Tiba Ya Harufu Mbaya Ukeni

Tiba Ya Harufu Mbaya Ukeni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba Ya Harufu Mbaya Ukeni, Medical and health, Arusha.

Ninawasaidia wanawake kuondokana na kero ya harufu mbaya ukeni na kukosa hedhi kwa muda mrefu kwa kutumia ushauri wa chakula hai na mtindo wa maisha kwani unatibu 100% na tatizo halirudi tena

U.T.I ninini? kwanini ikutese na kwanini umekubali vijidudu vidogo vikutese ? Mazoea ya kutumia majani ya mchai chai yat...
10/03/2022

U.T.I ninini? kwanini ikutese na kwanini umekubali vijidudu vidogo vikutese ?

Mazoea ya kutumia majani ya mchai chai yatakusaidia kutupilia mbali UTI

🙂NIMETESEKA SANA NIFANYE NINI ?

1.chukua majani 5-7 ya mchai chai ,majani 5 ya mparachichi ,majani 5 ya mstaferi na kipande Cha alovera chenye urefu wa inch 3 yaani kidole 1 Kisha weka robo kikombe Cha majani ya mwarobaini Kisha yachemshe kwa pamoja katika maji ya lota 1 au 1 na nusu kwa dakika 20 .

Kinywa robo kikombe asubuhi na robo kikombe jioni kabla ya kula

2.Tumia matunda asubuhi hasa nanasi na ndizi

3.kunywa maji ya kutosha angalau glass 6 kwa siku

⁉️Safisha vyoo na mabafu kwa sabuni ,Acha kila maandazi na chapati namikate na sembe kwani vyakula hivi hichocheaukuaji wa wadudu .

JIUNGE NA DARASA LA FANGASI NA UTI BUTE kwa kubonyeza link hapa chini

https://chat.whatsapp.com/DjXsGFtTjgI40rcADM6S3P

CNC

Hedhi inatoka bila kukoma ? unatumia vidonge lakini mwisho inatoka tu ? Unaziba na nguo inatoka tu ? unakunywa dawa za k...
09/03/2022

Hedhi inatoka bila kukoma ? unatumia vidonge lakini mwisho inatoka tu ? Unaziba na nguo inatoka tu ? unakunywa dawa za kurekebisha vichocheo vya k**e lakini inatoka tu ? Unavaa ped lakini inatoka tu K**a mama alie jifungua ?

Pole na hongera Sana maana huwenda leo ndio siku ya kuwekwa huru ,ujumbe huu usiupuuzie maana Mungu ameamua kukuonyesha malango wa kutokea changamoto yako .

CNC tumekuwa tukitibu watu wa jinsia ya k**e wenye changamoto za kukosa watoto na kutokwa na hedhi kuliko kawaida . Nimekutana na wamama ambao kwa mwezi wanaingia wiki 3 lakini sasa wapo huru kabisa .

Wewe unasubiri nini ? Unanunua vifutio hadi lini ? Utaendelea kubaki katika magomvi na mwenzi wako sababu hapati haja yake hadi lini ?

Dakika 5 tu za kupiga simu kwa daktari zaweza okoa ndoa na afya yako .

0742300459
Au
WhatsApp +255742300459

Hedhi isiyo koma hupelekea kero ya kutililika kwa UCHAFU  zIdi ya siku 5 na hii inakufanya ushinde kuwa huru na kazi zak...
08/03/2022

Hedhi isiyo koma hupelekea kero ya kutililika kwa UCHAFU zIdi ya siku 5 na hii inakufanya ushinde kuwa huru na kazi zako .

Umejaribu kila tiba lakini unajikuta mwezi unaofuata Mambo yanakuwa tofauti . Mwenzi wako au akupendae ameonekana kuto kukuhitaji sababu ya Hali yako .

Kwanini usinikabidhi afya yako ili nikusaidie kutupilia mbali changamoto yako ? nikweli umetumia tiba nyingi au pengine umejaribu tu kumeza vidonge bila mafanikio

Pengine siku zako zimekuwa za maumivu makali Sana ,KIUNO ,miguu na mgongo vimekuwa vikikusumbua Sana bila mafanikio .

K**a unatamani Hali hiyo ikutoke milele fanya maamuzi ya kupiga simu ili kupata maelekezo ya bure ya namna ya kuondoa tatizo na pia tiba ikibidi .

Naamini kuwa Mungu ndie mponyaji

0742300459
Dr.osward

Tatizo za kitokwa na harufu sehemu za sir! Kwa wanawake imekuwa changamoto kubwa . 60%-80% ya wagonjwa hawajui ni kwanin...
08/03/2022

Tatizo za kitokwa na harufu sehemu za sir! Kwa wanawake imekuwa changamoto kubwa .

60%-80% ya wagonjwa hawajui ni kwanini wamepata tatizo hilo ,wengi wao huanza kutafuta tiba tu bila kujua ni kwanini wamepata tatizo .

Mara nyingi Sana wale ambao hawazingatii usafi ,wanaojisafisha kwa kutumia sabuni ,mafuta au malashi ,wanao penda kula chips ,vyakula vya nyama Sana na nafaka zilizo kobolewa ,wanaopata changamoto ya magonjwa ya zinaa na wakati flani matatizo ya vichocheo vya mwili kutokuwa sawa husababisha .

Wengi wao hukeleka maana inakera Sana harufu maana huwa K**a shombo ya samaki mbichi hii hupelekea kushindwa kuwa huru wakati wa kuhudumiana na mwenzi wako na pia kwa marafiki pia .

Je,unatafuta daktari atakae ijari afya yako ,akusaidie hadi utakapopona ? Wasiliana na Dr.Osward akusaidie kuondoa vyanzo vya tatizo na kutibu

#0742300459(whatsapp)

NJIA 2 ZA KUVUNJA NGUVU YA SINDANO ,NJITI AU MADAWA  YA UZAZI WA MPANGO NA KUPATA TENA MTOTO . Habari ya kwako,ujumbe hu...
07/10/2021

NJIA 2 ZA KUVUNJA NGUVU YA SINDANO ,NJITI AU MADAWA YA UZAZI WA MPANGO NA KUPATA TENA MTOTO .

Habari ya kwako,ujumbe huu ni muhimu sana kwako kwasababu ni muongozo tosha kabisa wa mama ambae alitumia njia za uzazi wa mpango na imekuwa ngumu kupata tena mtoto .

1.Hakikisha unakula chakula bora (chakula hai ) na k**a unapata changamoto ,huelewi namna ambavyo chakula hai kilivyo basi nipigie simu nikuelekeze .

2.Tumia jani la alovera ,na k**a hujui namna ya kulitumia naomba unipigie simu nikuelekeze aina ya alovera ya kutumia na namna ya kuandaa dawa yako . nafaka nikuhakikishie utanishukuru .

Hatua ya tatu ni kumalizia kwa kutumia dawa 1 ya kukusaidia kupata UJAUZITO ambayo utaitumia kwa siku chache tu .

Zingatia kwanza hayo mambo 2 yatakusaidia sana hadi utashangaa .

(Wahstapp 0742300459)

Kupata maelekezo zaidi

Huna uwezo wa kupata UJAUZITO ? Je unatokwa na harufu mbaya sehemu za siri na hauna  hamu ya kufanya tendo na mme wako ?...
07/10/2021

Huna uwezo wa kupata UJAUZITO ? Je unatokwa na harufu mbaya sehemu za siri na hauna hamu ya kufanya tendo na mme wako ?

Naitwa Dr.Osward ,nimekuwa nikiwasaidia wanaume na wanawake kutatua matatizo ya uzazi .

Leo nitaelekeza namna ya kutibu tatizo la kukosa mtoto ,UJAUZITO kutoka na kutokwa na harufu mbaya ukeni .

Licha ya kwamba ipo dawa moja komesha ya tatizo hili lakini sitaizungumzia hiyo dawa lakini nitazungumzia mbinu mbadala ambayo ni ya muhimu sana katika kupata mtoto na kutibu matatizo ya sehemu za siri za mwanamke .

1.Badilisha ulaji wako (acha kula chips na maandazi na chapati na Mikate mieupe )

2.Punguza au acha kabisa matumizi ya soda na vilevi

3.Pata muda mrefu wa mapumziko wakati wa usiku .

4.kunywa maji ya kutosha .

5.Tafuta uhakika kwanza ujue kuwa je,tatizo lipo kwako au ni mme wako .

Wasiliana na Dr.Osward kwa mawasiliano zaidi .
(0742300459 WhatsApp /simu )

Njia ya  1 ya uhakika ya kuanza safari ya kutibu  kutokwa  na harufu mbaya ukeni . ✍️ Acha kujisafisha  ukeni kwa maji w...
13/08/2021

Njia ya 1 ya uhakika ya kuanza safari ya kutibu kutokwa na harufu mbaya ukeni .

✍️ Acha kujisafisha ukeni kwa maji wala kwa sababu wala kwa dawa ,wala kwa maziwa ,wala kwa mkono maana kadri unavyo Fanya hivyo ndivyo unavyo zidi kuathirika zaidi na hutapona kabisa .

Unapaswa kuacha kufanya hivyo kwasababu unavyo Fanya hivyo unaondoa bacteria wazuri wanao Linda uke (Normal flora). Na hivyo wale bacteria wabaya (anaerobic pathogens ) ndivyo wanavyo zidi kuku shambulia .

👆Chukua tahadhari hii k**a kweli unachoshwa na harufu mbaya k**a mzoga uliooza .

By Dr Osward .

Kinacho sababisha kutokwa  harufu mbaya ukeni sio kutooga kwa muda mrefu wala kutofanya ngono kwa muda mrefu bali  ni mt...
12/08/2021

Kinacho sababisha kutokwa harufu mbaya ukeni sio kutooga kwa muda mrefu wala kutofanya ngono kwa muda mrefu bali ni mtindo mbaya wa maisha .

Nitatolea mfano .

Vyakula vilivyo kobolewa k**a vile ugari wa semne ,chapati ,maandazi na vinginevyo ambavyo vimetokana na unga uliokobolewa ndio visabàbishi vikuu vya tatizo hili .

Matumizi ya vyakula vitokanavyo na wanyama mfano nyama au chips pia hufanya kupata shida hii .

Je ,wewe huwa ni mtumiaji wa vyakula k**a hivi na unahitaji kuondoa harufu mbaya ukeni ? Je ,unatamani kuondoa harufu mbaya ukeni kwa kujua namna ya kubadili mtindo wa maisha ?

Jiunge nami WhatsApp ili upate huduma hii ambayo itakusaidia sana kutatua tatizo lako na lisirudi tena .

0742300459(WhatsApp )

By Dr.Osward

K**a wewe ni mwanamke soma hapa usihangaike tena . Matatizo ya kutokwa  harufu mbaya ukeni na kutokwa  na uchafu sehemu ...
09/08/2021

K**a wewe ni mwanamke soma hapa usihangaike tena .

Matatizo ya kutokwa harufu mbaya ukeni na kutokwa na uchafu sehemu za siri huwa havina dawa . maana ukitumia vidonge au sindano huwezi pona jumla ,lazima tatizo linarudi tena na kadri unavyotumia dawa zaidi ndivyo unavyozidi kuathirika zaidi .

Ujanja ni kujua namna ya kula na kunywa ili kuziba visababishi vya tatizo . hivyo nakushauri kupata huduma ya mtindo wa maisha ambayo ndio itakuwa msaada kwako na pia ukipona tatizo lako halirudi tena .

Jiunge na huduma hii kupitia WhatsApp kwa gharama nafyu sana

(WhatsApp 0742300459)

TIBA YA KUTOKWA HARUFU MBAYA UKENI . Naamini kila mmoja amepata kusoma na kujua chanzo cha hili tatizo si hitaji sana ku...
05/07/2021

TIBA YA KUTOKWA HARUFU MBAYA UKENI .

Naamini kila mmoja amepata kusoma na kujua chanzo cha hili tatizo si hitaji sana kurudia lakini nahitaji nikuelekeze dawa moja ambayo daima nimekuwa nikiikubali kwa uwezo wake wa kumaliza kabisa tatizo hili .

Dawa hii inaitwa "Kubadili mtindo wa maisha " inatibu na tatizo hakirudi tena .

Dawa nyingine ambayo unapaswa kuitumia ni ya asili ambayo imetengenezwa kitaalamu na kuthibitishwa na TBS hapa Tanzania .dawa hii inaitwa "Femicare" angalizo ni kwamba hizi dawa kuwa nazo makini maana k**a usipopata msaada wa ukaribu basi unaweza usipate matokeo ambayo ni mazuri zaidi .

💪Ili kupata msaada kamili wa kutatua kabisa tatizo lako naomba tuwasiliane Leo kwa namba yangu 0742300459

Au gusa link hapa chini kuwasiliana nami kupitia whatsapp

https://wa.me/+255742300459

Dr.Osward

Azithromycin pamoja na dawa za kisasa zingine  haiwezi  maliza tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni. Unatumia lakini ...
26/06/2021

Azithromycin pamoja na dawa za kisasa zingine haiwezi maliza tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni.

Unatumia lakini tatizo linarudi palepale . baada ya kuchunguza sana nikagundua kwamba wanawake tunapaswa kurekebisha mitindo ya maisha kwa ulaji na unywaji na endapo ukijua kutengeneza dawa ambayo inaweza kukusaidia basi ni muda mfupi tu tatizo lako huta liona maisha yako yote . jiunge katika tiba hii ya uhakika kwa kuchangia Tsh.10000 pekee .

Nipigie simu au ntumie ujumbe WhatsApp (0742300459) Dr Osward

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Ya Harufu Mbaya Ukeni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba Ya Harufu Mbaya Ukeni:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram