30/11/2022
JIFUNZE HAPA AFYA YA WANAWAKE.
NJIA SALAMA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU KIPINDI CHA HEDHI.
Maumivu kipindi cha hedhi ni kitu kinachokosesha raha na kukera sana kwa wanawake wengi. Maana kinaweza kutatiza shughuli zako za kila siku k**a masomo, biashara na hata shuguli za kiofisi. Tatizo la maumivu kipindi cha hedhi kwa kitaalamu tunaita dysmennorrhea.
Tumeleta kwenu makala hii yenye uchambuzi wa kina kwa tatizo hili linalowatesa kinamama wengi na wadada. Utajifunza nini maana yake, tatizo linaanza vipi na namna gani utumie njia rahisi nyumbani kwako kupunguza makali ya maumivu.
Dysmenorrhea Ni Kitu Gani?
Dysmenorrhea ni jina la kitabibu kwa maumivu kipindi cha hedhi. Maumivu ambayo hutokana na kusinyaa kwa misuli ya mji wa mimba. Wakati wa hedhi misuli husinyaa, ili kuruhusu kumeguka kwa ukuta na kutoa damu iliyochanganyika na yai ambalo halikurutubishwa nje. Maumivu haya yamegawanyika katika aina mbili
Aina Ya Kwanza Ya maumivu ya Kawaida (Primary Dysmenorrhea)
Maumivu haya ni ya kawaida kabisa kwa wanawake wanapopitia kipindi hikia ambacho hujirudia kila mwezi. Maumivu kikawaida huanza kati ya siku moja ama mbili kabla ya hedhi kuanza kutoka. Mwanamke hujiskia mamumivu haya kwenye tumbo la chini, kwenye nyonga na kiuno kwa ujumla.
Maumivu haya yanaweza kuwa madogo au yakawa makali sana na huisha ndani ya masaa 12 mpaka 72. Yanaweza kuambatana na kutapika na kupata kizunguzungu. Kwa wanawake wengi maumivu haya ambayo ni ya kawaida kabisa hupungua kadiri umri unavoenda na pia pale mwanamke akijifungua.
Maumivu Aina Ya Pili Yasiyo Ya Kawaida (Secondary Dysmenorrhea)
Maumivu haya ni kutokana na tatizo fulani la kiafya kweye via vya uzazi vya mwanamke. Changamoto k**a vile uvimbe ambayo siyo wa saratani ndani ya mfuko wa mimba (uterine fibroids), kukua kwa tishu laini za mfuko wa mimba kuelekea kwenye viungo vingine k**a uke na mifuko ya mayai (endometriosis).
Na pia kupanuka kwa ukuta wa uterus kutokana na kukua kwa tishu za ndani za uterus kuelekea ukuta wa nje (adenomyosis). Maumivu haya pia yasiyo ya kawaida yanaweza kuwa yamesababishwa kwa athari za bacteria ama virusi katika via vya uzazi.
Kikawaida maumivu haya huanza mapema zaidi wakati wa hedhi ya huchukua muda mrefu zaidi kuisha ukilinganisha na maumivu yake ya kawaida (primary dysmenorrhea). Na pia maumivu haya yanakuwa hayaambatani na kutapika, kuharisha, kizunguzungu wala kukosa nguvu na ganzi.
Maumivu Kipindi Cha Hedhi Kwa Kiasi Kikubwa Hulenga Katika Viungo Hivi
• Via vya uzazi-k**a maumivu yako ni kutokana na kukua Zaidi kwa tishu za uterus basi maumivu husambaa hadi kwenye tumbo la uzazi.
• Tumbo la chini-huathirika pia na maumivu haya kwa kiasi kikubwa, k**a maumivu haya ni kutokana na kukua kwa tishu za uterus basi mwanamke anahisi k**a ameunguzwa na kitu cha moto kwenye tumbo.
• Maumivu ya chini ya mgongo- mara nyingi hutokana na kukua kwa tishu za uterus kuelekea kwenye uke na pia kwenye mifuko ya mayai.
• Miguu– maumivu yanaweza pia kutekea kwenye hips yakishuka chini ya miguu na kufanya mwanamke kushindwa kutembea .
• Maumivu ya kisaikologia hutokea pia kwa kiwango kukubwa kwa wanawake ambao maumivu yao ya hedhi ni kutokanana kukua tishu za uterus bila mpangilio, wanawake hawa huapata msongo wa mawazo kutokana na kufikiri kwamba
• Pengine tatizo la uvimbe haliwezi kupona na hakuna dawa
• Ama hawataweza kupata mtoto kwa siku za baadae
• Mahusiano ya Rafiki ama wapenzi wao yatavunjika k**a wakijua ana tatizo la uvimbe
• Ama kufikiri jinsi ambavyo ahawatafanya kazi zao kwa ufasaha na kutofurahia maisha k**a mwanzo walipokuwa wazima.
Nini Chanzo Cha Maumivu Kipindi Cha Hedhi?
Maumivu haya hutokana na kitendo cha misuli ya uteras kukaza na kusinyaa. Kitendo hichi huratibiwa na homoni ya prostaglandins. Ni kawaida kwa uterus ambao ni mfuko unaobeba mimba kusinyaa kipindi chote cha mzunguko wa hedhi ambacho huchukua siku 28.
Lakini utofauti ni kwamba wakati wa kutoa hedhi yenyewe mfuko huu husinyaa na kujikaza zaidi na hivo kukatisha hewa safi ya oyygen kufika kwenye misuli ya mfuko huu wa mimba. Maumivu ni matokeo ya kukosekana kwa muda kwa hewa ya oxygen kwenye baadhi ya misuli ya uterus.
Nini Cha Kufanya Pale Unapopata Maumivu Kipindi Cha Hedhi
Kuna njia nyingi ambazo husaidia kupunguza maumivu ya hedhi ambazo unaweza kutumia ukiwa nyumbani kwako pasipo kwenda hospitali. K**a mauvimu ni makali sana unaweza
• Kumeza dawa za kukata maumivu k**a asprini na ibuprofen kwa ahueni ya haraka. Angalizo: dawa za maumivu isiwe ni nia ya kutumika kila mara kwani madhara yake ni makubwa kiafya, dawa hizi zitumike kwa uangalifu.
• Tumia maji ya uvuguvugu kukandakanda mahali pa tumbo la chini ukiwa umelala chali
• Usitumie vinywaji na vyakula vyenye caffeine mfano majani ya chai na kahawa
• Fanya masaji kwenye upande wa chini wa mgongo na sehemu ya tumbo la chini.
• Pata muda mwingi wa kupumzika
• Weka ratiba ya kufanya mazoezi mara kwa mara, tafiti zinasema wanawake wanaofanya mazoezi hupunguza maumivu ya hedhi kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na wasiofanya mazoezi.
Ni Kipindi Gani Unatakiwa Kumuona Daktari Ili Kupata Matibabu Na Ushauri Zaidi.
K**a maumivu yako ni makali zaidi kuliko kawaida na yanachukua zaidi ya siku . Hakikisha unamwona daktari wako haraka, kwanini?. Kwasababu yawezekana maumivu yako siyo ya kawaida na yaweza kuwa una uvimbe ama maambukizi ya bacteria na virusi kwenye mfuko wa mimba.
Hivo kuwahi hospitali itasaidia kutibu tatizo lako mapema kabla halijawa kubwa. Pia tunashauri kuwahi kumwona daktari kwa sababu ukuaji wa tishu za mfuko wa mimba unahusishwa na kusababisha saratani ya shingo ya kizazi, na hivo kujua chanzo cha tatizo lako mapema kutasaidia kulitibu mapema.
WASILIANA NASI: 0768 277936 AU 0628 575618.
Tiba Kupitia Virutubisho Vya WomenPlus.
WomenPlus:
Dawa ni asili au tiba lishe na imetengenezwa nchini Malaysia kupitia mimea na matunda na madini mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha afya ya via vya uzazi na kupambana na maradhi mbalimbali ya wanawake, mchanganyiko wa AMLA EXTRACT ambayo ina vitamin C kwa wingi hivyo huimarisha kinga na kulinda seli , MANJA-KANI ni mchanganyiko mwingine unaosaidia organ za wanawake, inaondoa fangusi na bakteria kwenye via vya uzazi, pia inatibu vidonda na maambukizi kwenye via vya uzazi na pia WomenPlus ina BULGARIAN ROSE EXTRACT ambayo inasaidia sana kuondoa sumu(detoxify) na kujenga afya yako. Kwa muda mfupi ambao tumekuwa tukihudumia wagonjwa wetu wa matatizo ya hedhi na homoni, tumepokea shuhuda lukuki.
Baada ya kutumia WomenPlus tegemea kupata matokeo haya
• Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi kuisha kabisa
• Homoni kubalansi
• Mzunguko wa hedhi kurekebishika na kuanza kupata kila mwezi
• Hedhi yako kuwa nyepesi ya kawaida na
• Kizazi kuimarika sana hata kuongeza uwezo wa kushika mimba k**a wewe ni muhanga wa kukosa mimba kwa muda mrefu.
Bei ya WomenPlus ni Tsh elfu themanini na tisa na ni offer kwa mwezi huu wa December, 2022, tumeamua kufunga mwaka kwa kutoa zawadi za bidhaa 100 tu (89,000/= wahi maana zikiisha bei itarudi 100,000 k**a awali).
Tunatoa Ushauri na tiba kwenye maeneo mengi mfano:
• Sababu za mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa.
• Hatua tano za kurudisha nguvu za kiume.
• H.Pylori
• Bawasiri
• Ni ipi dawa asili ya kutibu fangasi ukeni (vaginal candidiasis)
• Ugonjwa wa kifafa ni nini?
• Fatty liver-Mafuta Kwenye ini, Visababishi, Dalili Na Tiba Lishe.
• Maradhi ya kiharusi, jinsi unavoweza kuepuka na kutibu.
• VIDONDA VYA TUMBO, JINSI YA KUGUNDUA NA KUTIBU.
JIUNGE NA PROGRAM ZETU ZA AFYA:
• Diabetes natural reverse package
• Tiba ya ugumba kwa mwanamke kupitia Tiba Lishe.
• Hatua tano za kurudisha nguvu za kiume.
• Digestive care package.
• Weight loss natural supplements.
• Cancer care package.