu wa uchambuzi mpya wa utafiti wa kitabibu uliyohusisha watu milioni 200 wengi wao wakiwa kati ya umri wa miaka 19 na 59.
Mwandishi mkuu wa utafiti huo Émilie Jouanjus, profesa mshiriki wa famasia katika Chuo Kikuu cha Toulouse, Ufaransa anasema "Kilichoshangaza zaidi ni kwamba wagonjwa waliohusika waliolazwa hospitalini kwa shida hizi walikuwa bado vijana na bila historia ya ugonjwa wa moyo na mishipa au kutumia tumbaku."
Na kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa Jumanne kwenye jarida la Moyo (The journal Heart) ni kwamba ikilinganishwa na wasiotumia bangi na wale waliotumia pia walikuwa na hatari kubwa ya asilimia 29 ya mshtuko wa moyo na hatari kubwa ya asilimia 20 ya kufikwa na kiharusi.
Dokta Lynn Silver, profesa katika sekta ya tiba kutoka Chuo Kikuu cha California, San Francisco anasema "Hii ni moja ya tafiti kubwa zaidi hadi sasa juu ya uhusiano kati ya bangi na ugonjwa wa moyo, na inazua maswali mazito juu ya dhana kwamba bangi inachagiza hatari ndogo ya moyo na mishipa."
Utafiti huo haukuwauliza watu jinsi walivyotumia bangi k**a vile kuvuta sigara, kunyunyiza na kutumia k**a chakula, lakini hata hivyo kulingana na data zinaonesha kuna uwezekano kwamba bangi ilitumika kwa namna ya kuvutwa katika visa vingi. Utafiti unapingwa na utafiti lakini bado una nafasi ya kutoa maoni yako.

Tafakari chukua hatua dawa za kulevya ni hatari kwa afya ya akili 078866436507856336960654403061Kwa msaada wa walioathir...
18/02/2025

Tafakari chukua hatua dawa za kulevya ni hatari kwa afya ya akili
0788664365
0785633696
0654403061
Kwa msaada wa walioathirika tiba iliyothibitishwa na mamlaka ya kitengo Cha kuzuia dawa za kulevya

01/02/2025

From depending on Marvel to making Marvel depend on him. 🔥❤

22/01/2025

ONYO: MADHARA YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA!

Dawa za kulevya zinaharibu maisha yako, familia yako, na ndoto zako. Matumizi yake husababisha:

Afya Mbaya: Magonjwa ya moyo, ini, figo, na matatizo ya akili.

Kuvunjika kwa Familia: Migogoro ya kifamilia na upotevu wa imani.

Kupoteza Ndoto: Kushindwa kufanikisha malengo yako ya maisha.

Tabia za Uhalifu: Kuhusika na wizi, unyang’anyi, na ukosefu wa amani.

Kifo cha Mapema: Dawa za kulevya zinaua polepole.

USIKATE TAMAA, MSAADA UNAPATIKANA!

Olmotonyi Recovery Soberhouse ipo kwa ajili yako! Tunatoa:

Ushauri Nasaha: Kukusaidia kuelewa madhara na jinsi ya kuacha.

Matibabu: Huduma za kitaalamu kurejesha afya yako.

Rehabilitation Program: Mafunzo ya kukusaidia kuanza maisha mapya.

Mazingira Salama: Mahali pa amani, upendo, na msaada wa dhati.

USIKUBALI DAWA ZA KULEVYA ZIKUHARIBIE MAISHA. TUPO HAPA KUKUSAIDIA!

Piga simu sasa kwa:
0788664365
0680145882
0758206855

Au fika moja kwa moja Olmotonyi Recovery Soberhouse, Arusha.
Chagua Maisha, Chagua Afya, Chagua Mustakabali Bora!

21/01/2025

TANGAZO: MSAADA KWA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA

Je, wewe au mpendwa wako unakabiliwa na changamoto ya matumizi ya dawa za kulevya? Usikate tamaa! Kuna msaada wa karibu kwako.

Soberhouse ya Olmotonyi, iliyopo Ngaramtoni, ni kituo cha kuaminika kinachotoa huduma bora za:

Ushauri nasaha wa kitaalamu.

Matibabu ya urekebishaji wa tabia.

Mazingira salama na yenye utulivu kwa ajili ya uponyaji.

Msaada wa kijamii na kiroho.

Tunajali mustakabali wako na tunataka kukusaidia kufikia maisha ya afya na matumaini mapya.

Wasiliana nasi leo!
Simu:

0788664365

0758206855

0785633696

Kituo: Olmotonyi Recovery Soberhouse, Ngaramtoni.

Fanya uamuzi wa mabadiliko leo, safari ya maisha mapya inaanza hapa!

19/07/2024

Tusaidiane kutokomeza matumizi ya vilewesho

19/07/2024

Address

NGARAMTONI YA JUU
Arusha
2087

Website

http://www.dcea.go.tz/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SOBER HOUSE Arusha ngaramtoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to SOBER HOUSE Arusha ngaramtoni:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram